mabwepande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    PostGE2025 AFP: Siri yafichuka, Kondo na Mabwepande ndiko yaliko makaburi ya halaiki ilikozikwa maelfu ya miili waliouawa wakati wa MO29

    https://youtu.be/B1QPlZM3_og?si=GqpjmHKa1Z6nkMB6 Wameanza kutajana wao wenyewe na kutoa Siri walizodhania ni siri; Shirika la habari la Ufaransa (AFP) limeongea na baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya serikali ya Samia na CCM na kufichua Siri kuwa, maelfu miili ya halaiki ya waliouwawa...
  2. britanicca

    DOKEZO Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni

    Hadi jioni hii Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni. Wamemuumiza sana. Ila yuko hai. Wanataka kumhamisha Kwenda mtwara . Hawajui tunajua wakifanya movement. Mafwele & co will pay heavily for this brutality. Nawaambieni nawahakikishia narudia tena watajuta sana safari hii Watajuta Kuanzia...
  3. kagoshima

    Hii ya kukamata raia na kuwatesa, kuwatupa mabwepande kwa makundi ni tulikua tunasoma kwenye utawala wa idd amini

    Haijawahi tokea, polisi wanakamata raia wasio na kosa kwa sababu za kutoelewana kwa chama tawala na upinzani, na kwa amri kutoka juu, kukamata badala ya kupeleka watu kituoni wakafunguliwe mashitaka unapeleka kuwa jeruhi kisha kuwatupa maporini. Ukatili wa aina hiyo tunausoma kwenye utawala wa...
  4. Just Pray

    PreGE2025 Mwanamke mhanga kati waliopigwa Mabwepande asimulia kwa machozi ya uchungu walivyokamatwa na kuteswa

    "Naitwa Pendo, Jana nilitoka nyumbani kwa ajili ya kwenda mahakamani kusikiliza kesi ya Lissu, niliwahi sana kufika mahakamani, nikakuta akina Pambalu, Mwaipaya na viongozi wengine. Tulishauriana turudi ili tukawasaidie waliochukuliwa getini. Tulikuta dada yupo chini, juu yupo uchi, nikatoa...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Amani Golugwa: Msitu wa Mabwepande alipotupwa Ali Kibao ndipo walipotupwa majeruhi 21 waliokamatwa na polisi

    "Jumla ya majeruhi mpaka jana usiku tuliwapeleka hospitali na wakapata matibabu walikuwa ni majeruhi 21 na nitawataja majina yao na hali zao, walipigwa na kutupwa Mabwepande porini msituni, ndio msitu ambao baadhi ya watu ambao tunawafahamu waliuawa na wakatupwa katika msitu huo akiwemo...
  6. dalalitz

    Plot4Sale Kiwanja chenye msingi, kinauzwa na bank, sqm. 600, tshs.7 milioni, Mabwepande

    ...
  7. Kadodo1

    Dar: David Jairo anadaiwa kupora na kujimilikisha ardhi kinyemela huko Mabwepande

    ALIYEKUWA Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, David Jairo anadaiwa kupora na kujimilikisha ardhi kinyemela. Jairo ambaye pia amewahi kuwa Katibu wa rais Kikwete anadaiwa kujimilikisha ardhi kiwanja Namba 1 mpaka 30 kitalu R, ndani ya shamba No.3650...
  8. A

    Viwanja vimebaki vichache sana Mabwepande. Mnaowahi fanyeni haraka

    Picha zinaongea yote, wahusika wameshachezesha kuwahi viwanja. Walisema walipoulizwa kwa contacts zao, kwamba kuanzia tarehe 17, sasa itakuwa tarehe 25 Februari. Mnao wahi mkawahi. Labda vitapungua tena na tena kabla. Halmashauri inatakiwa kujieleza kwanini wanadanganya wananchi.
  9. Bulelaa

    Somo tunalolipata kutoka kwa taifa la Israel. Mwanaume hapigwi na mkewe, ikitokea, ni mwanaume kaogopa jela tu

    Narudia tena, bila vijana wa taifa la Israel, dunia bila nyukilia ingewezekana Dunia bila teknorojia za maangamizi, ingewezekana Shida ni hawa watundu wa ubunifu wa hali isiyo ya kawaida, namaanisha Waisrael Hili taifa kulipiga inawezekana, ila si kulishinda, Ni sawa tu na mwanaume kupigwa...
  10. A

    KERO Uchimbaji wa mchanga Mtaa wa Mbopo Kata ya Mabwepande mto Nyakasangwe

    Kwa muda mrefu sasa mto Nyakasangwe unaotenganisha wilaya ya Ubungo kata ya Msumi na Kinondoni kata ya Mabwepande kumekuwq na uchimbaji holela wa mchanga. Mara kadhaa wanachi kwa kushirikiana na serikali za mitaa ya Mbopo na Msumi wamekuwa wakitoa taarifa kwenye vituo vya polisi vilivyo jirani...
  11. officialbryteskylinks

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mabwepande

    Kiwanja kipo Mabwepande 500 SQM’s Bei: 12M Kipo Karibu na Barabara kabisa. Hakina changamoto yoyote.
  12. Brain Kingdom

    Maeneo mengi ya Dar es Salaam ni Vijiji vilivyochangamka mfano hai Mabwepande na Mbopo

    Shalom, DSM ni mkusanyiko wa Vijiji vya hovyo vilivyochangamka, ni aibu mna viongozi ambao wana nafsi za tumbili na ngedere. Hakuna anaejali mmejaza viongozi ambao ni mashetani wanyonya damu nyusa zao kama maghetto ya popobawa. Kielelezo hakuna anaejali yafuatayo. - Hakuna madaraja -Barabara...
  13. Mangi wa Rombo

    Wanayo yapitia Watoto/ Wanafunzi wa Mtaa wa Mbopo, Mabwepande ni huruma

    Habari! Kwa huzuni kubwa leo naomba kwa mara nyingine niwakilishe kadhia wanayopitia wakazi wa Mbopo kata ya Mabepwande kufuatia ubovu wa miundombinu kwenye kata hii iliyo kwenye jimbo la kawe! Tangu mvua ya December 2023 mpaka January 2024 iliyoharibu kabisa barabara na miundombinu katika...
  14. M

    Nahitaji kiwanja Mabwepande, Bunju B

    Habari Wadau! Naitaji kiwanja Mabwepande Bunju B. Kama uncho njoo na Offer yako. Wasalaam.
  15. Intelligence Justice

    Shirika la DDC Kuchukua Ardhi huko Mbopo, Kinondo na Mabwepande kutoka kwa Wananchi ni Uporaji

    Maeneo kadhaa huko Mbopo, Kinondo na sehemu fulani huko Mabwepande shirika la DDC linadaiwa kuvamia raia na kuyapora maeneo wakidai ni ya kwao. Nyumba zinavunjwa viwanja walivyonunua wananchi kwa taratibu kabisa na uwepo wa wajumbe wa maeneo husika lakini wanakuja kuwapora huu ni uvunjifu wa...
  16. K

    Ujenzi wa Hospitali Mabwepande: Tunaomba lami kipande cha barabara kutoka hospitali hadi Bunju B

    Sisi wananchi wa Mabwepande tunashukru serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kukamilisha ujenzi wa hospitali ya Mabwepande. Hata hivyo, tunaomba kipande cha barabara kutoka hospitalini hadi Bunju B kiwekee lami. Hii itasaidia kwa wakina mama hasa wajawazito watakapolazimika kupewa uhamisho...
  17. Elitwege

    Bomoabomoa yaacha simanzi Mabwepande, nyumba za matajiri zaachwa

    Imezuka taharuki kwa baadhi ya wakazi wa Mabwepande Wilaya na Kinondoni wanaodaiwa kujenga eneo lisiloruhusiwa, baada ya nyumba zao kubomolewa huku wakiwa hawajui la kufanya na familia zao. Akizungumza kwa simu na Mwananchi kuhusu ubomoaji huo ulioanza Julai 4, Mkurugenzi wa Manispaa ya...
  18. GENTAMYCINE

    Je, kwa maneno haya ya Mzee Butiku nae hatotembelewa kwa 'Kushtukizwa' Kwake Mabwepande kama akina Msuya na Warioba?

    "Vijana lazima wajue kuwa Chaguzi za Siku hizi nchini ni za hovyo na zimejaa Rushwa, Fujo na hakuna Haki halafu Viongozi hawapendi Kukosolewa na Wananchi ili wajitathmini na wabadilike. Suala la Katiba Mpya huenda likawa na Mashiko kwa wale wanayoitaka sana hivyo wasikilizwe" Chanzo: Radio One...
  19. M

    Inaitajika nyumba ya kupanga Mabwepande (bunju b)

    Naitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Mabwepande Bunju B. iwe stand alone na ndani ya fance. Pia naitaki viwanja vya kununua(vilivyopimwa) maeneo ya Magwepande na Bunju B. Kama una offer naomba nicheck DM.
  20. Suley2019

    Mabwepande: Raia wacharuka baada ya nyumba zao kubomolewa

    NYUMBA zaidi 11 katika mitaa ya Mabwepande na Mjimpya Kata ya Mabwepande Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam zimebomolewa na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha, huku wamiliki na familia zao wakilalala nje kwa siku mbili. Ijumaa saa 10:00 jioni, waliotekeleza ubomoaji huo baada ya...
Back
Top Bottom