m23

The M23 is a motorway in the United Kingdom, running from the south of Hooley in Surrey, where it splits from the A23, to Pease Pottage, south of Crawley in West Sussex where it rejoins the A23. The northern end of the motorway starts on what is effectively a 2-mile (3.2 km) spur north of junction 7 of the M25 motorway (junction 8 on the M23). From Hooley it runs for 17 miles (27 km) past Redhill, Gatwick Airport and Crawley. A spur runs from junction 9 to Gatwick Airport.

View More On Wikipedia.org
  1. NetMaster

    Hongera kwa Ruto kutowarembea M23, Akiwa mpole Kenya Magharibi itaanza kuchezewa kama Congo, M23 = Rwanda + Uganda

    Mwanzoni mtoto wa M7 alikuwa anapima kina cha maji kutesti reaction ya Ruto, Nahisi aliona Ruto ni Docile akaanza kumtesti kwa kumwambia ataiteka Nairobi ....ujumbe huu ulikuwa ni direct kwenda kwa Mkuu wa majeshi ya Kenya ambae ni Ruto. aliweka ujumbe kwamba anaweza kuikamata Nairobi ndani ya...
  2. Crocodiletooth

    Kenya kuungana na majeshi mengine ya EA kwenye kufurusha majeshi ya M23, Drc kaskazini.

    It's so complicated, kwa mujibu wa BBC, Majeshi ya M23 yanayodhaniwa kufadhiliwa na Rwanda ambayo ni miongoni mwa nchi za EA, Hili limekaaje , na kwanini EA, Isimkaripie Rwanda kuacha kufadhili waasi hawa ambaye ni mwanachama wao.
  3. FRANCIS DA DON

    Ushauri: Rwanda iache kufadhili waasi wa M23, Wakongo wameshachoka sasa

    Kuna maandamano kila mahali ya kupinga kitendo cha Rwanda kuwafadhili waasi wa M23 wanaoleta machafuka yasio isha huko DRC. Wakongo wamechoka, Tanzania tumechoka, Afrika mashariki imechoka, Africa imechoka, na hata dunia imeshachoka. Waache sasa. Na sisi Tanzania tujiulize, silaha nzito nzito...
  4. GENTAMYCINE

    Msitudanganye 'Boss' Tshisekedi kaja kuomba Msaada wa 'Kijeshi' kupambana na 'M23' na siyo Kibiashara

    Mwambieni akitaka Amani Kwake DR Congo apunguze Ukabila, aache Kuwaibia Pesa Wakongo awaondoe Wanajeshi wanaolinda Amani huko (hasa kutoka MONUSCO) ambao Wengi wao Wanatoka nchi ya Mwenyeji wake wa leo waondoke kwani Wanatesa mno Raia na hata Kuua (kama ilivyoripotiwa na BBC Mwezi Septemba...
  5. GENTAMYCINE

    M23 yamuonya Rais wa DRC na nchi 'viherehere' zinazomsaidia

    "Kwakuwa Rais wa Congo DR amekataa Kuzungumza nasi sasa tunamuomba asitulaumu kwani sasa tutampiga na kuanza Kukamata miji yote Muhimu na asidanganywe na Wanajeshi wa nchi Mbili Viherehere wanaomsaidia kwani watarejea Makwao wakiwa Maiti" Msemaji wa Waasi wa Kundi la M23. Chanzo: Amka na BBC ya...
  6. JanguKamaJangu

    Mapigano makali yanaendelea DRC vs M23 licha ya makubaliano

    Mashambulizi makali yametokea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) baina ya Jeshi la Serikali hiyo na wanamgambo wa M23, ikiwa ni nis aa chache tangu Rais wa DRC, Felix Tshisekedi kukubaliana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame kupunguza uhasama kuhusiana na mapigano hayo. Msemaji wa...
  7. JanguKamaJangu

    Gen. Makenga, kamanda mkuu wa M23 amerudi DRC kuongoza mashambulizi

    Kamanda mkuu wa kundi la waasi la M23 Generali Sultani Makenga amerudi mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, akitokea nchi Jirani ambayo msemaji wa kundi hilo Maj. Willy Ngoma hakutaja. Maj. Ngoma amesema kwamba tangu arudi DRC, Generali Sultani Makenga amekuwa akitembelea wapiganaji...
  8. Alice Gisa

    Jeshi la Kongo DRC sasa linaweza kuidhibiti M23 na majirani wabaya

    Jeshi la nchi ya Congo DR limeonyesha uborekaji wa hali ya juu kwasasa . tangu waasi wa M23 wafanikiwe kutwaa mjii wa mpaka wa Bunagana nimekua nikifuatilia kwakaribu sana mapigano ya kila siku ya vita hii. Mwazoni ni kama Jeshi lilishitukizwa na mashambulio lakini baada ya wiki mbilijeshi...
  9. Mr Putin

    M23 wafungua mpaka na kuruhusu wakimbizi kurundi makwao

    M23 waonyesha kuwa na leadership kuliko Serikali ya Kinshasa. Wafungua mpaka wa Bunagana na kuruhusu wakimbizi kurudi. Kisekedi hapa kapigwa kitu kizito.
  10. Lady Whistledown

    Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeishutumu Rwanda kwa uvamizi baada ya waasi wa M23 kuuteka mji muhimu wa Bunagana uliopo mpakani mwa Rwanda na DRC, na hivyo kuashiria kuongezeka kwa hali ya wasiwasi kati ya nchi hizo jirani Mji wa Bunagana ulioko kaskazini mashariki mwa Goma, una...
  11. Nyendo

    DR Congo yaishutumu Rwanda kuisapoti M23 baada ya kutokea mashambulizi makali

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imeishutumu Rwanda kwa kukisaidia Kikundi cha M23 baada ya Jeshi la DR Congo kushambuliana na kikundi hicho katika mashambulizi makali Mashariki mwa Taifa hilo yaliyotokea Mei 26, 2022. Mashambulizi hayo yaliyotokea Kaskazini mwa Mji wa Kivu karibu na...
Back
Top Bottom