love

  1. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya mbali yanadumu kweli?

    Hivi🤔 mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweli🤷. Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani
  2. JamiiForums Tanzania Concept love

    Hivi unaamini mapenzi siyo ku cheat ndo utamu utaisha? Mnaweza mkawa mna cheat na mapenzi yakawa matamu. Shida ni kuchokana, hapo ndo mwisho wa penzi.
  3. JamiiForums Tanzania Barua kwa mpenzi wa kwanza

    Since tumeonana I never thought kama ingekua hivi leo, I was young I know and I knew nothing about love! I never believed love existed, I only saw it in TV shows and movies. You are the one that taught me, wewe ndo ulianza kuonesha affection kwangu, I was afraid coz moyo wangu ulikuwa mbichi na...
  4. JamiiForums Tanzania Self love ndio nini?

    Haya jamani, Kuna kampeni inatembea duniani inaitwa self love. Wale watafsiri wa lugha sanifu ya Kiswahili waje watuambie, self love ina maana gani? Kama una picha weka.
  5. JamiiForums Tanzania Love story of short broke black man

    Za wakati huu wanajukwaa......naomba kupata uzoefu wenu haswa kwa wale wanaume wenye sifa hizi 1. Short (wafupi) futi 5.6 kushuka chini 2. Broke(wenye kipato cha papatu papatu) #upambanaji mwingi 3. Black(weusi) Mlifanikiwa vipi kupata wenza(wake,mzazi mwenzio,mpenzi kawaida nk). Kwa maana...
  6. C

    JamiiForums Tanzania I Love you too much Lamomy

    Hi ni mara ya pili nimenasa kwake ila bado hajanipa majibu ila nimerudi kwa mara nyingine ili ajue Kama nilimpenda sana. Ila Kama haiwezekani basi
  7. JamiiForums Tanzania Mapenzi hayafai ikiwa ni mtu moja anajuhudi zaidi ya mwengine

    Hii mada ni complex kidogo. Hivi kama mapenzi ni kati ya watu wawili me na ke, how come kwenye jamii ionekane kama mwanaume ndo kampenda mwanamke? kuna utaratibu kwamba mwanaume ndo anatakiwa achumbie which is true manaume ndo anatakiwa a make first move.... ila hii ni kama vile tunawapa nguvu...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempenda binti aliyepooza mwili, sielewi kama niendeleze ukaribu naye au lah

    hii ni similuzi niliyoitunga nilpokuwa shuleni Pugu Sec. School yaani ni BOEZ. Ilkuwa mwaka 2020 October baada ya kumaliza form 4 matokeo yangu hayakuwa mazuri kuendelea na advance yaani kidato cha tano. Basi nilipangiwa chuo cha NIT, kipo Unungo jijini Dar es Salaam nilisomea kozi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Unaweza kudhamiria kumuumiza mtu unayempenda?

    Hivi unaweza kweli kumuumiza mtu mpendae kwel. Yaani kumfnyia vtendo ambavyo havistahili kufnyiwa, km MPIGA BILA KOSA or kuuingza mwanmke mwengine akat yeye yupo? PIA kutokujal hisia zake juuu yako kam kuwa naye pamoja nyakat za NDOA?
  10. JamiiForums Tanzania True love is so rare!

    From my experience real love is hard to find, real people are so rare! Wanawake siku hizi hawaaminiki kabisa. Their intentions is to play you and use you. The same applies to men. Kijana msomi jenga future kwanza... don't let society pressure you uingie kwenye ndoa mapema. Wengi wameanzisha...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Did you know that Idi Amin Dada sent love letter to Queen Elizabeth?

    " My majesty Mr. Queen Sir, horrible ministers and members of parliament, invented Guests, ladies under gentlemen. I hereby thank you completely… Mr. Queen, sir; and also what he has done for me and my fellow Uganda who come with me. We have really eaten very much. And we are fed up...
  12. JamiiForums Tanzania New Couple in Town! I love you so much!

    Very new couple mjini!! Sio siri tena. Baada yakuwa single kwa muda mrefu, imeamulika sasa. Usingle tupa kule. My darling love financial services, I want to declare to the world and whole JF community Nakupenda sana! Ladies & Gentlemen its our time! My One and Only financial services. I...
  13. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimempata anayenipenda, naye ananipenda! Aisee, love is a beautiful thing

    Aisee nimekamatika mpaka jana nikatoroka, na leo nimesingizia naumwa ili niwe nae nisiende ofisini. Mimi ni mchapakazi sana na mara ya nyingi ni wa mwisho kuondoka ofisi, lakini naona mapenzi yataenda kufanya kibarua chagu kiote nyasi Mahusiano haya yenye mwezi sasa yanazidi kunibadilishia...
  14. JamiiForums Tanzania Valentine yako iliendaje?

    Wana MMU, na waumini wote wa mapenzi mpo salama? Valentine yako iliendaje? Matarajio yalifikiwa? Ulipata ulichokuwa unafikiria ungepata? Valentine wako allitokomea? Au ulipata surprise ya mwaka iliyoongeza tabasamu siku hiyo na kufanya iwe Valentine ya kukumbukwa? Let's go😀😀
  15. JamiiForums Tanzania Love don't pay bills and money don't cheat

    Vegas Gamblers girlfriend leaves him over gambling addiction so he makes new one out of money.
  16. L

    JamiiForums Tanzania I love so much Lizy

    Huyu mrembo nampenda sana sana, nimejiunga humu kwaajili yake. Dr Lizzy I love you so much.
  17. JamiiForums Tanzania Love songs thread

    Nyimbo za kingereza pekee za kimahaba. Come together - Chris Brown ft H.E.R Come through - H.E.R ft Chris brown Zingatia ni nyimbo za kingereza pekee
  18. JamiiForums Tanzania May be this love not for me

    Mimi weekend yangu inaenda ivyo. Sina jambo kwa mchumba
  19. JamiiForums Tanzania Distance(S) ÷ Time (t) ; The most confusing Love equation

    Wakati Physics inasema Umbali gawia Muda unapata Mwendokasi, umewahi jiuliza huo Mwendokasi ni wa kwenda wapi? Kwenye Mapenzi hiyo ni speed ya kuachwa. Ila Wahenga wakajifariji kwamba Safari siyo kifo, Bella akasema atarudi. Wakuu hii equation ya Distance(Umbali)/time(muda) haijawahi mwacha...
  20. P

    JamiiForums Tanzania My take:JF Love connect

    siku chache zilizopita nilipost a thread kutafuta “Love&Companionship” nimepata some PM bahati mbaya hazifunguki nimereport tayari. ila nimeobserve vitu kwa kiasi fulani vimenipa kutafakari. 1.Watu humu wapo very Judgemental,yani kama wanaishi maisha fulani perfect,hawajawahi ona divorce,single...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…