mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbeya: Hukumu kesi ya IGA itasababisha mabadiliko makubwa ya sheria zetu miaka 3-8 ijayo.

    Maamuzi ya kesi ya kupinga mkataba wa IGA yanayotarajiwa kutolewa kesho nayaona yakienda kubadilisha upepo wa kisiasa, ni Maamuzi mazito ambayo yataenda kubadili Katiba na Sheria zetu nyingi na kupelekea viongozi kushtakiwa kwa jinai na kuliingiza Taifa katika hasara kubwa kwa kuingia mikataba...
  2. JamiiForums Tanzania Tunavyoweza kuchochea mabadiliko katika Utawala Bora na Uwajibikaji

    Utangulizi Utawala bora na uwajibikaji ni msingi wa maendeleo na ustawi wa taifa lolote. Nyanja hizi ni muhimu katika kukuza uwazi, usawa, na ufanisi katika utoaji wa huduma za umma na maamuzi ya kisiasa. Katika andiko hili, tutajadili umuhimu wa kuleta mabadiliko katika nyanja hizi na jinsi...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Uchambuzi: Namna ambavyo ubovu wa mifumo endeshi ya kiutawala inavyofifisha utawala bora na namna ya kuuendea utatuzi wake ili kuleta mabadiliko

    Kwa mataifa mengi duniani, imekuwa kawaida watawala kutumia mifumo ya kiutawala inayokiuka misingi ya utawala bora. Katika kukuza na kudumisha utawala unao zingatia zaidi uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa mahakama, uwazi, haki na umoja, ushirikishwaji wa wananchi na...
  4. JamiiForums Tanzania Chongolo: Watanzania wako tayari uwekezaji wenye tija na mabadiliko bandarini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesema Watanzania kwa ujumla wao wameonesha utayari na uhitaji mkubwa wa kuona uwekezaji na uendeshaji utakaoleta maboresho, ufanisi na kuongeza mapato katika Bandari ya Dar Es Salaam, hivyo ameielekeza Serikali ya Chama Cha...
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Njia za Kutokomeza Ufisadi na Kuleta Mabadiliko ya Kiuwajibikaji na Kiutawala kwa Maendeleo Shirikishi ya Nchi Yetu

    Samahani Andiko limefutwa!
  6. JamiiForums Tanzania Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

    Washauri wa Rais wameshindwa kujua Bandari na TRA ambazo ndio roho za Tanganyika hazipo kwenye Muungano au ni amri kutoka juu kwa ajili ya ujio wa DPW ZPA - ZANZIBAR PORT AUTHORITY TPA - TANZANIA PORT AUTHORITY ZRA- ZANZIBAR REVENUE AUTHORITY TRA - TANZANIA REVENUE AUTHORITY === Kamishna wa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji wa Utawala Bora na kuimarisha utawala wa sheria kwa usawa na haki

    UWAJIBIKAJI WA UTAWALA BORA NA KUIMARISHA UTAWALA WA SHERIA KWA USAWA NA HAKI Utangulizi Uwajibikaji wa utawala bora na kuimarisha utawala wa sheria ni msingi wa maendeleo endelevu katika jamii. Makala hii ina lengo la kuchunguza jinsi uwajibikaji na utawala bora vinavyoweza kuleta mabadiliko...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kujiajiri vijana inahitaji mabadiliko ya mfumo wa elimu nchini

    Kujiajiri vijana inamanisha vijana waliohitimu vyuoni waanzishe kazi au biashara zao wenyewe kutokana na elimu waliyonayo au waliopata vyuoni. Kwa maoni yangu hili ni wazo zuri saana lakini linahitaji wanafunzi waliopo mashuleni na vyuoni wapate kusoma na kufanya vitu ambavyo kiuhalisia...
  9. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji wa Sekta ya Umma katika kuleta mabadiliko chanya

    UTANGULIZI  Sekta ya umma ina jukumu muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Uwajibikaji wa sekta hii ni msingi wa utawala bora na ufanisi katika kutoa huduma kwa wananchi. Makala hii ina lengo la kuchunguza umuhimu wa uwajibikaji wa sekta ya umma katika kuleta mabadiliko chanya...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala bora huleta mabadiliko thabiti katika nyanja mbalimbali

    Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu katika kujenga jamii inayosimamia haki, usawa, na maendeleo endelevu. Nyanja mbalimbali za jamii, ikiwa ni pamoja na serikali, sekta binafsi, mashirika ya kiraia, na wananchi wenyewe, zina jukumu la kuhakikisha uwajibikaji na utawala bora...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala bora Mabadiliko na Ajira kwa Vijana

    Utangulizi: Utawala bora ni msingi muhimu katika kujenga taifa lenye maendeleo endelevu na imara. Nchini Tanzania, kuna fursa kubwa ya kuleta mabadiliko chanya katika nyanja za utawala bora, uchumi, na ajira, hususan kwa vijana ambao ni rasilimali muhimu ya taifa. Katika makala hii, tutachunguza...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Kupambana na Ufisadi: Kichocheo cha Mabadiliko

    Utawala bora ni lengo linalotamaniwa na kila jamii inayotamani maendeleo na ustawi. Ni msingi wa uongozi unaojali haki, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Kuleta mabadiliko katika nyanja zote za utawala bora ni changamoto kubwa, lakini pia ni fursa adhimu kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Kiwango cha Usajili wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)

  14. JamiiForums Tanzania Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea

    Kuna kitu kichwani kinanimbia kuwa Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea. Viongozi wengi walioko madarakani sasa hivi wameshafikia saturation point ya kufikiri na ni suala la muda tu chochote kinaweza kikatokea. Katiba+Bendera=Mzalendo 🇹🇿
  15. JamiiForums Tanzania Biashara zinanzoelekea kupotea kutokana na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia

    (1) Biashara ya kuunza Magazeti Hii ni biashara ambayo imewatoa watu wengi sana kama akina ERICK SHIGONGO mf. gazeti lake la ijumaa,Sun etc. But now days watu weng wanapata habari kupitia kwenye simu, TV etc. Mfano akina MIllard Ayo etc. (2) Biashara ya kuunza mafuta ya taa Hii ni biashara...
  16. JamiiForums Tanzania TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha Uwajibikaji na Utawala Bora Katika Sekta Yote: Mwongozo wa Hatua za Mabadiliko

    Kichwa Cha Andiko: Utasaidia kuongeza uwajibikaji na kuboresha utawala bora katika sekta yoyote kwa kuzingatia hatua zifuatazo: 1. Kuunda mfumo wa uwajibikaji: Fanya uhakiki wa muundo wako wa uongozi na uwajibikaji. Hakikisha kuwa majukumu na wajibu wa kila mtu wanaeleweka wazi. Weka njia za...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuleta Mabadiliko Yenye Tija kwa Uwajibikaji na Utawala Bora

    Utangulizi: Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu katika kuhakikisha maendeleo thabiti na ustawi wa sekta yoyote. Katika andiko hili, tutajadili mbinu na mikakati ambayo inaweza kuchochea mabadiliko chanya katika uwajibikaji na utawala bora. Lengo letu ni kuboresha ufanisi na uwazi na...
  19. JamiiForums Tanzania Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

    Nimepokea sms ya AzamTv kuhusu kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 01/08/2023. Mkeka ni kama ifuatavyo;
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko baadhi ya Sekta

    Kwenye nchi Kuna baadhi sekta inatakiwa zibadilike kimuundo na uendeshaji, na viongozi wetu hususani watunga sheria hawako tayari kuunda mifumo inayochochea uwajibikaji (viongozi wengine siyo wawajibikaji kama wanavyodai). Kuna baadhi ya sekta zikiundwa zitaleta utawala bora na uwajibikaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…