m23

The M23 is a motorway in the United Kingdom, running from the south of Hooley in Surrey, where it splits from the A23, to Pease Pottage, south of Crawley in West Sussex where it rejoins the A23. The northern end of the motorway starts on what is effectively a 2-mile (3.2 km) spur north of junction 7 of the M25 motorway (junction 8 on the M23). From Hooley it runs for 17 miles (27 km) past Redhill, Gatwick Airport and Crawley. A spur runs from junction 9 to Gatwick Airport.

View More On Wikipedia.org
  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC walaani mashambulizi ya M23 na RDF, waunga Mkono juhudi za Kidiplomasia kutatua mgogoro huu

    Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ulifanyika tarehe 31 Januari 2025, Harare, Zimbabwe, chini ya uenyekiti wa Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa. Mkutano huu ulijadili hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
  2. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Video: Suala la Congo, Watutsi (Banyamulenge) na M23 lachukua sura mpya. Inachanganya sana

    Video kwa wale wasio na mihemko na wanaoelewa Kiingereza tu.
  3. T

    JamiiForums Tanzania M23 yalitembelea Jeshi la Afrika Kusini kambini kwao

    Jeshi la M23, limetembelea kambi ya Mubambiro. Baada ya mazungumzo (hawakuingia kambini, waliishia nje ya kambi). Wanajeshi wa Afrika kusini wameonyesha kuridhia ukarimu wa M23 na kuomba mambo matatu: 1. Kuruhusiwa kwenda Goma, kwa kutumia vifaru, wakakusanye vitu vyao vilivyopo kwenye kambi ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mbona huyu Bisimwa kiongozi wa M23 anongea kiswahili fasaha hivi?

    Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa? Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa. Bado nahisi tuna shida mahali. Tanzania 🇹🇿 tuache mambo ya ujirani mwema...
  5. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Hebu Msikilizeni JK Kipindi Akiwa Rais, Ni Kuhusu Ishu Ya M23 na Kagame. Na Nini Mtazamo Wetu WanaJF

  6. D

    JamiiForums Tanzania Hivi nani gaidi kati Israel na M23 au Wanamgambo wa kule Gaza?

    Kwa maoni yangu Islael ndo magaidi mana walivamia nchi ya watu na wanaendeleza ugaidi. Ee Mungu wahurumie na waokoe wapalestina. Mimi mkatoliki mwaminifu.
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais wa Kundi la waasi wa M23: Atoa wito kwa waandishi na vyombo vya habari kuwa huru kufanya kazi katika mji wa Goma

    Waandishi wa habari wameambiwa wasiwe na hofu kabisa kuendelea kukusanya taarifa zote katika mji wa Goma! Waandishi wetu wa Bongo wangeweza hili? ======================= Rais wa Kundi la waasi wa M23 Bertrand Bisimwa ametoa wito kwa waandishi na vyombo vya habari kuwa huru kufanya kazi katika...
  8. BAK

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    - Seven Pounds Official Movie Trailer HD
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania M23 wasema hawaondoki Goma waapa kuendelea kusonga mbele kuelekea mji mkuu Kinshasa

    Kundi la waasi wa M23 Alhamisi limeapa kusonga mbele kuelekea mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kinshasa, huku wapiganaji wake wakisonga mbele zaidi katika eneo la mashariki mwa nchi lenye utajiri wa madini. Kundi hilo kuchukua udhibithi wa sehemu kubwa ya Goma, mji mkuu wa Jimbo la...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ki ukweli M23 ndo wazalendo wa Congo ila perception yetu kwao ni hasi kwa sababu fikra zetu ni finyu

    M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza. Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi. Afrika aliyeturoga alituua haswaa.
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa makundi ya waasi wakiwemo M23 leo kasema wapo Goma kimoja na wataendeleza kampeni hadi Kinshasa. Hii ni ishara mbaya kwa Tshesekedi

    Huku waasi wa M23 wakiwa wameuchukua na kuweka chini ya himaya yake mji wa Goma, baadhi ya vikosi vya askari wa kukodiwa walokuwa wakipigana sambamba na majeshi ya serikali ya Congo DRC, imekuwa ni viguu kuamini kuwa ndani ya Congo DRC kuna makundi ya waasi na mamluki yapatayo 120. Yote makundi...
  12. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya vifaa walivyozawadiwa M23

    Pichani, ni magari ya kivita na siraha nzito. Zilitelekezwa na jeshi la Congo, na kwa sasa ni mali ya M23. Hakika na serikali ya DRC ni mmoja wa wafadhili wakubwa wa M23. Pamoja na vifaa hivyo, imo ndege moja ya kivita, aina ya Sukhoi -25. Zaidi ya wanajeshi 480 ambao ni RG(Rwpublican Guard)...
  13. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Wajue M23, historia na uhusiano wao na Rwanda

    M23 ni kikundi cha waasi wa Kikongo kinachotegemezwa na Rwanda na kinachofanya kazi katika Mashariki mwa Kongo. M23 inasimama kwa "Movement of 23rd of March" (Harakati ya 23 Machi), jina lililotokana na makubaliano ya amani waliyofanya na serikali ya Kongo mwaka wa 2009. M23 ilitokana na CNDP...
  14. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Rais wa DRC CONGO atafuta uungwaji mkono huko Angola, aapa kuingamiza M23

    Amani iwe kwenu wadau Rais wa Kongo ameenda kuonana na rais wa Angola na amemwomba jeshi likasaidie kuwaondoa m23 Na ameapa inyeshe mvua lipige jua lazima awaondoe M23 Kibabe sana Tuendelee kuombea Aman ndugu zangu LONDON BOY
  15. B

    JamiiForums Tanzania Waasi wa M23 watamani kufika Kinishasa, Je ipi nafasi ya Tanzania kuinusuru DRC Congo isihanguke

    Waasi wa 23 wanasema lengo lao ni kufika Kinshasa na kuiangusha serikali ya Tshisheked, je wataweza. JE IPI nafasi ya Tanzania km nchi yenye nguvu ya kijeshi afrika mashariki na rafiki wa kiuchumi na Congo.
  16. imhotep

    JamiiForums Tanzania Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu

    Wakuu, Habari ndio hiyo, Waasi wa M23 wanaelekea Bukavu mji mkuu wa jimbo la Sud Kivu baada ya kuuteka mji mkuu wa Nord Kivu wa Goma. ================================================== The humanitarian crisis in the Democratic Republic of Congo intensifies as Rwanda-backed M23 rebels advance...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kile kikosi chetu Cha JW kilichowapa raha M23 mnamo mwaka 2013 Kiko wapi?

    Watu wengi wanatamani kuona vijana wetu wakiingilia kati aggression ya M23 inayoendelea nchi ya congo. Conspiracies zimekuwa nyingi mno kujua nikwanini vikosi vyetu havijaingilia kati kwa sasa. Natamani kujua ukweli dhidi ya huu uonezi, na kwanini vikosi vya M23 vinapata ushindi kirahisi sana.
  18. W

    JamiiForums Tanzania PDF la vita inayoendelea DRC, wakongo wa Mashariki wanaonewa na serikali yao, wakombozi wao ni M23 na Rwanda

    Kabla ya kuilaumu Rwanda kuhusu suala la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), nataka nikupatie historia fupi kuhusu kinachoendelea katika sehemu ya mashariki ya Congo. Hii ilianza vipi? Unachosikia kila mara ni kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa M23, na serikali ya DRC...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Rwanda inatumia mfumo wake wa ulinzi wa angani, Iron Dome

    Bombe zinazotupwa na DRC kuelekea Rwanda, kwenye Gisenyi, karibu na mpaka wa Congo, Rwanda inatumia mfumo wake wa ulinzi wa angani, Iron Dome, kuharibu mabomu hayo angani kabla hayajafika ardhini na kugonga lengo." ================================== The bombs being thrown by DRC towards...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma

    Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokwama nchini Kongo (DRC) wameomba msaada wa haraka baada ya waasi wa kikundi cha M23, kinachodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, kuteka mji wa Goma. Soma, Pia: Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma
Back
Top Bottom