mabaya

Mabaya is a surname. Notable people with the surname include:

Brice Mabaya (born 1986), Chadian footballer
Jean-Philibert Mabaya (born 1949), Congolese politician

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Video: Laiti Bi Samia angesikiliza busara za aliyekuwa Waziri Mkuu wake Kassimu Majaliwa, yasingempata mabaya!

    https://youtube.com/shorts/fqV8YjqT4bg?si=-IfgOWOIcnYOg8Wh Maneno kuntu ya aliyekuwa PM In brief note: Kassimu Majaliwa: Madaraka hayalazimishwi. Mungu ndiye hupanga nani awe nani ktk kuongoza watu wake Kassimu Majaliwa: Hata ukilazimisha kupata nafasi hiyo, huwezi kupata kama Mungu hajasema...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa

    Sote tuseme Amen Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Zaburi 35:11 12 Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa. Zaburi 35:12 13 Bali mimi, walipougua wao, Nguo yangu ilikuwa gunia. Nalijitesa nafsi yangu kwa kufunga; Maombi yangu yakarejea...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kama kweli kuna wataalum wa nguvu za asili wenye kuweza kulipiza mabaya kwa mabaya basi walipize kwa uonevu unaotokea Tz

    Huu ni ujinga kila siku watu wanateseka kwa maovu na uonevu wa viongozi ndani ya Tz na huku watu wakijinadi kuwa wanauwezo wa kulipiza kwa nguvu za asili kila leo. Ni wazi mungu wa biblia na quruan kashindwa kuwatetea waTz hivyo hawa watu wenye nguvu za asili za Mungu wakweli amkeni muwatete na...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Mauaji ya raia hayakuwa vitisho na yatakuwa na matokeo mabaya katika siku zijazo

    Mauaji ya raia hayakuwa vitisho bali ni kuwajaza chuki wananchi na visasi dhidi ya vyombo vya usalama. Tutarajie nini baada ya watanzania kupoteza ndugu zao kama sio machafuko zaidi
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kweli kuna mazuri katika mabaya?

    Japo tunatiwa moyo kuwa mambo yatakuwa mazuri wakali watuaminishao ni wabaya watenda mabaya, kuna uzuri katika ubaya?
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Watu 6 wanaodaiwa kukamatwa kwa njia ya kutatanisha, walikamatwa kwa mujibu wa taratibu za kisheria

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya mambo mawili yanayosambazwa kupitia Vyombo vya Habari. Jambo la kwanza ni kuhusiana na majina ya watu saba ambao inapotoshwa walikamatwa katika mazingira ya kutatanisha na kwamba ni ukandamizaji. Ni kwamba miongoni mwa watu...
  7. JamiiForums Tanzania Kupewa Ujauzito kisha mwanaume kukimbia au kukukataa maumivu yake yataongezwa zaidi na mikesha hii

    Nasikia niseme jambo moja muhimu kuhusu mtoto anayezaliwa, jambo hili ninalisema kwa unyenyekevu mkubwa na upendo mkubwa kwenu dada zangu. Najua si wote walipenda kuwa na hali walizonazo sasa za kupewa mimba au ujauzito kisha wakaachiwa watoto hapo na wanaume waliowapa ujauzito. Ukiangalia...
  8. JamiiForums Tanzania Muombe Mungu mabaya yaliyowakuta wengine wewe usikutanayo

    Maisha ni safari ambayo unakutana na matukio mengi njiani , muombe Mungu mabaya uliyowahi kuyasikia yakiwakuta wengine wewe yasikukute na pia usifurahie matatizo ya wengine maana kesho yako ni fumbo , usiseme ukamaliza weka akiba ya maneno
  9. JamiiForums Tanzania Kufanya Matusi, Ngono ni majina mabaya yaliyopachikwa kwenye kizuri ili kionekane kibaya

    Wahuni sio watuwazuri. Kitendo cha watu wa jinsi 2 tofauti kuungana kimwili ni kitendo chenyeraha isiyo kifani hasa ikichagizwa na miguno. Sasa sijui katokea mtu wapi huko eti anadai kitendo kile kinaitwa kufanya matusi.
  10. JamiiForums Tanzania Umasikini ni chanzo Cha Mabaya (Umasikini ni ulozi)

    Habari wana JF. Umasiki ni chanzo Cha Mabaya kero, Uchawi, ulozi, kunuka jasho, wivu, ukatili n.k. Masikini ndiyo mtu wa kwanza kuingia Motoni hata kama ulikuwa unasali sana kama umekufa masikini ni Motoni moja Kwa moja. Kwasababu. Umasikini unakufanya muda wote unawaza mabaya Mabaya...
  11. JamiiForums Tanzania Washauri wabaya husababisha watawala kutenda Makosa makubwa tena yaliyo mabaya

    SOMO LA LEO:
  12. JamiiForums Tanzania Walioonja shubiri ya maamuzi mabaya ya Hayati Ndugai, kama una clip pandisha hapa

    Siyo nia mbaya bali kwa kuwakumbusha wanadamu kuwa "tuishi maisha humble" kwa kuwa hatujui siku wala saa ya kutwaliwa. Tuwataje waliopitia maamuzi mabovu ya Job NDUGAI alipokuwa Spika wa Bunge;: 1. Chilongani alipigwa fimbo akazimia kwenye kura za maoni za CCM mwaka 2015 2. John Mnyika...
  13. JamiiForums Tanzania Mazingira mabaya ya kufanyia biashara

    Habari, ukiona unafanyia biashara pazuri mazingira safi, hasa sisi wafanyabiashara wadogowadogo wa sokoni mshukuru mungu, ss huku sehemu tunaofanyia biashara s rafiki kabisa, soko la masakuroni- ushirombo. Uchafu, n kawaida sjui hao bwana afya huwa wanakaguaga tu migahawa hv sisi tunaouza...
  14. JamiiForums Tanzania Orodha ya Mambo mabaya ambayo humtokea mwanadamu

    Tujitahidi kuorodhesha tumwekee RATIBA akutane nayo 1. Kutekwa 2. Kuuwawa 3. KUBAMBIKIWA KESI 4. AJALI HOPE YOTE YATAKUTOKEA
  15. K

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wameingiwa na uoga wa kuikosoa serikali,kila mtu kabaki kusifia kwa kuogopa kufanyiwa mabaya

    Ndiyo hali tuliyofikia kwenye utawala wa Mama chini ya serikali ya CCM, Yaani kila mtu kabaki kusifiya, si maofisini,mitaani kwenye nyumba za ibada na hata kwenye makundi ya kijamii kama magroup ya kifamilia Yaani ukionekana unaikosoa CCM na serikali basi unaoneka kama muhaini
  16. J

    JamiiForums Tanzania Shekhe Mziwanda, na Shekhe Jongo, wanakosea kumuombea mabaya Tundu Lissu, huku wakisahau jinsi Lissu alivyotetea Mashehe wa Uamsho, na Answar Sunna

    Huu ni ushahidi ufike kwa Shekhe Mziwanda, na Shekhe Jongo. Msikilizeni Tundu Lissu akitetea Mashekhe wa Uamsho, na Answar Sunna. Je, ni uungwana Mziwanda, Jongo, na Mwaipopo, kumshambulia Tundu Lissu? https://www.youtube.com/watch?v=WcWTRjKreWc https://www.youtube.com/watch?v=0WazpC_VdZE
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri: Upinzani kabla ya kuanza utekelezaji wa slogan zenu pimeni kwanza Kama zinatekelezeka ili kuokoa matumizi mabaya ya Ruzuku.

    Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya viongozi wa Upinzani za kuanzisha program/slogan na kutumia hela nyingi (ruzuku) ili Hali wao wenyewe wakijua akilini mwao hazitekelezeki hii ni ishara ya kuwa na viongozi duni kifkra, imagine bajeti ya uchaguzi imeshatengwa Leo hii Kiongozi wa chama bado...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa limefikia Tril 107 lakini hali ya maisha ya watanzania wa hali yanazidi kuwa mabaya.

    Hii inaleta tafsiri gani? Mbona hizo pesa nyingi zinazokopwa mbona hazileti mzunguko wa pesa mitaani ili kusisimua uchumi wa taifa. Tembelea biashara za mama ntilie, wafanyabiashara wadogo wadogo , kwenye mabaa na vilabu vya pombe za kienyeji hali ni ngumu. Hii dhahiri kuwa tunakopa matrilion...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu fundi umeme kaacha alama kwenye nyumba hii

    Sija jua jina la fundi ila nimeona kaacha alama ndani ya jengo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…