maafisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Cowiti anusurika kuuawa Tarime na genge la wauaji, wadhurumati, wafanya magendo wakishirikiana na baadhi ya maafisa, asota mahabusu

    Mnamo Tarehe 30 Desember 2022, Majira ya saa 6 usiku, maofisa wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa walifika katika Hotel ya PKM Tarime Mjini na kumkamata Ndugu Lameck Cowiti. Operation ambayo ilionekana ya siri maana walimdaka nje ya uzio kabla hajaingia hotelini. Alikuwa akitokea katika...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali ya CCM yashindwa kulipa Posho za Madaraka ya Walimu Wakuu, Wakuu wa shule, vyuo, na Maafisa Elimu kata pamoja na ruzuku za shule Dec 2022

    KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elimu kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Novemba na Decemba 2022. Hali hii imekwenda mbali...
  3. JamiiForums Tanzania Kama Umeona Maafisa Ugani Wenye Vishkwambi, Pikipiki na Vipima Udongo, Njoo Hapa

    Kati ya mwezi Machi na June Waziri wa Kilimo aling'ara sana na kuimarisha huduma za Kilimo Vijijini. Wengi tulimsifia kuwa anaupiga mwingi na yeye ndiye mfano kwa mawaziri wengine. Moja ya mikakati yake ilikuwa ni kuwa wezesha Maafisa Ugani na vitendea kazi kama Pikipiki, Vishkwambi na Vipima...
  4. JamiiForums Tanzania Majibu ya DNA yanavyowasababishia matatizo Maafisa Ustawi wa Jamii

    Licha ya kipimo cha vinasaba kuwa uthibitisho wa mwisho kwa wazazi wanaotaka kuthibitisha uhalali kwa watoto, mara kadhaa maofisa ustawi wa jamii huingia kwenye lawama majibu yanapotoka. Hayo yameelezwa na Ofisa Ustawi wa Jamii wa Mkoa wa Dar es Salaam, Namara Elisha wakati wa mafunzo ya...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya lapokea hoja ya kuwaondoa kazini Maafisa wa IEBC waliokataa ushindi wa Rais Ruto

    Bunge la Kitaifa limethibitisha kupokea mapingamizi 4 ya kuwafuta kazi Maafisa 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi waliodai Matokeo ya Urais hayakuwa halali. Makamu Mwenyekiti wa Tume, Juliana Cherera, na Makamishna Francis Wanderi, Justus Nyang’aya na Irene Masit walipinga matokeo yaliyotangazwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Siri Imefichuka: Maafisa wa Ngazi ya Juu wa Marekani Wanamshawishi Rais wa Ukraine Afanye Mazungumzo na Putin

    Baada ya kuona hakuna dalili ya vita kumalizika leo ama kesho. Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani wanamshawishi rais Ukraine ajongelee kwenye meza ya mazungumzo iwapo rais Vladimir Putin ataendelea kuwepo madarakani. Taarifa hizo zimevuja kutoka kwenye timu iliyoundwa mahususi kwa ajili ya...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Maafisa wanne wa Kikosi Maalumu (SSU) kinachotuhumiwa kuteka na kuua watu kufikishwa Mahakamani leo

    Walikuwa sehemu ya Kikosi Maalumu cha Upelelezi ambacho kilivunjwa na Rais William Ruto kwa madai ya kutekeleza mauaji ya kiholela na kutoweka kwa washukiwa kwa miaka kadhaa. Miongoni mwa wanaodaiwa kuwa waathirika ni raia wawili wa India waliotoweka mwezi Julai na mabaki yao kugunduliwa wiki...
  8. JamiiForums Tanzania Urusi yaendelea kuondoa maafisa wa kijeshi Kherson na kuacha makapuku wanywa gongo wajifie

    Ili kuepuka kupoteza maafisa wa kijeshi kwa moto unaokuja wa wazalendo wa Ukraine, imeamua kuwaondoa na kuacha wanywa gongo waliosaili juzi wajifie ili watumike kuchelewesha mapigo ya Ukraine...... Russian military officers have withdrawn from Kherson as Moscow prepares for a Ukrainian...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa wa Kitengo kinachodaiwa kuua watu Kenya waomba aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi (DCI) ajumuishwe kwenye kesi

    Maafisa hao 21 watakaoanza kuhojiwa leo na Kitengo cha Mambo ya Ndani (IAU) wamesema walikuwa wakifanya kazi kwa maelekezo ya kiongozi huyo hivyo wanataka naye ahojiwe. Mmoja wa maafisa amesema "Kwa siku mbili tumekuwa tukihojiwa juu ya mambo ambayo hatuelewi. Tunayosikia ni masuala ya Mauaji...
  10. JamiiForums Tanzania MOSSAD yawaua maofisa wake sita kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran

    MOSSAD imeua maafisa wake sita wa intelijensia kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran Utawala wa Israel umewaua maafisa wake sita muhimu kufuatia kufeli operesheni ya shirika lake la ujasusi Mossad ya kufanya hujuma na uharibifu kwenye kituo kimoja cha viwanda mkoani Esfahan nchini Iran...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Naarifiwa wiki hii wanaopita kwenye barabara za Mwendokasi Kimenuka wanakamatwa na maafisa wa UDART, hawaangalii Jeshi, Polisi wala nani

    Kipindi cha mwendazake watu walikua na adabu hasa kufuata sheria bila shuruti ila kwa sasa Mama wanamchukulia poa, pale Jangwani barabara za Kasi wako MP kabisa inamaa Polisi nao wamweshindwa kazi. Tanzania ni nchi ambayo kufuata sheria hasa kwa viongozi ni kitendawili wakati Ulaya ndio takwa...
  12. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Maafisa wawili wa Urusi wafa kwa shambulio la bomu ubalozini

    Vigumu sana kuelewa haya maugomvi, Urusi amekua akisifiwa na wavaa kobaz tangu alipovamia Ukraine, ila leo naona wanajitoa mhanga kwa kujilipua kwenye ubalozi wake. ISIL claims responsibility The ISIL (ISIS) group claimed responsibility for the attack late on Monday. An ISIL fighter “blew up...
  13. JamiiForums Tanzania Msongo wa mawazo, Mwanajeshi Mrusi auwa maafisa wa FSB kule Kherson, kisa ulevi

    Hali inazidi kuwa balaa, Kherson kunawaka moto, Warusi wameingiwa na msongo wa mawazo hawajui wanachopigania kwenye nchi ya watu, huyu kalewa mipombe na kufanya yake kwa wenzake...... A Russian soldier shot dead two FSB officers in occupied Kherson after he was caught swigging alcohol while in...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Baadhi ya maafisa wa Polisi huiba mafuta ya Serikali kuendeshea vyombo vyao binafsi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa/ Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, leo tarehe 30 Agosti, 2022 == Samia Suluhu Hassan amesema anazo taarifa...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia afungua kikao kazi cha Maafisa Wakuu Waandamizi wa Polisi, Shule ya Polisi TZ (TPS) Moshi, Agosti 30, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa / Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, leo tarehe 30 Agosti, 2022. Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania - IGP...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi yadai maafisa wake walitaka kushambuliwa ofisini

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imedai kuwa wafanyakazi wake walitaka kushambuliwa na kundi la watu waliokuwa wana silaha, jana Saa 2:30 Usiku, Agosti 22, 2022 lakini ilishindikana kutokana na ulinzi kuwa imara katika ofisi hizo. “Walitaka kuvamia wakati wafanyakazi wetu wakiandaa majibu...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Liberia awasimamisha Kazi maafisa 3 wa Serikali baada ya Kuwekewa Vikwazo na Marekani kwa ufisadi

    Rais George Weah amewasimamisha kazi maafisa watatu baada ya serikali ya Marekani kutangaza kuwawekea vikwazo kwa madai ya Rushwa na Ufisadi wa mali za Umma Maafisa hao ni pamoja na Nathaniel McGill, Waziri wa nchi na Mkuu wa wafanyakazi wa Rais, anashutumiwa kwa kutishia wapinzani wa kisiasa...
  18. JamiiForums Tanzania Anna Makinda: Maafisa wa sensa watakiwa kujitolea kuonyesha uzalendo

    Salama wandugu, Hii nchi mbona double standard sana. Waliwafanyia interview watu ili kuwapa kazi sasa kama walikuwa hawana hela za kuwalipa hao maafisa wangetangaza ajira za kujitolea kuonyesha uzalendo. Ingefaa zaidi uzalendo waanze wabunge na mawaziri wasilipwe posho ili haki itendeke...
  19. JamiiForums Tanzania Wapelelezi wa Mikoa Watakiwa Kufuatilia kwa Ukaribu Matukio ya Ukatili wa Kijinsia na Watoto

    Kamishina wa Polisi Jamii (CP), Fausitine Shilogile amewaelekeza wakuu wa upelelezi katika mikoa (RCO) pamoja na madawati ya jinsia kuhakikisha wanafuatialia kwa ukaribu kesi za ukatili wa kijinsia na unayanyasaji wa watoto ili wanapopeleka jalada kwa Mwanasheria wa Serikali liwe na ushahidi...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa Usalama warejeshwa nyumbani kwa Rais Mteule Ruto

    Mwaka mmoja baada ya Maafisa wa Idara ya Usalama kuondolewa kwenye makazi ya aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto na nafasi yake kuchukuliwa na Maafisa wa Polisi wa Utawala, leo wamerejeshwa rasmi. Kwa mujibu wa sheria ya ulinzi wa viongozi, Rais Mteule William Ruto anapewa ulinzi wa maafisa 200...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…