mabadiliko ya katiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali yapitisha mabadiliko ya katiba Simba, uwekezaji sasa njia nyeupe

    Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imeidhinisha rasmi marekebisho ya Katiba ya klabu ya Simba baada ya kukamilika kwa mchakato wa kisheria uliokuwa chini ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Michezo. Ikumbukwe Februari 16, 2026, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul...
  2. PostGE2025 Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ?

    Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ? Vyombo vya habari vya ndani vimechapisha vijana hao wasio na hatia walionekana kwenye vilio, ikumbukwe vyombo vya usalama vimeshtumiwa zaidi ya mara...
  3. Mabadiliko ya katiba yakija vijana tugome kuongozwa na wazee

    Nyerere alikuwa Rais. akiwa na Miaka 39 tu Mwangalie Obama Rais Bora kuwai kutokea duniani. Mohamad Gadafi alikuwa kijana na mapinduzi makubwa libya Mwangalie Traore Yaani Ni Marais ambao wanafanya au walifanya mapinduzi makubwa wakiwa vijana. Ukizeeka thinking capacity yako inakufa Ndio...
  4. Rais wa CHAD kuongoza kwa kipindi kisichokuwa na ukomo

    Bunge la Chad limepitisha marekebisho ya katiba yatakayomruhusu Rais kuongeza muda wa kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 bila kikomo cha mihula, hatua iliyopigiwa kura na wabunge 171 na sasa inasubiri kuidhinishwa na Seneti. Kwa mujibu wa taarifa ya Radio France Internationale (RFI)...
  5. E

    Vyama vinavyojinadi kuleta mabadiliko ya Katiba baada ya uchaguzi kupitia Ilani

    Madai ya kuwa na katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano yamekuwa ya muda mrefu, tangu wakati wa kurejesha mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, ambapo Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipendekeza suala hilo ili katika iliyokuwepo iendane na mfumo huo. Hata hivyo, mabadiliko ya Katiba hayakufanyika wakati...
  6. PICHA: Nitazunguka nchi nzima kupiga debe wakati wa mabadiliko ya katiba ili kuondoa Ukomo wa Urais

    Hata kama ni Kwa baiskeli, Haya mambo ya Miaka 10 tutakuja kuleta watu waturejeshe tulikotoka, Nimejiridhisha anapendwa kuliko yoyote Duniani kwa sasa. Wakati ukifika tutaongea Kwa sauti.
  7. GE2025 Salum Mwalimu: Nikipata Urais nitafanya mabadiliko ya Katiba

    Mgombea Urais kupitia Chama cha maendeleo kwa Umma (CHAUMA) Salum Mwalim amesema kuwa Kama akipata ridhaa ya kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha anafanya mabadiliko ya Katiba ya nchi Pamoja na mifumo ya kisheria. Mwalimu ameyasema hayo mara baada ya kuchukua fomu ya...
  8. Mabadiliko ya katiba ya CCM, yameimarisha demokrasia ndani ya chama

    Rais samia amefanya mengi yakukumbukwa, kama mkuu wa nchi lakini pia kama mwenyekiti wa ccm. Jambo kubwa sana ndani ya chama, ni kusimamia mabadiliko ya katiba ya ccm kupanua wigo wa demokrasia. Kupitia mabadiliko haya tumeshuhudia idadi ya wagombea kuongezeka katika majimbo. Kupanuka kwa...
  9. GE2025 CCM imesikiliza maoni ya wanachama wake na kufanya mabadiliko ya Katiba yake

    Mabadiliko ya katiba ya ccm yaliyoridhiwa na kuidhinishwa mkutano mkuu wa ccm taifa kidigitali jana, yamechochewa kwa kiasi kikubwa na maoni ya wana CCM wenyewe, kwa kuongezwa wigo zaidi kwa watia nia wa ubunge na udiwani, ili wajumbe wapate nafasi nzuri zaidi ya kuwapima watia nia hao na...
  10. R

    Hakuna kura ya hapana, wajumbe 99.8% walioshiriki wanataka Maboresho ya Katiba CCM

    Wakuu, Haya ndo yanayojiri uko kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, wajumbe wanataka Mabadiliko Hao watatu wameharibu kura sijui ni kina nani Soma pia: GE2025 - CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu
  11. CCM wameshindwa kufanya mabadiliko ya katiba ya nchi, Wameamua kubadili katiba ya chama ili kumbeba mgombea aliyepitiahwa kwa njia HARAMU.

    Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
  12. Nitashangaa sana kuona vijana wanazani kuwa mabadiliko ya katiba ndiyo yatamletea Chakula Mezani

    Hakuna kitu rahisi katika ulimwengu haya mabadiliko tunayotaka ni namna nzuri ya ukoloni kudhibiti akili za wafuasi dhidi Nguvu kubwa inayotawala,siwezi kukataa kuwa maendeleo kwa namna fulani yanahitaji uwazi na uwajibukaji(sheria) ila sheria siku zote ipo upande wa Msimamiaji. Inshu ya...
  13. K

    GE2025 Rais Samia, Nakushauri (Mimi kama Mwana CCM Mwenzako) tuahirishe Uchaguzi ili Tufanye Mabadiliko ya Katiba na Sheria

    Kama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea kama ifuatavyo; 1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana, 2. Uhasama baina ya vyama vya upinzani na CCM utaongezeka, 3.Uzalishaji wa mali ndani ya nchi utazorota na huduma kwa umma...
  14. Historia ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 1994

    JE WAJUA?. Pichani ni Aliyekuwa Makamwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Omar Ali Juma (Wa kwanza Kulia) akiteta Jambo na Rais wa Zamani wa Afrika ya Kusini, Ndugu Nelson Rohlanla Mandela "Madiba" pamoja na Mkewe, Mama wINNIE mANDELA. Picha hii ilipigwa...
  15. W

    PreGE2025 Wakili Nkuba: Ili kupingana na utaratibu wa Rais kuteua Mkurugenzi wa Uchaguzi inapaswa kupeleka mapendekezo ya mabadiliko ya katiba kwenye eneo hilo

    "Katiba ndio imempa mamlaka hayo, Rais. Na nchi zote duniani Mkurugenzi wa uchaguzi, Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi lazima awe nominated na kuteuliwa na Rais" "Utaratibu huo ndio upo kwenye katiba kwahiyo kama unapingana na utaratibu huo maana yake unapingana na katiba, kwahiyo kama concern ni...
  16. PreGE2025 Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa

    Unaweza ukawa ni mvutano mpya kuhusu Katiba kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira, kusema kuwa hoja ya kutaka mabadiliko ya Katiba kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 imechelewa. Wasira ametoa...
  17. PreGE2025 CHADEMA ifanye mabadiliko ya katiba kumaliza mnyukano wa kugombea madaraka katika chama

    Katika nchi nyingi za demokrasia halisi uongozi wa vyama vya siasa huwa unabadilishwa punde tu baada ya matokeo ya uchaguzi, hicho ndicho kipindi kizuri cha kufanya tathmini ya uongozi kutokana na performance baada ya uchaguzi. CHADEMA kuwa inafanya mabadiliko ya uongozi mwaka mmoja kabla ya...
  18. T

    Hivi nini dhamira gani ilimsukuma Kikwete kuanzisha mchakato wa mabadiliko ya katiba miaka ya 2013-14!?

    Kila nikiona mambo yanavyoenda kwenye taifa letu chini ya ccm kuna kila dalili wafuasi wa ccm hawaoni shida yoyote ya katiba tuliyonayo yaani ni kama wameishaifikia nchi ya ahadi. Ndipo hunijia maswali kwani aliporuhusu mchakato wa mabadiliko ya katiba rais wa awamu ya nne alisukumwa na dhamira...
  19. Viongozi wa Upinzani DR Congo wapinga mabadiliko ya Katiba yanayoweza kumweka Rais Tshisekedi madarakani milele

    Vyama vya Upinzani vya DR Congo na Viongozi wa Mashirika ya kiraia mwishoni mwa juma walitangaza Muungano wa kupinga mabadiliko ya Katiba ambayo huenda yakamweka Rais Felix Tshisekedi Madarakani kwa muda usiojulikana. Muungano huo uliopewa jina la ‘Uamsho wa Kitaifa’, utafanya mkutano wake wa...
  20. Mkwe wa Donald Trump awachefua Wamerakani kwa kupendekeza mabadiliko ya katiba kuhusu uchaguzi

    Lara Trump, mkwe Donald Trump na Mwenyekiti mwenza wa kamati kuu ya chama cha Republican kitaifa ameanza kwa kuibua mzozo baada ya kupendekeza ni wakati sasa kufuatia ushindi wa Republicans Marekani kuwe na sheria moja ya kitaifa kuhusu uchaguzi tofauti na katiba ya Marekani ilovyoweka kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…