mabwepande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mabwepande: Raia wacharuka baada ya nyumba zao kubomolewa

    NYUMBA zaidi 11 katika mitaa ya Mabwepande na Mjimpya Kata ya Mabwepande Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam zimebomolewa na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha, huku wamiliki na familia zao wakilalala nje kwa siku mbili. Ijumaa saa 10:00 jioni, waliotekeleza ubomoaji huo baada ya...
  2. Bess

    JamiiForums Tanzania Mabwepande bomba zipo maji hamna miaka miwili imepita sasa

    Mkoa wa Dsm mfano Mabwepande kuna sehemu bomba zimepita miaka miwili sasa maji hayajaruhusiwa, huku sio kupoteza tu mapato kwa msambazaji ambaye ni Serikali lakini pia haki ya kupata maji kwa mwananchi imedhulumiwa.
Back
Top Bottom