maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watu wa Mungu kulingana na hili linalo endelea ndani ya nchi yetu. Naomba tujifariji kwa neno la Mungu. Maana ukombozi umekaribia.

    Kutoka 14:14. Mithali 24:24. Zaburi 98:9. Mithari 14:34. Kutoka 14 : 14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya. Mithali 24 : 24 Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia. Zaburi 98 : 9 Mbele za Bwana; Kwa maana anakuja aihukumu nchi...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Msimamo wetu upo pale pale, tutaandamana Septemba 23, 2024

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini. Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani...
  3. JamiiForums Tanzania Masikini siwataki pm maana naona mnajaa kuomba hela

    Nyie masikini nimeshawaambia siwahitaji pm maana nawaona mnavyojaa kuomba pesa nimeshasema ukioniona barabarani ndio uniombe pesa mmesikia nyie masikini sitaki mtu pm tafadhali mnaanza kulialia shida zenu tafuteni hela muwe kama Mimi mtoto mdogo miaka 28 ila pesa nyingi huwa nashangaa jitu Zima...
  4. JamiiForums Tanzania Nini maana ya maisha?

    Habari, Leo Katika siku tulivu, nilipata muda wa kutafakari juu ya maajabu ya ulimwengu. Niliketi nje, nikisikiliza upepo ukivuma na kutazama anga pana. Katika utulivu huo, swali moja lilinijia: "Je, maisha ni nini?" Swali hili liliamsha hamu ya kutafuta majibu, lakini pia lilinifanya nijiulize...
  5. JamiiForums Tanzania Sijui nimtulizeje Maana nahofia naweza kuja kufa kwa sonona, Mliofanikiwa katika hili nipeni siri mlifanyaje?

    Niliambiwa, Bro, kummudu huyo yataka moyo. Nikajiwazia tu, shujaa hatelezi anapanda milima mingi mpaka kufika kilele, hawa waniache. Nikamtafuta kweli nikaanza kummiliki taratibu japo hakuwa mwingi kwangu. Jamaa na ndugu walipoanza kuniona nae tu, wakaniijia haraka na maswali yenye...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume mliopata wake wa maana wa kuoa, mliwezaje? Au mlijitoa tu ufahamu mkaoa

    Habarini, Niko kwenye umri wa kuoa ila kila nikiangalia sioni mke wa kuoa, binafsi sina standards kubwa ninazotarajia toka kwa mdada, na siko picky kihivyo, shida nikisema huenda huyu ni potential wife, unakuta mdada ni block 41 kikosi cha mizinga, hata kwenye mazingira ninayoishi kuna wanaume...
  7. JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi kwa njia ya Mfumo tunaomba u-refrect teknolojia mpya, kwa maana ya Kasi na uharaka zaidi

    Nitumie fursa hii kuishukru serikali yetu kwa huu mfumo wa ESS kwakweli nasema kutoka moyoni mwangu. God bless this 6th regime
  8. JamiiForums Tanzania Nini maana ya hili neno pale Azam sports

    Wakuu, hivi hili neno HD huwa lina maana gani pale Azam sports? Huwa naliona tu lakini sielewi
  9. JamiiForums Tanzania Jamaa wa Kenya imembidi awaoe mapacha maana hawataki kutenganishwa

    Ni mtangazaji wa Redio huko Kesho na umri wa miaka 26 na madenti wenyewe wana 20. Madenti wanasema hawajawi kutenganishwa tangu utoto, shuleni hadi ukubwani. Mabaharia wa JF naona tayari mmeshaanza fantasies zenu za threesome hahahah. Jamaa anasema: “Niliona wanafanana kwa kila kitu...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu Naomba Kuuliza Hapa NACTE Wana Maana gani?

    Naombeni kuuliza wataalamu je hapa Nacte wameshapokea matokeo ya mwanafunzi au bado au je hii pending inamaana gani?
  11. JamiiForums Tanzania Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

    Mbunge wa Kigamboni na Naibu Waziri wa Afya wa zamani Dkt. Faustine Ndugulile, ameshinda uchaguzi wa kiti cha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika. Katika Uchaguzi uliofanyika leo jijini Brazzaville nchini Congo, wajumbe 25 kati ya 46 wa Mkutano Mkuu wa 74 wa WHO...
  12. JamiiForums Tanzania Maana ya uchumba

    Nini Maana ya Uchumba? Uchumba ni kile kipindi cha Maandalizi ya kufungwa kwa ndoa. Maandalizi haya huhusisha utoaji wa mahari na uandaaji wa sherehe ya harusi (kama itakuwepo). Ikumbukwe kuwa, suala la sherehe Kikristo sio la lazima. Hivyo, hutegemeana tu na wahusika wenyewe wanataka nini...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Wale ambao ratiba ya Secretariat ya ajira inaonesha status ni ORAL pekee Ina maana hawatafanya WRITTEN?

    Kwa mwenye uzoefu na hili suala tafadhali?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Ex wangu 1 tu kati ya wanne walioolewa tulioachana bila ugomvi ndie mwenye msimamo, wengine penzi linaweza kuamshwa muda wowote

    nina ma ex wanne ambao tuliachana vizuri bila ugomvi kwa sababu za masomo, kazi na majukumu mengine, katika hawa ni mmoja tu ambae kashikilia msimamo wake sijaona akiwa na shauku ya kupasha kiporo, wengine watatu tunaweza tusichat hata miezi lakini muda tukionana ama tukichat ni kama season 2...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ianze kutoza Kodi mapato ya makanisa maana imekuwa biashara sasa.

    Ukweli kwa sasa, dini hasa makanisa imekuwa kama chambo Cha kupiga fedha za watu, kibaya zaidi sasa hasa wanaojiita manabii wengine wanatoka hata nje kuja kupiga pesa kwa kulaghai raia na kujitwalia utajiri mkubwa na pesa nyingi ambazo hazilipiwi Kodi. Ni vyema tubadilike tuanze kufanya...
  16. JamiiForums Tanzania Mfundishe mtoto bado mdogo programming computer sio aje kukukuta ukubwani ndio maana tunazidiwa na wenzetu

    Programming computer ni mfumo wa lugha za vifaa ambavyo vyenyewe vinajua moja na ziro tu. ila kutokana na uwezo mfumo wa digital moja ziro ndio zinaweza kutambua mamilioni ya ziro na moja kwa wakati. Vifaa vyote tunavyotumia kuanzia simu,computer,mawasiliano kama internet na vyote kwa ujumla...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Yanga sisi tunawaletea tu wachezaji wa maana ili muwasajili

    Chukueni Fernandez Chukueni Abdulrazak Hamza Chukueni Camara Chukueni Kagoma aliyewatoroka Chukueni Mukwala Chukueni Awesu Chukueni Okajepha Chukueni Ateba Kazi mnayo sasa hivi
  18. JamiiForums Tanzania Hii Serikali imefeli kwenye usalama

    Niwe mkweli serikali ya CCM Chini ya Rais Samiah imefeli kwenye suala la Usalama kabisa. Kwa Sasa inteligensia ya Polisi ipo Chini kabisa. Uhalifu unafanyika na Wala polisi hawana taarifa ya uhalifu huo na hata ukiwapelekea taarifa hawaufanyii kazi. Kwa mfano kifo Cha Samwaja huko Singida. Mtu...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi alipokisokota kimasai Ngorongoro!

    Bila shaka ilikuwa katika kuitumia falsafa ya Mandela: "If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. If you talk to him in his own language, that goes to his heart." -- Nelson Mandela. Asijue kumbe kama nyati waliojeruhiwa, wamasai walikuwa hawana cha mswalia...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mgogoro wa Ngorongoro maana mbuga ni muhimu haiwezi kuhamishwa Ila ndugu zetu nao muhimu pia

    Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…