machache

Sekai Machache is a visual artist and curator who lives in Glasgow, Scotland, and works internationally. She works primarily in photography and seeks to interrogate the notion of self.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Machache ya kuzingatia - Maalumu kwa tamaduni za kitanzania

    1.Usiende moja kwa moja nyumbani unapotoka makaburini.. Simama kidogo mahali zuga kwa muda kidogo then nenda kwako 2. Usiweke alama ya KARIBU nyumbani kwako si kila mtu ni wa kukaribisha na hapo sio eneo la biashara 3. Usilale na kioo kinakutazama.. Ukiwa usingizini utaonwa na wengi 4...
  2. JamiiForums Tanzania Maneno machache ya Netanyahu akielekea U.S.A

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, asubuhi ya leo september 24, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben-Gurion, kabla ya kuondoka kuelekea Marekani kwa ziara ya kidiplomasia, ambapo atahutubia Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump: "Sasa ninaondoka...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tujifunze machache kuhusu umeme wa mwilini unavyoweza kukusaidia kuishi au kukuharibu mazima

    Ndugu karibuni katika mada hii japo nitasema kwa uchache. Pamoja na kwamba mimi ni fundi umeme na ujenzi lakini hapa kwa leo nitazungumzia zaidi umeme ambao upo ndani ya miili yetu zaidi. Nikiwa nafanya kazi zangu za kiufundi umeme huu tunaotumia majumbani nilikuja kubaini kuna uhusiano mkubwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ajali iliyoua watoto 5 huko Mbeya imenisikitisha sana; Lakini hebu tujadili mambo haya machache kiufundi kwa usalama wetu

    Kuna taarifa ya watoto waliokuwa wanafanya mazoezi ya kukimbia huko mbeya kugongwa na bus na kupelekea vifo; Sipo hapa kulaumu mtu yoyote bali naomba tuelimishane mambo machache tu ambayo mimi kama fundi samico naweza kuwapa kama fundi. Kwanza kabisa swali la kujiuliza kila mmoja, wale watoto...
  5. JamiiForums Tanzania Zingatia haya machache kutoka kwa babu

    Mwanangu, Kwenye maisha, si kila mlango unahitaji kugongwa, si kila siri unapaswa kuijua, na si kila ukaribu una maana ya kwamba una ruhusa ya kuvuka mipaka. Heshimu mipaka ya watu. Kuna watu hawapendi kuulizwa maswali ya faragha. Kuna wengine hujificha nyuma ya tabasamu, na si kwa sababu...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje makamanda 20 wa Iran wanauliwa ndani ya masaa machache?

    Kobazi ni bure kabisa! Makamanda waandamizi takriban 20 wa jeshi la Iran wameliwa vichwa na IDF. Huu si tu ni uzembe, ni upumbavu wa hali ya juu wa hao makobazi. Wanachojua ni kupayuka takbiiir tu lakini akili kichwani hamna. Tokea huu mzozo wa Israel na Hamas na Israel na Iran uanze, no...
  7. JamiiForums Tanzania Yamebaki majengo machache sana yaliyobaki wima Gaza. Sasa wanapiga mahema na vita havijaisha

    Ukiona jengo limesimama basi ujue limeshapigwa na limejaa nyufa na wakati wowote litabomolewa kutoka angani.
  8. JamiiForums Tanzania Uislam ni hadithi za maisha ya jamii ya qurayshi na machache kutoka kwenye biblia

  9. JamiiForums Tanzania PICHA Achana na magorofa machache city centre hii ndiyo DAR halisi.

    Kuna watu wanalilia kufika dar kisa magorofa ya kariakoo na posta. Ila kiukweli Dar ni mji wa kishamba sana. Kwa kweli watu wanaishintu kwa sababu ya tabu otherwise mhii wengi wangeshapakimbia. Lakini pia hiki ni kielelezo namba 1 kwamba waafrica hatuna akili na tu wabinafsi wakubwa kwa nchi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mliokuwa mashabiki wa propaganda za Trump, yamebaki masaa machache ya yeye kutimiza ahadi ya kumaliza vita vya Ukraine

    Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana jioni na masaa 24 yatatamatika Leo mida ya saa mbili usiku. Je kufikia mda huo vita ya Ukraine na...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machache niliyoyaona kwenye mechi kati ya Yanga na Mc Alger

  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikishinda ugenini dhidi ya waarabu CS Sfaxien

    1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76. 2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli. 3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda mlango wake Mousa Camara, hili eneo litaifikisha mbali Simba. 4. Kuna namna lionel ateba anaanza...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kuifanya ndoa yako kuwa bora zaidi na imara hebu zingatia haya machache

    uzi huu nikwaajili ya watu wote yani wale waliopo kwenye ndoa na hata wale ambao bado hawajaingia kwenye ndoa hebu zingatieni vitu hivi ili kuifanya ndoa yako kuwa bora na yenye furaha zaidi, ndoa yenye amani, upendo, uvumilivu, kujali, kusaidiana, kusikilizana, kuelewana n.k kulingana na...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Yanga ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Fountain Gate

    1. Yanga imecheza vizuri mno, hii ni salamu tosha kuelekea mechi yao na Tp mazembe. 2. Nadhani fountain gate ndio timu yenye safu mbovu kabisa ya ulinzi, wamechagua kupishana na Yanga wakaadhibiwa. 3. Pacome zouzou amestahili tuzo ya mchezaji bora wa mchezo, ule uwezo wake uliopotea mechi...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi dhidi ya Singida Big Stars

    1. Leo tumeshuhudia mechi nyingine tafu kwa Simba, ukubwa wa Simba umeamua mechi. 2. Singida waliingiia na maneno ya nje ya uwanja kuwa marefa wako upande wa Simba, hii iliwatoa mchezoni mapema. 3. Huenda Jean Charles Ahoua ameanza kuizoea ligi, anacheza kikubwa mno ( nilikua nikiuponda...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Yanga ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Dodoma jiji

    1. Inawezekana kabisa Yanga imejipata, wachezaji wanacheza kwa nguvu na kujituma kama ilivyokua mwanzo, gari limewaka. 2. Kibwana Shomari ameendelea kuproove kwanini mashabiki walipiga kelele apewe nafasi ya kucheza. Aziz k amerudi. 3. Clement mzize ni winga hatari sana kwa sasa, ana kasi...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi dakika za jioni dhidi ya JKT Tanzania

    1. Hii ni moja kati ya mechi ngumu msimu huu, JKT wamecheza kwa mbinu na nguvu nyingi dakika zote. 2. Refarii hajafanya kosa kutoa tuta, lile ni tuta, wa kulaumiwa ni mchezaji wa JKT kufanya utoto dakika za mwisho ( inawezekana ni mwanafamilia wa Simba). 3. Joshua mutale apewe mapumziko na...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Kagera sugar

    1. Hii ni moja kati ya mechi bora kushuhudiwa katika ligi ya NBC msimu huu, Simba wamecheza vizuri na Kagera wamecheza vizuri pia. 2. Elie Mpanzu ni mtu, kama asipofanyiwa mambo ya kiswahili atatupa burudani tamu wapenda soka. 3. Fabrice Luamba Ngoma amezaliwa upya, yule aliyekua akicheza...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba SC ikiibuka na ushindi dhidi ya Kengold

    1. Simba imecheza vizuri mno/kikubwa kipindi cha kwanza. Kongole kwa Awesu Awesu, Muzamiru yassin, Fabrice Ngoma, Kelvin Kijili na Ladark Chasambi. 2. Sub ya Okejepha, Ahoua na Mutale imeharibu mpira wa Simba kipindi cha pili. 3. Jean Charles Ahoua haitendei haki nafasi anayocheza, simba...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikishinda dakika za jioni dhidi ya CS Sfaxien

    1. Nafasi ya kiungo mshambuliaji no. 10 imeendelea kuwa ni tatizo kwa Simba, ni aibu timu kama Azam ina Feitoto halafu Simba haina mtu wa maana nafasi ile. 2. Simba inatakiwa ifanyie kazi eneo la pumzi kwa wachezaji , mara nyingi inataka kuanzia dk ya 60 nakuendelea. 3. Yusuph Kagoma ni kiungo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…