maagizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    Masauni atoa maagizo matano Bodi ya NCMC

    Dar es Salaam. Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa maagizo matano kwa Bodi ya Kituo Taifa cha Kuratibu Kaboni (NCMC) kilichopo Morogoro mara baada ya kuizindua bodi hiyo. Waziri Masauni ametoa maagizo hayo leo Machi 6, 2026...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Marekani yaituhumu Rwanda kukiuka makubaliano ya Amani ya DRC yaliyosainiwa Washington

    Serikali ya Marekani imeishutumu Rwanda kwa kutotekeleza kwa uaminifu makubaliano ya amani yaliyotiwa saini Washington yanayolenga kuishia machafuko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ikisema wazi kuwa vitendo vya Kigali vimekuwa ni ukiukwaji wa makubaliano hayo yaliyofikiwa...
  3. baz kaiza

    Kama Tume inapewa maagizo mchana kweupe ni jibu tosha. October 29 yalikua ni maagizo tufunge Mjadala

    MUNGU ni mkubwa sana kama kuna mtu anaweza kukaa anasubilia majibu ya tume kwamba yanaweza kuja na kitu cha maana huyo inatakiwa kuwahi Mirembe hospital mara moja na kupata matibabu.
  4. Desierto

    Ifike mahali serikali iache kutoa maagizo kwenye mambo yanayo hitaji taaluma

    Et unasikia kiongozi flani anampa maagizo kiongozi wa ngazi au taasisi flani, inamaana hiyo tasisi haijitambua kabisa mpaka ifanye kazi kwa maagizo na maelekezo. Basi kuna haja gani ya kuajiri wasomi ninasema hivyo baada ya kuona baadhi za kesi za kuonewa mpaka watu wapewe maagizo ndiyo haki...
  5. Tlaatlaah

    Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

    Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na...
  6. Waufukweni

    GE2025 Wakili wa Jamhuri aomba Kesi ya Tundu Lissu isitishwe kuonyeshwa kwenye Vyombo vya Habari, kulinda mashahidi

    Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ametaka kesi ya Tundu Lissu isiendelee kuonyeshwa moja kwa moja kupitia Vyombo vya Habari ili kulinda mashahidi kwani ushahidi wao unaweza kupelekea utambuzi wao. "Mahakama Kuu, kwa busara zake na kutaka kuona kwamba hawa mashahidi raia hawapati vitisho...
  7. R

    Chadema fungua shauri mahakamani kupinga maagizo ya msajiri wa vyama vya siasa, "inaezekana" ana maagizo ya mamlaka yake ya uteuzi, anaweza kuifuta.

    TAKE IT SERIOUSLY Huyu mtu anatafuta sababu ya kuifuta chadema. Msifanye kosa, nendeni mahakamani mfungue kesi kupinga maamuzi yake. Msidharau kauli zake maana zina maagizo ya mteule wake! Hawa CCM and it affiliates siyo watu tena, ni wanyama kabisa, na kweli ataifuta (ingawa inaweza kuleta...
  8. technically

    Rais Samia toa maagizo kwa NIDA wawapigie watu simu wawaletee vitambulisho kwenye halimashauri walizopo!!

    Nasikitishwa na hii tabia ya nida kutaka kufuta vitambulisho ambavyo havijachukuliwa unakuta mtu alijiandikisha Tarime halafu yupo Dar kitambulisho kinachapwa Dar halafu kinapelekwa tarime wakati mhusika yupo dar!! Yaani nichukue laki2 kufatilia kitambulisho kweli kichekesho!! Hivi nida ni...
  9. Johnson Alex Otieno

    C.W.T BUKOMBE ,uchaguzi sio maagizo toka Juu ni mchakato huru,wazi na wa haki.

    Salaam kwenu wana wa nchi. Nimepita hapa jimbo la Bukombe na nimekutana na mambo ya ajabu sana. Moja ya mambo haya ni Uchaguzi wa Chama Cha Walimu Tanzania. Katika mchakato wa kuwapata viongozi mbalimbali wa chama hiki cha wasomi wa Tanzania na walezi wa watoto wa Watanzania nimeambiwa na...
  10. Waufukweni

    CHADEMA wadai kuzuiwa msibani kwa mwanachama wao, kufuatia maagizo kutoka juu

    Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamekasirishwa na kitendo kinachodaiwa kufanywa na familia ya marehemu kwa kushirikiana na Jeshi la Ulinzi kuwazuia kushiriki kama chama kwenye msiba wa aliyekuwa mwanachama na Mweka Hakina wa chama hicho Jimbo la Mbagala, Bi Rose...
  11. Pfizer

    Serikali Yatoa Maagizo kwa Soko la Hisa na TCB Kuwezesha Uwekezaji kwa Wananchi

    Serikali imeagiza Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na Benki ya TCB kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata elimu ya kutosha kuhusu umuhimu wa kuwekeza katika soko la mitaji kwani ni muhimu kuongeza ushiriki wa wananchi katika uwekezaji wa hisa, ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kusaidia...
  12. kipara kipya

    Huyu Maria Sarungi anatoa maagizo haya kwa wanachama, yeye ana cheo gani uko CHADEMA?

    Maria Sarungi ni nani ndani ya Chadema mpaka awapangie watu
  13. R

    "In the Name of the President: Tafsiri yake ni: Maagizo kutoka juu-by Erick Kabendera

    Nilishindwa kujua maana yake mpaka niliposikia clip ya Mohamed ghassani https://youtu.be/HfQqupIGlKM "In the Name of the President: Tafsiri yake ni : MAAGIZO KUTOKA JUU
  14. Kekule Wa Benzene Ring

    Je, Utumishi Wanaenda Kinyume na Maagizo ya Waziri Wa Elimu na Rais Kwenye Suala la Ajira za Ualimu?

    Wakuu Habari! Naomba nisiwachoshe niende kwenye MAADA moja Kwa moja. Leo Utumishi Kupitia kurasa zao za kijamii wametoa Tarehe za usaili Kwajili ya waalimu. Chakushangaza ni kama wanaenda kinyume na maono na maagizo ya waziri wa Elimu Prof. Adolf mkenda. Waziri Kwa kutumia AKILI Zake kubwa...
  15. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Atoa Maagizo kwa Mkandarasi Kuharakisha Ujenzi Barabara ya Kigamboni

    WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO KWA MKANDARASI KUHARAKISHA UJENZI BARABARA YA KIGAMBONI Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amefanya ziara katika wilaya ya Kigamboni kujionea maendeleo ya miradi ya ujenzi wa barabara na kutoa maelekezo kwa mkandarasi anayetekeleza mradi huo, kampuni ya Nyakemore...
  16. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Atoa Maagizo ya Kuboresha Miundombinu ya Barabara Kipande cha Ubungo Hadi Kimara Kuepusha Msongamano

    WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA KIPANDE CHA UBUNGO HADI KIMARA KUEPUSHA MSONGAMANO Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ametoa maelekezo ya haraka kuhusu mradi wa upanuzi wa miundombinu ya barabara za mabasi yaendayo haraka (BRT)Awamu ya Kwanza kipande cha...
  17. N

    Krismasi ni mapokeo ya wanadamu wala sio maagizo ya Mungu

    SOMO: SIKUKUU YA CHRISTMASS NI MAPOKEO YA WANADAMU WALA SIO MAAGIZO YA MUNGU Wakolosai 2:8 Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo. Katika maisha...
  18. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Atoa Maagizo kwa IGP Wambura Kuelekea Sikukuu za Mwisho wa Mwaka

    BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KWA IGP, WAMBURA KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA. 📌 Kuimarisha ulinzi, doria na ukaguzi vyombo vya moto usiku na mchana. 📌 Kuondoa vizuizi na vituo vya ukaguzi maeneo hatarishi barabarani. 📌 Kufanya Operesheni maalum nchi nzima kupambana na wahujumu miundombinu ya...
  19. Roving Journalist

    Waziri Mkuu atoa maagizo, vizuizi barabarani vinasababisha ajali

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekemea utaratibu wa uwekaji wa Vizuizi na vituo vya ukaguzi barabarani bila kuzingazia tahadhari ya usalama kwa watumiaji wengine wa barabara. Waziri Mkuu amekemea utaratibu unaofanywa na baadhi ya Halmashauri kuweka vizuizi na vituo vya ukaguzi kwa kuziba...
  20. Waufukweni

    Makamu Mwenyekiti Umoja wa Wazazi CCM ampongeza Rais Samia kwa maagizo ya maafa ya Kariakoo

    Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Iddi Mabrouk (MNEC) alifika Kariakoo eneo ambalo jengo la ghorofa lilipoanguka na kusema kuwa wanamshukuru Rais Samia kwa maagizo aliyoyatoa kuhusu kadhia hiyo.
Back
Top Bottom