lugha ya kiingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    PostGE2025 Februari 19: Shahidi wa kwenye kesi ya Lissu ashindwa kusoma PGO ya Polisi iliyoandikwa kwa Kiingereza. Lissu amjibu!

    Wakuu, Hivi inakuwaje Polisi hajui kusoma PGO ya kiingereza? Au huyu shahidi hakutaka kujibu swali la Lissu =========== Mhe.Lissu: Mhe.Jaji naomba shahidi apewe PGO Mhe.Lissu: Shahidi soma PGO 236. Coplo Vicent : hii PGO ni ya kingereza siwezi kusoma. Mhe.Lissu: Wambura ameandika kingereza...
  2. S

    Watanzania na changamoto ya matumizi ya lugha ya kiingereza mitandaoni

    Hello Wana jamiiforums? Ni jambo lisilopingika kwamba lugha ya Kiingereza ni lugha muhimu katika dunia ya leo, hasa kwenye elimu, ajira na mawasiliano ya kimataifa. Hata hivyo, hali inayojitokeza mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii inaonyesha kuwa Watanzania wengi hawana uelewa mzuri wa...
  3. R

    Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Bakari Shingo ashindwa kuendelea kwenye kinyang'anyiro kwa kushindwa kukidhi kigezo cha lugha ya Kiingereza

    Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Bakari Shingo, amejiondoa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi za uwakilishi wa Tanzania kwenye taasisi muhimu za kimataifa za mabunge baada ya kushindwa kukidhi kigezo cha umahiri wa lugha ya Kiingereza wakati wa mchakato wa uteuzi. Uchaguzi huo ulifanyika ili...
  4. Tech Max

    Natafsiri vitabu kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 Tsh kitabu kimoja

    Natafsiri vitabu kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 Tsh kitabu kimoja, kitabu natuma WhatsApp au kwa email Nicheki 0756704145
  5. D

    Shule ipi ya msingi inafanya vizuri katika matumizi ya lugha ya kiingereza Kwa wanafunzi wake maeneo ya Mbezi beach au Goba

    Salam wanajukwaa.. Kichwa cha mada chajieleza! Nahitaji kuhamisha mtoto wangu toka kwenye shule moja ambayo sifurahishwi nayo hata kidogo..haiwezekani shule ikaitwa English medium wakati watoto muda wote wanabonga lugha ya taifa shuleni na hawana uwezo kabisa wa kutema yai mpaka wanamaliza...
  6. U

    Taja maneno ambayo yanatumiwa sana na watu wasiojua lugha ya kiingereza vizuri

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye elimu
  7. Jack Daniel

    Kutokukujua Kiingereza kumenifelisha kiasi cha kukosa madili kibao

    Salaam JamiiForums Natamani kujua vyema lugha ya Kiingereza. Natamani ningeongea Kiingereza hata Kwa asilimia 50 tu naamini ningetisha sana. Achana na stori hizi, eti tunakuza na kudumisha lugha yetu,mara tuwe wazalendo. Acheni hizo kama hujawahi kusafiri kwenda nchi yoyote ya ughaibuni...
  8. GENTAMYCINE

    Mtoto wa Kike wa Tanga aliyesifiwa kujua Lugha ya Kiingereza kwakuwa kasoma Shule za 'Kata CCM' amewaumbua Wanaomsifia na aliye Ziarani

    Nimemsikia mwenyewe (tena kupitia TBC1 Taarifa ya Habari ya Saa Mbili usiku huu) huyo Msichana akisema kuwa kwa 95% hicho Kiingereza ambacho CCM na Mwenyekiti wake Taifa pamoja na Chawa Gegedu wake wanamsifia na kusema kuwa ni Faida ya Shule za Kata CCM hakujifunzia Shuleni hapo japo alikiri...
  9. Daby

    Tunakikumbatia kiswahili saana. Mkutano mkubwa wa kimataifa watu wanataka kujua nini kinaendelea. Tafuteni wazungumzaji wa lugha ya kiingereza

    Limkutano likubwa mnaweka watangazaji wa TBC wanaowaogopa wageni. Kikeke yupo hapo....Yunusi yupo hapo. Iteni watu wanaoweza kuwahoji wageni wawahoji Marais kadri wanavyoingia nchini. Hii ni fursa ya kujitangaza na kujijengea heshima. Tuchangamke wabongo. Na kesho ndiyo itakuwa aibu kama...
  10. Waufukweni

    Prof. Mkenda akiri msingi dhaifu wa Kiingereza chanzo cha wengi kufeli

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amekiri kuwa msingi dhaifu wa mafunzo ya lugha ya Kiingereza kwa wanafunzi wa sekondari nchini umechangia kwa kiasi kikubwa matokeo mabaya ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha pili mwaka 2024.
  11. Lugano Edom

    Unafahamu kwamba shule mpya za mfumo wa lugha ya Kiingereza za serikali zinafanya vizuri sana kiufaulu ukilinganisha na private?

    Nataka nikujuze kuwa serikali sikivu na utendaji. Imeanzisha shule za msingi zinazotumia lugha ya Kiingereza kufundishia na hata wanafunzi wake wanazungumza kiingereza bila kubabaika. Aloo. Tembelea siku moja shule hizi au mpeleke mwanao ukafaidi matunda ya nchi yako. Je, unazijua ENGLISH...
  12. Brain Kingdom

    Azam Media aibu tupu. Watangazaji wake lugha ya Kiingereza ni sifuri, wanatia aibu Taifa la Tanzania

    Azam Media mnatia aibu sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza? Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na Watangazaji wa Azam Media. Hii ni aibu, kampuni imejaa watu waliokimbia shule.
  13. D

    Kama hujui kingereza si bora uaache?

    Nimemsikia mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Hingera akiwa anaongea leo kuhusu vibali vya kuuza mahindi nje ya nchi nikitaka nimeona aibu mimi. Amesema eti hivyo vibali ni Null and valid" badala ya kusem Null and void.
  14. ChoiceVariable

    Walimu wa Tanzania jifunzeni Kiingereza na Kiswahili mpate kazi nje ya nchi. Walimu wa Kenya wapata mchongo Marekani

    My Take: Kinachowaangusha Watanzania ni Lugha ya Kingereza. ======= First Batch of Kenyan Teachers Exported to the US The Kenyan Government on Saturday flagged off the first batch of teachers who had secured job opportunities in the United States. This followed a policy and regulatory...
  15. bigamboc7

    SoC04 Lugha ya Kiingereza itumike kufundishia na kujifunza kuanzia awali mpaka chuo kikuu

    Tanzania tuitakayo lazima iwe na raia walio wengi Kwa ulimwengu wa sasa ambao angalau wawe na uwezo wa kutumia lugha za kimataifa angalau hata lugha moja ambayo itawawezesha kujiimarisha kiuchumi(Biashara za kimataifa), kisiasa (kitaifa na kimataifa), Sayansi na tekinoogia ( ambayo sasa Dunia...
Back
Top Bottom