live

Live! Live! Live! is a live album released by Bryan Adams through A&M Records in 1988. It was recorded live at the Rock Werchter festival on 3 July 1988 in Werchter, Belgium. One track, "Into the Fire", was recorded live in Tokyo. The album sold over 1 million copies.
The concert was taped while it "rained in torrents". At the end of It's Only Love, Adams comments to the audience, "I've got to tell you something. For you people to sit out in the rain, means you're one hell of an audience. I mean, to sit out in this..."

View More On Wikipedia.org
  1. Wachambuzi wa Crown Sports, Hans Raphael na Geoff Lea wanabishana kama wanagombana wakiwa live kwenye kipindi

    Nasikiliza hapa Crown Sports ya Crown FM, wachambuzi wa kipindi hiko wanajadili ile faulo iliyozaa goli la Simba. Hans anasema sio goli halali kwakuwa mpira ulianzishwa katika eneo sio sahihi kwakuwa ulisogezwa. Geoff Lea anasema goli ni halali kwakuwa sio lazma mpira uanzishwe eneo lile...
  2. Full Time: Liverpool 4 -0 Tottenham Hotspur | EFL Cup | Anfield | 06.02.2025

    Muda mchache ujao wababe wa Anfield watakuwa uwanjani kumenyana na Tottenham huku wakimkosa Trent, BOSI wa Liverpool Arne Slot amesema beki wake wa kulia Trent Alexander-Arnold ataukosa mchezo huo wa marudiano wa nusu fainali ya Carabao Cup dhidi ya Tottenham Hotspur leo Alhamisi dimbani...
  3. Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. VIKOSI VINAVYOANZA LEO. p UPDATES..... 4:15pm Kandanda imeanza tayari, Game inapigwa zazuri kabisa. DK 2 Simba wanafanya move nzuri hapa, inababatizwa na Mchezaji wa FG inakuwa warusha. Unarushwa hauleti madhara yoyote 0-0 DK 4 Mpira unaendelea vizuri kabisa hapa. Simba...
  4. Live From Ukumbi wa FCC Dar es Salaam: Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF

    Wanabodi Niko hapa Ukumbi wa FCC jijini Dar es Salaam, kuwaletea live ya Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF. Hivi sasa Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio, anazungumza Karibuni sana. Paskali
  5. FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025

    Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold. Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
  6. KUTOKA BUNGE LA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    Kumekuwa na michango Mizuri kutoka kwa wabunge wetu,lakini pia kumekuwa na michango ya wabunge ambayo aijeng na aiwasaidii wapga kura wao,hivyo nimeona hapa tuwe na jukwa huru kuleta mawazo tofauti kutoka kwa wabunge ili watu wasome na kuweza kuchakata ni nini wamekifanya katika Miaka 5 hasa...
  7. Napenda sana Live Band

    Kuna maeneo Kilimanjaro kuna Live Band nzuri. Kwa wasiopenda kukaa na Stress nendeni kufurahia maisha. Wewe unapenda kwenda maeneo yapi kuenjoy?
  8. Bungeni liko Live, Online TVs Viewers hawazii 100 Kwa Kila TV , TUNDU LISSU Yuko Live, Online TVs Viewers ni zaidi ya 2k Kwa Kila TV

    Hata kama mtafumba macho na kuweka pamba masikioni , Ukweli utabaki palepale .
  9. Marais 24 wa Afrika. Rais wa Bank ya Dunia, Rais wa Bank ya Afrika, n.k na Wengine 2600 kuhudhuria Mkutano Nishati Kesho

    ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—˜: ๐— ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ก๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐—”๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ (๐—”๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ ๐—˜๐—ป๐—ฒ๐—ฟ๐—ด๐˜† ๐—ฆ๐˜‚๐—บ๐—บ๐—ถ๐˜) ๐Ÿฎ๐Ÿณ-๐Ÿฎ๐Ÿด ๐—๐—ฎ๐—ป๐˜‚๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ, ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27 โ€“ 28 Januari, 2025. Mkutano huu muhimu unaandaliwa kwa pamoja na Serikali ya...
  10. Kata ya Kibilizi -Kigoma. Mslac inatoa msaada wa kishera,waziri wa k/s na timu ya wanasheria

    Serikali inayofanya kazi https://www.youtube.com/live/yosk_mQCWz4?si=iszIUWOsKRLtKyqz
  11. Godbless Lema live Power Breakfast tarehe 23/01/2025

    Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Godbless Lema anatarajiwa kuwa live kesho Clouds FM katika kipindi cha Power Breakfast. Mara ya mwisho mahojiano yake katika kipindi hicho yalishindikana kufanyika. https://www.jamiiforums.com/threads/godbless-lema-kutikisa-power-breakfast.2192804/
  12. Ikwiriri tunashuhudia live uapisho huko majuu

    1. Tupo hapa uwanja wa Ujamaa - Ikwiriri tukitizama bila chenga tukio kubwa duniani. 2. Asante Chama Chetu kwa kutuwekea TV kubwa hapa uwanjani bila malipo
  13. Kinachoendelea katika Uchaguzi BAVICHA Taifa

    https://www.youtube.com/live/alKQnvp2Ei8?si=6igthwmbdWuJGUXI Fuatlilia Uchaguzi wa Vijana wa CHADEMA ngazi ya Taifa unaofanyika muda huu. Kutoka Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam sehemu ambapo mkutano mkuu wa uchaguzi wa BAVICHA Taifa unaendelea hivi ndivyo hali inavyoonekana nje ya ukumbi...
  14. Rais wa TLS Boniface Mwabukusi Anatoa Tamko Muda Huu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, anatoa tamko muda huu. Tamko hili linahusu masuala muhimu yanayogusa sekta ya sheria, haki za binadamu, na maendeleo ya taifa kwa ujumla. https://youtu.be/zgoZejCXR1M
  15. Tetesi: Shetani yupo kazini: Nyumba za ibada Imarisheni ulinzi/msirushe LIVE (YouTube) wakati wa kutoa sadaka

    1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa. 2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati wa utoaji sadaka. Na pia ulinzi uimarishwe. NB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu...
  16. Live: mdahalo wa wagombea wa Bavicha taifa na Chief Odemba

    === Fuatlilia Mdahalo wa wazi wa Vijana wa CHADEMA wakifanya mdahalo wa wazi katika kutekeleza Demokrasia kwa Vitendo. https://www.youtube.com/live/YtIJ2C2X2Pg?si=ouOhJNbacE7DLlke
  17. Live from Hyatt Regency: Mkutano wa Waziri Prof. Kitila Mkumbo, TIC na EPZA na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri, (TEF)

    Wanabodi, Niko hapa Hyatt Regency, zamani Kilimanjaro Kempiski, kuwaletea mkutano wa Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri. https://www.youtube.com/live/WFUYWRfpEMo?si=IndxqjQLpwOEv19tKaribuni. OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI TAARIFA...
  18. Katibu Mkuu wa CHADEMA anaongea na wanahabari

    https://youtube.com/live/D0mJfxf3wXE?si=c7girWLBjKbOhiyH Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika yupo live akiongea na wanahabari kueleza mambo mbalimbali ya uchaguzi wa ndani wa Chadema na Uchaguzi Mkuu wa 2025. Baada ya wagombea kuchukua fomu inafuata hatua ya usaili na uteuzi wa wagombea...
  19. Churchill show live in Arusha

    Nadhani kuanzia saa tatu usiku hadi saa nane usiku(nafikiria), katika channel ya clouds TV, crown na sinema zetu umekuwa na kipindi cha stand up comedy kinachoitwa Churchill show. Kipindi kina endelea live kwenye ukumbi wa AICC AREANA ARUSHA, hosted by RC Paul Makonda. Aisee hiki kipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ