mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Makondakta ni wahasibu wana haki ya kulipa Kodi na Tozo hapa Tanzania

    Habari Tanzania ! Ujambo; NBAA, TRA na Wizara ya Fedha !. Makondakta wa magari ni Maafisa Hesabu wanaofanya miamala ya fedha kwenye Daladala na Mabasi ndani na nje ya Mikoa; na nje ya Nchi ni wadau wenu nyinyi hasa NBAA, TRA na Wizara ya Fedha. 1. Naomba ikiwapendeza muwaunde kwenye...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wauza Chipsi wa Stendi ya Mabasi Babati zingatieni usafi wa huduma yenu ya chakula. Mnaweka hatarini afya za wateja wenu (abiria)

    Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile. Nilipokelewa vizuri na kuoneshwa sehemu ya kukaa, niliagiza chipsi, nikaletewa lakini zilikuwa za baridi sana...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu tajiri wa mabasi ya Jonhavia investment ni nani hapo Musoma?

    Siku za hivi karibuni hii kampuni ya Jonhavia investment yenye makao makuu yake Musoma mkoani mara imekua ikitoa ushindani kwa wakongwe wa kanda ya ziwa,jamaa nadhani kila mwezi anaingiza vyuma vipya barabarani. Ningependa kumjua huyu mmiliki ni nani hapo Musoma?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kampuni ya mabasi yaendayo kasi DSM ndio inakufa au ni Mimi naona hivyo?

    Wana JF, Kila ukiona wapiga kura wa DSM hasa wilaya za Kinondoni na Ubungo, wengine na wakina na tai shingoni walivosukumizwa kwenye yale mabasi kama matenga ya vitunguu naona kama kampuni inayoyaendesha either imeshakufa au haina muda mrefu. Hivi huyo mkurugenzi huwa anajipimaje utendaji KAZI...
  5. JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaada: Kuunganishwa na Fursa za Kazi za Kusafiri na Mabasi ya Mikoani

    .
  6. JamiiForums Tanzania Waarabu wakabidhiwa mradi mabasi ya mwendokasi

    DAR. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umeingia mkataba wa miaka 12 na kampuni binafsi ya usafirishaji ya Emirates National Group (ENG) kutoka Abu Dhabi kuendesha mfumo wa BRT jijini Dar es Salaam. Soma pia: Mabasi mwendokasi Mkataba huo ulisainiwa rasmi Ijumaa, ukiashiria...
  7. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mateso katika mabasi ya mwendokasi

    Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi (BRT) jijini Dar es Salaam, hasa barabara ya Posta/Gerezani kwenda Kimara, uliwahi kuonekana kama suluhisho la uhakika kwa adha ya usafiri. Hata hivyo, hali halisi kwa sasa ni ya kusikitisha. Safari zimekuwa mateso, msongamano ni wa kutisha katika mabasi haya kiasi...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Mtenga awahakikishia wananchi Mtwara kuanza kwa ujenzi wa stendi kuu ya mabasi Julai, 2025

    Mbunge wa jimbo la Mtwara Mjini Hassan Mtenga amesema kuanzia Julai 2025 serikiali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kumaliza kilio cha wananchi wa mkoa wa Mtwara kwa kuanza ujenzi wa stendi ya kisasa ya mabasi mkoani humo. Akizungumza wakati wa ghafla fupi ya...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia imeanza rasmi kutoa huduma za usafirishaji Hanang, mkoani Manyara

    Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia imeanza rasmi kutoa huduma za usafirishaji leo Mei 27, 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, mkoani Manyara, ikiwa ni hatua muhimu katika kuboresha miundombinu ya usafiri na kukuza shughuli za kiuchumi katika eneo hilo. Stendi hiyo ya kisasa inatarajiwa...
  10. JamiiForums Tanzania USAFI UDUMISHWE KATIKA MABASI

    Mabasi ya safari hasa haya VIP na VVIP (yenye huduma ya choo ndani) usafi udumishe ili kuondoa KERO ya harufu mbaya ndani ya basi.
  11. JamiiForums Tanzania Mamlaka zidhibiti video zinazoonyeshwa ndani ya mabasi

    Ukiwa unasafiri kwa mabasi ya kwenda mikoa mbalombali kuja video za muziki, filamu au vichekesho huoneshwa humo kuburudisha wasafiri. Lakini kwa baadhi ya video maudhui yanawwza kutazamwa na rika miaka zaidi ya 18. Katika mazingira ya basi ambapo kuna watoto na wanandugu wanasafiri ni muhimu...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi

    Tanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi 1. Premier line 2. Kandahar invest 3. Msigwa Express 4. Njombe express Kinachouma Jeshi la Polisi hawataki kutoa taarifa. Mifumo ya Nchi imeparalyse kila mtu anafanya atakalo. Matajiri hawaguswi sababu ya Rushwa. Waongea ukweli...
  13. JamiiForums Tanzania Hujuma stendi ya Mabasi ya Nyegezi ( Mwanza)

    Serikali imewekeza Fedha nyingi saana ambazo ni kodi zetu sisi walala hoi kwenye ujenzi wa Stand hii ya Nyegezi lakini leo nimesikitika kukuta chooni hakuna maji na ni kwazaidi ya miezi Sita(6). Mkandarasi anayetoa huduma amejibu kwa wepesi tuu kwamba amewapigia simu watu wa mamlaka na...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Usafiri wa Mabasi Mbeya hauzingatii ratiba, wanatoa tiketi za karatasi na baadhi ya madereva wanalewa

    Mabasi ya kutoka Mbeya hasa yanayosafiri Usiku hayafuati ratiba ya safari, kwa mfano kuna siku nilipanda basi kutoka Mbeya kwenda Morogoro walisema linaondoka Saa 12:00 Jioni ila tuliondoka Saa 2:00 Usiku pale Stendi Kuu. Tulipofika Uyole wakapaki tukaondoka Saa tano Usiku kwa hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Mabasi ya Kenya, huu ni urembo au ni Ushamba?!

    Mabasi ya Kenya yamenishinda. Nikisafiri na mabasi kama haya lazima usiku niote ndoto mbaya! Hiyo michoro na mapichapicha yamevuka mipaka ya mapambo.
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Kindamba: Mwendokasi iligeuka Mwendohasira, hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi (UDART), Waziri Kindamba amesema mwendokasi iligeuka kuwa mwendohasira na kwamba hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili. Aidha, amesema basi jipya la majaribio linalotumia gesi asilia litakalobeba abiria 155 litaanza...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli Pamoja na kuwa Waziri ila watoto wake wote aliwasomesha primary Kayumba. mzee aligoma Jesca kusoma shule za Mabasi ya njano

    Habari wadau. Interview ya mtoto wa magufuli na millard ayo, imeeleza mengi. Binti wa Magufuli amesema baba yao akiwa waziri toka wanazaliwa bado aligoma kabisa watoto wake wote kwenda kuwasomesha kwenye shule za msingi za english medium. Na akawapeleka shule za msingi za Serikali, maarufu...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu: Shetani anatufundisha kubadili mawe kuwa mkate, Waziri baada ya miezi mitatu tu ana ghorofa kumi, mabasi 100

    "Tunafundishwa daima na shetani kubadili mawe kuwa mkate, wewe ni waziri katika nchi badili mawe haya kuwa mkate, kweli waziri huyu baada ya miezi mitatu tu ana ghorofa 10, ana mabasi 100. Na nyie vijana wangu chochote utakachokipata, kama viongozi na hata kama ni waumini shetani yupo nyuma...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Fahamu vituo mbalimbali kwa mnaosafiri kwa njia ya mabasi kwenda mkoa wenye wasomi wengi kagera

    Wadau hamjamboni nyote? Niwakumbushe vituo mbalimbali kwa wanaJF mnaosafiri kwa njia ya mabasi kwenda kanda pendwa ya ziwa Morogoro, Dodoma,Manyoni, Singida, Shelui , Igunga, Nzega, Tinde, Kahama Ushirombo na Muleba Niwatakie siku njema
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini ticket za mabasi ya mwendokasi zisikatwe kupitia mawakala wa Bank?

    Usafiri wa mabasi ya mwendokasi upo taabani yawezekana Kuna wizi uliyokithiri na hii ndio huluka ya watanzania na kama ni wizi basi upo katika ukutishaji wa ticket Ukienda kukata ticket unalikuta libaba ndio kinakatisha ticket uwaga najiuliza hivi kweli libaba kama hili mshahara pekee wa hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…