Nilisikia kwenye Chombo cha Habari kuwa; Kwa sheria ya ndoa ya Tanzania, baba ndio anatoa hela za kila kitu kwenye Familia na hela ya Mke haihusu familia......
1. Baba ana wajibu wa kulea na kutunza familia ikiwemo kujenga nyumba, kulipa ada na kila kitu cha familia yake. Nikaona hii ni ile...
Inshort RITA mmekula KERO sana kwenye upatikanaji wa huduma kwa ufanisi na haraka zaidi. I wonder Watu wenu wa IT wanafanya nini!!!
Mtandao unasumbuaa wiki Nzima na hamtoi taarifa wala kufanya matengenezo..
Apa nimeweka Alarm Kila baada ya nusu Saa nijaribu kuingia lakini holaaa...
RITA...
Hela naitafuta kwa shida sana kuna muda nalala na viatu nalala sehemu mbaya halafu kidogo nacho nduduliza wahuni hawakithamini.
Hela yangu haiwezi nitesa jana sijalala kabisa hadi muda wa kufika kwenda job ukafika.
Siwezi elezea sana lakini hii bank HAPANA HAPANA HAPANA.
Mods tusipangiane...
Bandari ya Tanga, ambayo ni bandari ya pili kwa ukubwa nchini Tanzania, imeendelea kushuhudia mageuzi makubwa ya kiutendaji na kimazingira kufuatia uwekezaji mkubwa wa Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Kwa muda mrefu, bandari hii ilikuwa ikifanya kazi chini ya...
Tunduma ni border kubwa kwa Tanzania hili halina ubishi ila changamoto kubwa ya Tunduma iko-disorganized sana ni chaos hii hali haitakiwi kuendelea hata kidogo
Yafuatayo ni maboresho ya Tunduma ntayafanya nikiwa Rais wa Tanzania
Barabara kuanzia vwawa mpaka tunduma zitajengwa Lane 8 (mbili za...
Wananchi mbalimbali wa Kitongoji cha Mtukura - Iriba, Kijiji cha Isenyi, Kata ya Nyakasasa wakielezea jinsi maboresho ya miundombinu yalivyokuwa na faida kwao kwa kuwa ni changamoto ambayo imekuwa ikiwasumbua kwa muda mrefu.
Barabara hizo zinaendelea kufunguliwa kwa kutumia mitambo ya Mbunge wa...
Habari za muda huu
Baada ya kuchoshwa na kunyanyaswa sana na Yanga naomba viongozi wa Simba wafanye maboresho kama wachezaji 6 hivi tu.(Tusifumue kikosi chote tutapotea zaidi)
1.Quality Golie awe namba mbili ili kumpa changamoto Camara aasiwe anajisahau
2.Lusajo mwaikenda akamchalange kapombe na...
Mfumo wa mahakama ni mzuri Sana Africa nzima tuko vizuri haya njoo kwenye huduma za maji.Tanzania tunaongoza kwa kusambaza maji vijijini..ndo maana baadhi ya Wazee hawapendi kusomeka TASAF kama Kaya maskini.
Mtu wa kwanza kulaumiwa apa alitakiwa yule wa simba alie fanya maamuzi kusema tusicheze mechi trh nane kukataliwa ku train, ndo ukatae kucheza? , Uwanja wa serikali mmekodi siku ya mechi tu kwa nn ulazimishe ku train kana kwamba uwanja wa yanga, utalipia garama za ku train?
Turudi kweny...
Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) imesema kuwa inatarajia kutoa taarifa na tarehe rasmi ya kurejea katika safari zake za kawaida kwa Meli ya New Victoria 'HKT' ambayo imekuwa katika matengenezo tangu Machi 4, 2025 na yanatarajiwa kukamilika hivi karibuni.
Mei 11, 2025 Mwanachama wa...
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO), Anslem Namala amesema meli ya New MV Victoria inaendelea na maboresho na kwamba hivi karibuni wanatarajiwa kutoa tamko juu ya chombo hicho cha usafiri kurejea kwenye ratiba zake kama kawaida.
Ameeleza kuwa tamko rasmi...
Nikiwa Rais wa Tanzania yatafanyika maboresho kwenye shule za msingi kama yafuatayo;-
Kuongeza wigo wa masomo ya kingereza
Kuongeza somo la compyuta
Kuongeza vigezo vya walimu wa msingi
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba amesema somo la Elimu ya Biashara ni la lazima kulingana na maboresho ya Mtaala ulioanza kutekelezwa Januari 2024.
Akifungua kikao kazi cha siku mbili cha Makatibu Tawala wa Mikoa na maafisa Elimu kilicholenga kujadili...
Baada ya kufanikiwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mbeya, Elias Mwanjala amewahakikishia wana Mbeya na wapenzi wa soka kiujumla kushirikiana na serikali ili kuufanyia marekebisho makubwa Uwanja wa Sokoine hususani eneo la kuchezea (pitch) kwani Uwanja huo si...
Ni muhimu kwa serikali ikafanya maboresho kwenye kuajiri wafanyakazi wa TRA hii itaongeza ufanisi
Wapewe mikataba ya miaka 15 baada ya hapo waajiriwe wengine
Kilichobaki ni miezi mitano kabla ya uchaguzi, ni busara kwa wakati uliopo chadema ikajihusisha zaidi na kujipanga jinsi gani itapata majimbo kuliko kuutumia zaidi muda wao katika shughuli za kiuana harakati, za kina maria sarungi, na mchungaji asiye na kanisa.
Kituoni hapa tunaambiwa twende kwa mjumbe wa nyumba kumi ambaye ni kada wa CCM tupeleke kadi zetu ili wachukue namba.
Huu ni UPUMBAVU mwingine, CCM wameanza kuchezea rafu mapema. CHADEMA, ACT Wazalendo, hakikisheni uchaguzi huu haufanyiki kwani tayari una makandokando mengi.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, amewataka watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Halmashauri, katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, kusoma maelekezo ya Tume kupitia vitabu vya maelekezo walivyopewa ili...
Jana kwa namna nilivyouangalia mpira, timu yetu katikati ilikuwa inakatika sana, kama wangekuwepo wale sungura huku Pacome, kule Max, kule Aziz, cjui Mzize au Dube Leo wengine tusingeamka majumbani kwetu na tungebakia mavyumbani kusikiliza nyimbo za Amapiano TU, kiukweli Azam walitukosa sana...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke limewatangazia wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika kituo cha kupokea, kupoza, na kusambaza umeme cha msongo wa Kilovolti 220 kilichopo Ubungo, jijini Dar es Salaam.
Kutokana na kazi hiyo, huduma ya umeme itakosekana kwa nyakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.