mabenki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. a sinner saved by Christ

    Mikopo ya Mabenki kwa Watumishi

    Mikopo ya mabenki kwa watumishi wa umma ni KAUSHA DAMU riba yake ni 50% ukikopa milioni 25 utadaiwa milioni 100,ukikopa milioni 5 utalipa milioni 10 na tena ukichukua mkopo wa muda mrefu miaka 7,8,9 ndio unajichimbia kaburi. japo kwenye mikata yao watakuandikia riba ni asilimia 16% ila...
  2. Red black

    Hakuna pesa za chuma ulete, kama zipo ungekuta mabenki yote yamefilisiwa na hao watumia chumaulete biashara zisingefanyika

    Hakuna kitu ya namna hio hizo ni fix tu za kijiweni. Kwamba kuna namna mtu akikupa pesa inapotea kimazingira au ukichanganya na pesa ulizokuwa nazo hata kama ni 5M zinasepa.
  3. H

    Serikali ya Tanzania ianze kuwadhamini vijana mikopo kwenye mabenki ili wajiajiri kupitia maandiko yao ya miradi

    Serikali ya Tanzania lazima ikubali kuwa chanzo cha matatizo yote hadi vurugu za D29 ni ukosefu wa ajira na maisha magumu kunakopelekeanchuki kwa vijana dhidi ya serikali,matajiri na viongozi. Hivyo basi kama serikali inaweza kujidhamini na kukopa fedha nje ya nchi kwanini isiwadhamini vijana...
  4. H

    Kwanini mabenki yachaji akaunti isiyokuwa na hela?

    Ni kitu cha kusikitisha sana mabenki hayapochaji hela za service charge wakati akaunti inapokuwa haina hela. Sasa ni service ipi wanakuwa wametoa hapo?
  5. Masokotz

    Ledger Fees Kwenye Mabenki-Makato kwenye Mabenki

    Habari za wakati huu; Ni matumiani yangu kwamba mnaendelea salama na shughuli za ujenzi wa Taifa letu; Ni muda mrefu sana sijaweka andiko hapa jukwaani hivyo basi leo nimeona nichokoze mjadala kidogo kuhusu haya makato ambayo yanaitwa ledger Fees ambayo hutozwa na Mabenki mbalimbali yakiwa na...
  6. REJESHO HURU

    Mama anapunguza ukali wa maisha kwa watumishi wa umma mabenki wao wanaongeza ukali wa maisha kwa watumishi wa umma hili lakuangaliwa

    Miaka mitano nyuma kipindi watumushi wa umma hawapati nyongeza za mishahara, hawapandi madaraja tasisi za kifedha hasa mabenk riba zao zilikuwa kubwa ila tofauti na sasa zamani benki nyingi walikuwa na asilia 13% 14% Baada ya mama kuanza angalia maslahi ya watumishi benki sasa asilimia zao...
  7. J

    Tanzania benki zanawiri

    Rais Samia amepunguza kiasi cha Mikopo isiyolipika|Chechefu (NPL) kwenye mabenki, Kutoka 9.3% mwaka 2020 hadi 3.3% Mwaka 2025 ikiwa ni sawa na tofauti ya 6% hii inaonesha uwezo wa Serikali kuboresha mazingira ya biashara. Hadi February 2025 jumla ya faida za mabenki ya biashara makubwa...
  8. Lavit

    Kwanini transaction fee kati ya mabenki na mitandao ya simu ni kubwa sana?

    Wakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa! Kwa mfano mtu anayetuma mil 1 anakatwa mpka 11k wakati hela hiyo hiyo kutoka bank moja kwenda nyingine wanakata buku tu...
  9. chiembe

    Makampuni ya simu na mabenki yanayopokea miamala ya chadema, nadhani mmeona kwamba ina nia ya kutumika kwa uhalifu wa uchaguzi, msisaidie uhalifu

    Chadema wanapitishia fedha zao katika Mpesa, airtel money, na huduma za aina hiyo, pamoja na za mabenki. Nitoe angalizo kwa serikali na makampuni hayo kwamba miamala hiyo imeshasemwa na uongozi wa chadema kwamba itatumika kufanyia uhalifu wakati wa uchaguzi. Kampuni ya simu, bora uifungie...
  10. R

    BOT nawashitakia huduma za mabenki warekebishe vikasoro vidogo hivi

    1. Almost all banks haziweki "wazi" gharama za kufanya miamala kutoka benki akaunti kwenda kwenye mitandao ya simu and vice versa. Inabidi gharama hizi ziwe wazi na si za kutafuta kama sindano. Kwanini zisiwekwe kwenye website zao? Wanaficha nini? 2. ATM mara nyingi zinakuwa hazina risiti...
  11. Mikopo Consultant

    Hata BOT wameweka ukomo wa miaka 10 kwa ma CEO wa mabenki, miaka 20 kwa Mbowe kuongoza chama ni mingi sana.

    Kwenye uongozi wa taasisi, iwe ni biashara au kampuni au taasisi ya aina yoyote, huwa kuna swali moja huwa tunapenda kuliuliza, ambalo ni: 'Matokeo yapo wapi?'. Hili ni swali la kikatili sana, kwasababu huwa halihitaji kujiteteta wala kulaumu watu wengine, lenyewe linataka uoneshe matokeo yapo...
  12. Waufukweni

    Kwa sasa mabenki yanatafuta shilingi na sio dola tena

    Wakuu Hapa katikati dola ilipaa sana na hata Rais Samia alikiri wazi kuwa shilingi imeadimika wakatika wa msiba wa Lawrence Mafuru == "Miezi michache iliyopita kuanzia mwezi wa pili mpaka wa saba na wanane dola ilikuwa inatafutwa kwa tochi Tanzania hata ukienda benki watakupa kiasi fulani cha...
  13. Nehemia Kilave

    Kati ya Biashara nyingine, Voda-wekeza, UTT na Mabenki kwa wale wazoefu ni kipi unaweza mshauri mtu awekeze ?

    Habari JF , kuna kipindi nliwahi anzisha uzi ambao lengo lake lilikuwa ni kujua ni nani hasa mmiliki wa UTT , nlipata majibu mengi ambayo yalinirodhisha kwa Asilimia kama 70 . Najua biashara ina risk zake , Voda, UTT kwa kiasi chache Tunawajua wamiliki . Mabenki iko wazi umiliki wake . Kwa...
  14. O

    Msione uvivu kuhesabu fedha mnazolipwa na ‘Teller’ wa benki

    Hivi karibuni mara kadhaa ninavyokuwa napokea pesa nyingi kutoka Bank (zile ambazo sio sealed) nikifika ofisini nakuta kuna pisi zinakua zinapungua Mwanzo nilikuwa nikipata changamoto hii kwenye bundles za 10,000 na 5,000 ila karibuni hata hizi za 2,000 na 1,000 Rai yangu kwenu mnaopokea pesa...
  15. TRA Tanzania

    TRA yawatoa hofu Wafanyabiashara kuhusu pesa zao Benki

    #Dar es Salaam Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda na Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT) Bw. Emmanuel Tutuba leo tarehe 17/10/2024 wamekutana na Watendaji Wakuu wa Mabenki na Taasisi za Fedha nchini kujadili suala la Hati ya Uwakala katika ulipaji kodi (Agency...
  16. Black Legend

    Mabenki yamepandisha saana riba za mikopo Serikali ipo?

    Mwaka 2023 na mwaka 2024, mabenki mengi yalitangaza kupata super profits na yakatoa gawio kubwa kwa wanahisa. Cha ajabu saana, pamoja na kutangaza super profits na ongezeko la mitaji ya mabenki, mabenki hayo yameenda mbali kwa kuongeza riba juu zaidi za mikopo ambayo imekuwa maumivu makubwa kwa...
  17. R

    Kwanini kiongozi wetu mkuu hajawahi kukosa USD za kufanya safari za nje ya Nchi ilhali wafanyabiashara wanakosa USD kwenye MABENKI?

    Salaam, Shalom!! Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi, Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa ajili ya kuagiza bidhaa nje ya Nchi, anaambiwa dollar hamna. Analazimika kuzitafuta mtaani na kuzipata...
  18. chiembe

    Makonda aanza kukamata wakusanya madeni (auctioneers) wanaotumwa na mabenki

    Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao. Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha...
  19. Lady Whistledown

    Mbona kama tatizo la wateja katika benki kupata noti pungufu wanapotoa hela linaota mizizi?

    Salamu Wakuu, Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa benki tellers Katika mjadala unaondelea huko X inaonesha kuna benki ambazo zinahusishwa na tabia hii...
  20. Kisesetusese

    Wengi wetu ni wakopaji sana kwenye mabenki ila hili ni sikio la kufa

    Kuna benki zinajitutumua kufanya kama defined bank services providers lkn ni wazushi sana. Sitowataja ila ni kati ya benki mbili maarufu zinazotumiwa na serikali kuwakopesha watumishi. Niseme ukweli benki ni taasisi za wizi asikuambie mtu. Zaidi na zaidi hawa wamezidi ni wadanganyifu. Leo...
Back
Top Bottom