maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vichekesho Afrika haviishi, Kanisa lina maana kubwa kuliko kiwanda

    Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi. 1. Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue. 2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Rais Kusema Nina Boss wangu hapa, Au ndo Futungo

    Naanza kutengeneza conspiracy theory, tunaamini Rais ndio Kiongozi Mkuu kabisa wa nchi, ambaye anapewa madaraka na wananchi. Sasa hili Suala la Rais Samia Kusema kuwa yeye pia ana boss wake limeleta sintofahamu kubwa sana juu ya Kauli yake kuwa Kikwete ndio Boss wake. Hii inamaana Samia amepewa...
  3. JamiiForums Tanzania Kutafuta maana, kukutana na giza

    Uhai ni safari ya nafsi inayojitahidi kugundua maana ya kuwepo. Hatua za kutatanisha, ambapo mtu anajikuta akitafuta majibu, macho yake yakitafuta mwangaza katika kivuli cha kutokujua. Ni dunia yenye hisia nyingi, lakini ikiwa na mwelekeo wa kutokuonekana wazi. Hapa, kila hatua ni swali, kila...
  4. JamiiForums Tanzania waandishi wa habari ni wanasiasa Wana vyama vyao ndio maana wanaandika habari za upande mmoja nchi yetu Haina Tena hazina ya waandishi tuna machawa !

    Sisi wazee wa zamani tulioshuhudia kalamu Bora za waandishi wa habari tukiwaona Hawa wa kisasa tunachanganyikiwa!! Taaluma ya habari imenajisiwa vibaya mno ,waandishi karibia wote ni wanasiasa na wapambe na nimakuwadi wa chama Fulani ? Watawezaje kubalance habari? Leo hard news zinazohusu nchi...
  5. JamiiForums Tanzania Nini maana hii ndoto?

    Wasalaam,kuota ni kawaida kibinadamu.Ila natamani nijue maana hii ndoto. Nimeota nimeshika Hot Pot ina Pilau nzuri sana.Nikawa napita njiani watoto wadogo wananifuata wanataka niwape. Nikawa nawapa kidogo ila bado wanataka na wananifuata. Wadau nini maana yake
  6. E

    JamiiForums Tanzania Maana ya Jina la Kichaga 'Monoruwa' – Msaada Tafadhali!"**

    "Maana ya Jina la Kichaga 'Monoruwa' – Msaada Tafadhali!" "Habari zenu wana jamii! Nina swali kuhusu jina la Kichaga 'Monoruwa'. Naomba mwenye ujuzi wa lugha ya Kichaga au historia ya majina ya Wachagga anisaidie kunielezea maana yake.
  7. JamiiForums Tanzania Covid 19 na wanachadema wengine mlio gombea CCM ubunge, kwa sababu ya tamaaa zenu! Mkienguliwa huko, msililie Maana mmekataa NRNE

    Watanzania wote hatutawasikiliza mkipigwa chini huko ccm kwenye kura za maoni. Mmekataa masilai ya taifa , mmetanguliza matumbo yenu, Ivi mhajifunzi kwa yule makamu wa zanzibar mwaka 2014 akisimama upande wa haki, mfumo wakamtimbua kama mwasheria wa serikali, karma ikamkumbuka leo hii ni makamu...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna Jamaa humu ukiwasoma kichwani unaona.... Wanafaa kuwa Wabunge tu maana kwa akili zao hamna jambo la maana wanaweza kufanya

    nafasi ambayo ni rahisi sana kuipata kwa sasa na ambayo haina changamoto yoyote kwa kazi zake. mtu yeyote anaweza fanya ni Ubunge kwa sasa. hii ni nafasi ya kutumikia wananchi kirahisi sana ambayo mtu yeyote as long as anajua kusoma na kuandika anaweza igombea na kupata. kuna watu humu ukisoma...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Ina maana hizi barua zote Samia na Serikali yake hawazioni au wanazipuuza

    Marekani imeonya. Nchi za Ulaya zinaonya. DUA-Africa inaonya. IDU-The International Democracy Union ilionya. Kwamba sisi ni special sana duniani au ni kibri na jeuri tu tuone watafanya nini. Yetu macho, Ila aonywaye mara nyingi huvunjika shingo.
  10. JamiiForums Tanzania Jamani mtutoe wasiwasi maana tunaambiwa yule ngamia wa semaji ameshaliwa na wananchi

    Wakuu hili lina ukweli au ni porojo tu? mnatutia wasiwasi wanachama na wapenzi.. Kama ni kweli semaji atapanda nini sherehe ijayo? mbwa, fisi au? Je yanga hawawezi kuchukuliwa hatua kwenye hili wakuu maana yule tayari alikuwa alama yetu wekundu? Je kama ni kweli je kanuni hazijakiukwa kweli hapo?
  11. JamiiForums Tanzania Nimechoka kuigiza, mara kadhaa nimekua nikiona matumizi ya neno "KOBAZI" kwenye nyuzi mbalimbali humu jamvini. Naomba anaejua anisaidie maana yake

    Wanajamvi kama nilivyotangiliza heading, mara kadhaa nimekua nikikutana na neno KOBAZI kwenye comment mbalimbali humu jamvini, nimejaribu kufuatilia bila mafanikio. Juzi nimeuliza nikaambiwa ni viatu lakini kila nikiangalia uhusiano kati ya viatu na comment za watu jamvini nakua sielewi kabisa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ndiyo maana Gwaji Boy kachukua fomu, kumbe kuna asiyempenda meza itapinduliwa soon?

    ...... ...... Ningeshangaa, mbali na kutamkiwa wazi kuwa hatakiwi, leo kapata wapi ujasiri tena wa yeye kwenda kuchukua fomu? Kumbe kuna mapinduzi ndani ya chama la mapinduzi? Watajuwana wenyewe huko
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nasikia mgombea mwenza anapigiwa chapuo kisa mzalendo ndio maana Bunge halijavunjwa!!

    Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!! Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!? Je tetesi hizo ni za kweli!!? Nasikia ndio maana vikao vya...
  14. JamiiForums Tanzania Tuna Askari Police wenye akili kama huyu?Hii ndio maana ya jamii iliyoelimika

    Askari mlio humu...je hutakiwi kutafakari au kuhoji amri yoyote unayopewa?Hebu msikilize mwenzenu hapa👇
  15. JamiiForums Tanzania Pacoume Zouzou vs Mpanzu — Sasa basi, maana Pacoume ni bora kuliko Mpanzu

    Katika ulimwengu wa soka, mijadala ya nani ni bora kuliko mwenzake huwa haikwepeki. Kwa sasa, gumzo limekuwa kati ya wachezaji wawili mahiri: Pacoume Zouzou na Mpanzu. Wote ni wachezaji wenye vipaji, lakini katika makala hii tunachambua kwa undani sababu zinazomfanya Pacoume kuwa juu zaidi ya...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli tunaizidi Uchumi maana sisi tunaringa na Tausi wa Ikulu halafu wenzetu wana chuma chakavu hiki😄

    Kabla Jaji aliyekimbia kesi hajapokea maagizo mengine hebu tufanye tena tafakuri ya jambo hili.. Hivi hoja ya kuizidi Uchumi Marekani ilikuwa ni hoja iliyotokana na fikra timilifu za binadamu au zilitokana na wenyeji kumlisha mgeni maharage ya Simiyu yalioungwq na mafuta ya pamba? Au ni upepo...
  17. JamiiForums Tanzania Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

    Ni kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC? Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kuwa boda boda mwisho umri gani nataka nikajribu upande huo maana hali tete

    Wadau msaada maana hali tete sikujipanga kimaisha naona naelemewa na maisha sasa naona kazi ya haraka ni boda boda Ila mimi umri umeenda sasa sijui naweza pambana uko
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli Viongozi ni zao la wananchi maana wanatoka kwenye jamii , tatizo linaanzia kwenye jamii, mpe KIJANA wetu million 10 uone vipaumbele vyake!!

    Huo ndo ukweli mchungu , Viongozi ndo picha ya halisi ya JAMII husika Akili kubwa haiwezi kukubali kuongozwa na akili NDOGO Vipaumbele vya viongozi ni vipaumbele vya jamii husika Tunalaumu viongozi wanunua magari ya mabilioni kwenda kuzindua miradi ya mamilion au kutembelea wananchi wasio na...
  20. JamiiForums Tanzania Upinzani Iran waanza maandalizi ya kupokea uongozi maana ni dhahiri Ayatollah atalazwa muda usio mrefu

    Wana mpango wa kuiweka nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia na kuondokana na uzombi wa dini ya muarabu... Reza Pahlavi, the eldest son of the last Shah of Iran and the former crown prince, said that plans are in place for a 100-day transitional period if the Islamic Republic regime falls in war...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…