maarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi huyu jamaa wa kujiita maarifa anaimba nini?

    Oya wana kibaha eeeh!! Em njooni apa. Hivi hii ndio finest yenu? Yani kibaha nzima hakuna msanii wa maana mkaamua mtuletee huyu maarifa?? Ana maarifa gani? Anaimba utumbo gani? Kuna mtu anamuelewa kabisa huyu jamaa wa kujiita maarifa?
  2. S

    Kwa miaka 61, chama chenye maarifa mengi (CCM), kimeshindwa kutatua tatizo la maji na umeme!

    Sisemi mengi. Hivi inakuingia akilini kuwa CCM ni chama chenye maarifa mengi kama kwa miaka 61 sasa watanzania wanakabiliwa na shida ya maji na umeme wakati nchi imezungukwa na mito, maziwa na hata bahari? Yaani watu walioshindwa kutumia maji ya maziwa (mfano ziwa victoria) katika kupambana na...
  3. Ni Batili mawakili wa Tanzakujiita mawakili wasomi bali ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa zaidi

    Ni Batili mawakili wa TZ kujiita mawakili wasomi bali Ni halali kuitwa mawakili vilaza, Ila Ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa kuwazidi wao,soma hapa. Bila Shaka ndugu zangu wadau nyote mu wazima wa afya ,nakuombeni mrejee kichwa Cha habari Apo juu ni ubatili mkubwa,Kwa kweli...
  4. Part 2: Ukikaribia Miaka 40 Utagundua Vingi mojawapo ni kuwa Zawadi kubwa Zaidi ni kujaaliwa Akili na kuijaza maarifa sahihi

    Moja ya misafara nilojifunza vitu vikubwa ndani ya muda mfupi , ni huu msafara niloamua kwenda kutalii Falme za kiarabu. Nilianza Sharjah, huko nikakuta ni magodown ya bidhaa used yamejaa. Nikaenda Abuu dhabi kule ni makazi ya matajiri wa kiarabu na ndiko balozi za nchi mbali mbali ziliko...
  5. 1

    SoC02 Wanaangamia kwa kukosa maarifa

    Wanaangamia kwa kukosa maarifa WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA Ni miaka sitini imepita tangu uhuru upatikane. Watanzania wanaendelea kuishi kwa kuambiwa na kutenda kwa kuongozwa. Ni wachache wanaoamini “Elimu ni ufunguo wa maisha.” Theluthi ya wanaojiita wasakatonge, wanawakejeli na kuwabeza...
  6. SoC02 TEKNO MAARIFA: Simu Janja yako ni Ofisi yako

    1. Utangulizi Binafsi nimeanza kumiliki simu ya mkononi mwaka 2005, naikumbuka vizuri simu hiyo ilikuwa ni kutoka kampuni ya Motorola ndogo ndogo hivi yenye rangi ya Bluu na Nyeusi. Tangu nilipoanza kumiliki simu ya mkononi nilikuwa najiuliza mara kwa mara iwapo matumizi ya simu ni kupiga...
  7. SoC02 Kijana mwenzangu wa Kitanzania jibiidishe katika kutafuta maarifa mwenyewe usisubiri kutafutiwa

    Shikamoni wakubwa na wadogo zangu habarini za mda huu. Naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu kuwa "kijana mwenzangu wa kitanzania usisubiri kutafutiwa maarifa zaidi bila mwenyewe kuweka bidii katika kuongeza maarifa". Kwanza kabisa nataka kuongea na vijana ambao wamebahatika kusoma kozi za...
  8. SoC02 Urithishaji wa maarifa na uwajibikaji katika familia

    Urithishaji wa maarifa na uwajibikaji katika familia Uwajibijikaji kwa tafsiri ya kikamusi ni kitendo cha mtu mwenye wadhifa kuchukua dhamana ya kosa lililofanywa ama na yeye mwenyewe au mtu mwingine aliye chini yake, agh. kwa kujiuzulu. Neno lingine la Kiswahili linaloweza kufanana kimaana na...
  9. SoC02 Nataka kuwa mtu wa maarifa ndani ya Jamii

    Utangulizi. Maarifa ni elimu ambayo mtu huitaji ili aweze kuitumia katika maisha yake au kusaidia wengine kwa changamoto ambazo hawawezi kuzitatua kutokana na ufinyu wa maarifa. Maarifa unaweza kuyapata kwa kutumia elimu rasmi hiisiyo rasmi mfano mtaani. Tukiongelea neno mtu wa maarifa ni yule...
  10. F

    Tanzania ina watumishi wengi wenye upeo na maarifa madogo sana

    Watumishi wengi ni watu wenye maarifa na upeo mdogo sana! Wakati tangazo la nyongeza ya mishahara linatoka mimi Fumadilu Kalimanzila niliandika humu JF nikawaeleza kuwa Tanzania haina uwezo wa kuhimili nyongeza ya mishahara ya 23.3%! Nilishambuliwa sana humu. Leo mtu amekuta ameongezewa...
  11. T

    Kuongoza Taifa ni Maarifa wala sio vijembe, kunangana na kuwasema vibaya watangulizi wako

    Kiongozi wa Taifa lolote lile lililo fanikiwa kiuchumi na kimaendeleo basi huyo nikiongozi mwenye maarifa. Ningumu sana kwa kiongozi wa Taifa lolote lile duniani kuwa namafanikio chanya kama hatokuwa na maarifa na maono ya taifa analiongoza. Kiongozi nilazima uwe na maono na maarifa...
  12. A

    SoC02 Maarifa ya nyumbani; Elimu ya kujitambua

    Soma kwa utulivu mkubwa... Baba alinisisitizia kuchukua likizo kazini nirudi nyumbani nikamuone. Na alitaka nikae huko mwezi mmoja. Nilikua na mambo mengi sana kazini na nikamwambia sitaweza kupumzika kazi mwezi mzima. Lakini aliniambia mwezi mmoja wa kung'ang'ania kazi naweza kuujutia maisha...
  13. MAARIFA MBADALA: Tambua kitu sahihi kwa njia sahihi cha kufanya maishani

    Habari ya Usiku wana JF, Natumaini mko poa na wmaendelea vyema kabisa katika majukumu yenu na ratiba zenu za kila siku. Kuna nyuzi nyingi sana zipo humu majukwaani zinazoelezea njia mbalimbali yakupamana na tatizo la ajira yakitolewa mawazo na miongozo mbalimbali ambayo huenda si kwa kila mtu...
  14. M

    Akili tunazichukua kwa Mama, maarifa kwa Baba

    Wakubwa shikaamoni, vijana wenzangu habari zenu, Moja kwa moja katika mada katika huu utafiti wangu nilioufanya kwa muda mrefu kidogo, nimegundua kwamba tunapozaliwa akili tunachukua kwa mama maarifa au ujuzi kwa baba, utafiti huu ulianzia ndani ya familia yangu kwa baba yangu mwenye wake wanne...
  15. Watangazaji wa TV wapunguze maneno wanapokuwa katika vipindi mubashara ili wataalam watoe maarifa kwa kina

    Wakuu salaam, moja kwa moja kwenye mada, Kuna watangazaji wa vipindi mubashara ambavyo kuna wataalamu wa afya, elimu, viongozi nk hualikwa kwa ajili ya kudadafua mambo fulani kwa kina. Natambua watangazaji wanajukumu muhimu la kuongoza mijadala kwa kuuliza maswali au kupokea simu za watazamaji...
  16. T

    Jumanne Kishimba: Asilimia 90 ya wataalam wetu wanajua kusoma na kuandika ila hawana maarifa

    Akichangia bungeni leo mbunge huyo wa kahama ameshangazwa na namna wataalamu wetu wanaacha mambo ya kuwasaidia wananchi na kuiga mambo na kufanya kwa kufuata mkumbo badala ya kutumia akili zao kufikiri namna ya kuwarahisishia maisha wananchi. Ametoa mfano wa baadhi ya mambo yanayofanywa bila...
  17. Maarifa na Elimu Muhimu katika Maisha

    Soma kitabu hiki kuongeza maarifa na kipato zaidi 'WEWE NI TAJIRI: UMASIKINI UNAUTAKA MWENYEWE' kutoka CALIPA - CAS Life Purpose Academy Unajali Mafanikio yako, ya Mwanao au Ndugu yako Katika Elimu, Kijamii na Kiuchumi? Jisomee kitabu hiki: "MTOTO NA MAFANIKIO" hapa CALIPA - CAS Life Purpose...
  18. Kiingereza ni lugha tu kama nyingine, siyo kipimo cha maarifa

    Nyota wa Bongo flavour Diamond Platnumz amepata taabu sana mitandaoni kwa siku kadhaa sasa kutokana na kiingereza chake kwenye filamu ya #YoungFamousAndAfrican. Mdau mmoja amesema kuwa wengi hapa Afrika hususan Afrika Mashariki bado fikra zetu zinatawaliwa na wakoloni. Kiingereza sio kipimo...
  19. Maarifa ni chakula cha akili

    Tafuta kitabu chochote unachokipenda chenye kurasa zisizopungua 20,000; na jiwekee utaratibu au malengo kwa kila siku saa kumi na mbili jioni, lazima usome ukurasa mmoja tu, na usizidishe. Ukifanikiwa kukimaliza kitabu hicho chote kukisoma, kwa muda uliojiwekea bila kukwepesha kwepesha; sema...
  20. Kiasi kikubwa cha bangi ya hapa nchini ni kushabu, watu wanavuta makapi sio bangi

    Kushabu/Koshabu ni bangi ambayo haijakidhi viwango, unaweza kusema ni makapi pia. Inakuaga Ndio aina ya bangi ambayo huuzwa kwa kiasi kikubwa hapa nchini, kati ya wauzaji 10 wauzaji tisa huuza kushabu. huyo mmoja aliebaki hadi kumpata ni mpaka connection, nadra sana kumpata kiukweli, ubora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…