Kuna kitu kama umenotice Tanzania, mabati kwenye nyumba nyingi yanakuwa raised too high.
Kuna watu wanaoverdo wanafanya mabati yawe marefu sana, ila kuna wengine ambayo hawaja overdo, bati linakuwa tu na mwonekano mzuri lakini still unaweza kunotice kuwa ni refu ukifananisha na nyumba...