The pluriarc, also called paata, mapu, luku, kissanga, and bow lute is a stringed musical instrument of West Africa, classified as a type of lute. It has a hollow body and several curved, pliable necks made of reeds. The strings stretch from the necks to the bridge, which stands approximately 1.5 inches (38 mm) above the body. The body may be round, rectangular, or triangular, and is usually made of light wood. The top of the body can either be a separate board, bound or nailed to the lower part, or made from the same piece of wood as the rest. A hole may exist on the underside that can be opened or closed to change the timbre.It is played by plucking the strings, which are usually open but sometimes contain a stop. The strings may be plucked with fingers or a plectrum. The flexible nature of the necks means the instrument cannot be tuned precisely.Pluriarc designs have been characterized into three types by country of origin: those of southwestern Africa, central west Africa, and western Nigeria.
Tusipotezeane muda niingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nilikuwa nanunua LUKU nikawa nimekosea namba moja nikawa nimenunua kwa mita namba nyingine.
Nimepiga simu nirejeshewe fedha yangu naambiwa hadi niandike barua. Hivi TANESCO hawawezi kuwa na mfumo kama wa mitandao ya simu ya...
Nimenunua umeme tarehe 29 mwezi wa sita nimekatwa 1000 huku huko nyuma nilishakatwa tarehe moja. Nilijua wamebadirisha tareha za makato.
Leo nimenunua tena nimekatwa 1000
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme).
Mashuhuda wa...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA )kwa Kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tunapenda toa ufafanuzi kuhusiana na Utekelezaji wa ukusanyaji wa kodi ya majengo kwa kutumia njia ya ununuzi wa umeme kwa wamiliki wa majengo ya Ghorofa kama kiambatanisho hapa
Najihusisha na huduma za uwakala na Moja ya huduma ninayoitoa ni manunuzi ya umeme ambapo serikali pia hukusanya Kodi ya majengo Kwa TSH 1000 Kwa Kila mwezi,Kuna malalamiko mengi kutoka Kwa wateja.
Mosi, kukatwa Kodi isiyo halali(kuibiwa),mfano Kuna mteja alinunua umeme mwezi machi, Leo Mei...
Salamu humu
Natumia natumia line ya Airtel.
Kama kichwa cha habari kinavyosema.. msg zinazokuja ni za token tu na nyingine ya muamala kuwa unashughulikiwa. Lakini meseji ya salio lako limebaki kiasi gani kwenye airtel money sipati.
Au ni kwangu tu vipi huko wenzangu na mitandao mingine ikoje?
Habari zenu wote humu ndani.
Kuna sehemu ilikuwa na frem mpya kabisa nikaona nichukue chumba, kila chumba kina meter yake, cha ajabu leo hii naaka ninunue luku ya elf 5 inakataa, nikaweka umeme wa elf 10 nimeambuliwa kupewa unit 10 tu za ememe wa elf 3 huku deni likiwa elf 6, buku iliyobaki...
Hili ni zuri sana, haikulazimishi kulipia mtungi mzima kwa Sh 23000 au Sh 58000. Kwa Sh 1000 yako tuu (buku) unanunua sehemu ya gesi iliyo kwenye mtungi na kupikia. Achana na zile gesi ikiisha unatelekeza mtungi na kurudi kwenye mkaa au kulazimika kutibua bajeti yako uliyojiwekea.
Unalipia...
Shirika la Umeme Tanzania limetangaza kufanya matengenezo hayo kwenye Kanzi Data ya Mfumo wa manunuzi ya Umeme (LUKU) ili kuongeza ufanisi.
Matengenezo hayo yatachukua siku 4 kuanzia Jumatatu Septemba 12 hadi 15, 2022 na wateja wataweza kununua Umeme muda wote isipokuwa kuanzia saa 4 usiku...
Dah, haya ni majanga aisee, kwa kutumia tigo pesa muda huu nimenunua unit 0.5KWH kwa 1,200/ aisee. Hivi hii ni shida gani tena?! Sms ya mwisho inaelezea ufisadi huo wa unit 0.5KWH kwa shilling 1200 aisee, sina jinsi najiuliza tatizo nini?
Jioni ya leo Agosti 17,2022 Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa tangazo la kuahirisha zoezi la matengenezo kinga kwenye mfumo wa LUKU kama ilivyotangazwa mapema hivi leo asubuhi.
Tangazo la awali lilisema Tanesco kuzima mfumo wa kununua Luku kwa siku 4 kuanzia Agosti 22 hadi 25 kuanzia...
Baada ya masaa machache kutangaza wamekuja na hii tena.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) laahirisha zoezi la kuzima mfumo wa ununuzi wa umeme wa LUKU kama ilivyobainisha saa chache zilizopita.
TANESCO wanaeleza kuwa watatoa taarifa pindi zoezi hili likitaka kutekelezwa kwa wakati mwingine...
Dar es Salaam.
Wananchi hawataweza kununua umeme kwa njia ya LUKU kwa siku nne, Agosti 22 - 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi kutokana na matengenezo kwenye kanzidata ya mfumo wa Luku.
Meneja Mwandamizi wa Tehama katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Cliff Maregeli...
Aina ya mita ninayotumia ni EDMI, HD21. Meter number inaanzia 4302.
Hakuna mawasiliano kati ya mita na rimoti ya kuingizia umeme, rimoti inaload bila kuleta taarifa za mita, hivyo hata umeme inashindikana kuingiza.
Tatizo ni nini? Tumelala na giza jana usiku, msaada tafadhari.
TANESCO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.