lisu

The Lisu people (Lisu: ꓡꓲ‐ꓢꓴ ꓫꓵꓽ; Burmese: လီဆူလူမျိုး, [lìsʰù]; Chinese: 傈僳族; pinyin: Lìsù zú; Thai: ลีสู่) are a Tibeto-Burman ethnic group who inhabit mountainous regions of Myanmar (Burma), southwest China, Thailand, and the Indian state of Arunachal Pradesh.
About 730,000 Lisu live in Lijiang, Baoshan, Nujiang, Diqing and Dehong prefectures in Yunnan Province and Sichuan Province, China. The Lisu form one of the 56 ethnic groups officially recognized by China. In Myanmar, the Lisu are recognized as one of 135 ethnic groups and an estimated population of 600,000. Lisu live in the north of the country; Kachin State (Putao, Myitkyina, Danai, Waingmaw, Bhamo), Shan State, (Momeik), (Namhsan, Lashio, Hopang, and Kokang) and southern Shan State (Namsang, Loilem, Mongton) and, Sagaing Division (Katha and Khamti), Mandalay Division (Mogok and Pyin Oo Lwin). Approximately 55,000 live in Thailand, where they are one of the six main hill tribes. They mainly inhabit remote mountainous areas.The Lisu tribe consists of more than 58 different clans. Each family clan has its own name or surname. The biggest family clans well known among the tribe clans are Laemae pha, Bya pha, Thorne pha, Ngwa Pha(Ngwazah), Naw pha, Seu pha, Khaw pha. Most of the family names came from their own work as hunters in the primitive time. However, later, they adopted many Chinese family names. Their culture has traits shared with the Yi people or Nuosu (Lolo) culture.

View More On Wikipedia.org
  1. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Kitu pekee kitakachomtoa Lissu gerezani ni rozali aliyovalia mkononi

    Litania ya Bikira Maria (Litania ya Loreto) Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie. Kristo utuhurumie. – Kristo utuhurumie. Bwana utuhurumie. – Bwana utuhurumie. Kristo utusikie. – Kristo utusikie. Kristo utusikilize. – Kristo utusikilize. Mungu Baba wa Mbinguni, – Utuhurumie. Mungu Mwana...
  2. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anajitoa Kafara au anapigania Haki?

    Ninaandika andiko hili nikiwa katika fikra pevu sana. Ninakumbuka katika maandiko Yesu aliposulubiwa ilifika hatua Alilia kwa sauti na Kusema Mungu wangu Mungu Wangu,Mbona umeniacha? Nimefuatilia sana sakata la Lisu,Swali ambalo nimekuwa najiuliza na hata sasa najiuliza Je Tundu Lisu anajtoa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tusichukulie Kirahisi, Rais Samia anaweza kufika Mahakamani kuwa prove wrong. Hivyo Lissu ajiandae kisawasawa

    Hamjambo! Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu. Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia...
  4. Olmo

    JamiiForums Tanzania Sub za Tundu Lissu zinawatisha wapinzani wanataka wamalize game iishe sare

    Unaambiwa jamaa kajilinda dk zote tisini akimeza mashambulizi ya timu pinzani . Kwenye dk za nyongeza tano kasimamisha sub hatari 1. Straiker: Samia! 2. Winga: Philipo 3. Midfielder: Majaliwa 4. Beki : Heche Kudadeki watu wanaita refa amalize game ili watu hao wasipate namba zitapigwa pass...
  5. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya lisu kwann mashahidi wote ni wanaume na wengi ni mapolisi??

    Wanajamvi habar kwenu? Nimetafakari kwa mujibu wa ufuatiliaji wangu dhidi ya kesi hii ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama Cha demokrasia na maendeleo chadema. Nilichogundua wote waliokwisha kutoa ushahidi wote ni mapolisi na bodaboda na bajaji? Pia hakuna mwanamke yeyote mpaka Sasa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kama DPP anaweza kukaidi kutoleta mashahidi kesi ya Lisu, je sisi kwangu pakavu tia maji, si ni vifo vinatusubiri jela/mahabusu!

    Nimetafakari sana kitendo cha DPP/Katuga for that matter kutoleta shahidi/ mashahidi. Kama wanaweza kudharau a bench of three Judges, je sisi ambao hatuna watetezi si tutafia jela/ màhabusu. Masaju amekomalia briefing za mawakili viunga vya mahakama! Concen yake ilibidi iwe JUSTICE DELAYED...
  7. G

    JamiiForums Tanzania UPDATE kesi ya Lisu inampa umaarufu zaidi na kuonyesha udhaifu mkubwa wa mihimili yetu wakiwemo WATUMISHI wengi vilaza turudi TU kwenye maridhiano

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 241 Mhe. Lissu anaendelea kumdodosa Shahidi wa kificho wa Jamhuri. Mhe Lissu: Ulisema mlikuwa na Camera ya Sony NX, Kweli si kweli ? Shahidi wa kificho P: Kweli Mhe Lissu: Kwenye kielelezo mlikuwa na camera tatu, sasa kuna mashahidi wamekuja hapa Mahakamani...
  8. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Lissu katika kutetea haki ni amewazidi, zaidi ya maaskofu, mapadre, wachungaji, mitume na manabii(viongozi wa dini)

    Katika kutetea IMANI yake ,Lisu ni muumini wa HAKI ,utawala wa sheria na katiba. Katika hili amewazidi viongozi wote wa dini. Kwa tafsiri yangu isiyo rasmi amewazidi UTAKATIFU hao wanaojiita mitime na manabii ,na MAFARISAYO WOTE waliokalia kiti cha Musa na kubeba fimbo ya HARUNI na kukaa viti...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Update kesi ya Lisu Naona Leo wamefungua box la Pandora la tarehe Ile mbaya kuliko zote tangu tupate uhuru Bora tufanye maridhiano

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Agosti 12, 2026 Kesi ya uhaini dhidi ya Mhe. Lissu inaendelea katika Mahakama Kuu ya Dar es salaam ambapo Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia Cross Examination Shahidi wa Jamhuri ACP Amin Mahamba. Jana tuliishia part 231 so leo tunaendelea na Part 232. Imepigwa high...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hasara ambazo taifa linaingia kwa kesi ya lisu!!. Mamilioni yanateketea kwa jambo ambalo halina uhalisia.

    Hii kesi ya ndugu lisu ni kesi inayopoteza fedha za walipa Kodi zilizopaswa kuelekezwa kwenye maendeleo. Nikiwa naandika hapa kuna watoto hawana madawati kuna hospital hazina dawa, kuna maeneo hayana maji kama hapa goba ninapoishi tangu October hatuna maji, kuna maeneo umeme haupo haya ni kutaja...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye update ya kesi ya Lisu atuwekee hapa. Naona Hilda "amekabwa koo"

    Tusaidiane mlioko Dar mahakamani mtupe dondoo kidogo.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Update kesi ya LISU leo hakuna?

    Tujuzane what happened, sioni updates za proceedings za leo! Kulikoni
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tupeane taarifa, Kesi ya Lissu tarehe 10 Agosti ipo kama ratiba inavyosema?

    Nakumbuka kama vile ilipangwa kusikilizwa mfululizo kuanzia tarehe 10.8.2026. Ratiba bado iko hivyo au kuna mabadiriko?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli kwa nafsi zetu. Ni nani mwingine CCM zaidi ya Dkt. Nchimbi anayeweza kusema jambo na WaTanzania wakamsikiliza

    Nilisema nimejiweka tayari kuzibua masikio yangu yote kumsikiliza Dr Nchimbi kama analo jipya la kuwaambia waTanzania juu ya ubovu wa chama chake. Hii ni bila kuathiri uamzi wangu niliokwisha hitimisha kwamba "Kupona kwa Tanzania, hakuna budi CCM yenyewe ife", kwanza. Nimemsikia Dr Nchimbi...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kumchosha na kumpotezea Muda Tundu Lisu utafanya kazi?

    Hamjambo! Naona hasimu wa Lissu wanachokifanya kutumia mbinu ya kumchosha na kumpotezea Muda wake. Mbinu hii kisiasa hasa zile siasa chafu inafanyaga kazi hasa kwa watu wenye misimamo mikali kama aina ya Tundu Lisu. Kuna watu huwezi kuwashinda kwa kifo. Na hawaogopi kufa. Lakini mbele ya muda...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Bado Mahakama haiko huru, tusiwe lured na hiki kihukumu cha Lisu. Mahakama needs to do more to regain its independence. NAIHESHIMU SANA MAHAKAMA

    Jana Mahakama imetoa ushindi kwa LISU. Kumekuwa na nderemo na vifijo kwa hukumu hiyo. Kwangu mimi sina la kushangilia, bado Mahakama ni tawi la serikali linapokea maagizo ya serikali. Tusishangilie vitu vidogo kama hivyo! Bado mahakama haiko huru. It needs to do more! And this is difficult to...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Tundu Lisu aachiwe huru kwa mujibu wa sheria, akamatwe tena na kufunguliwa mashtaka upya yenye ushahidi mpya uliothibishwa.

    Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini wengine duniani. Hii itasaidia sana kutokuingilia uhuru na maamuzi ya mahakama za Tanzania, lakini...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe shahidi wa ushahidi wa ziada upande wa Jamhuri kwenye kesi ya Lissu ni marehemu!?

    Kamishina msaidizi wa polisi Amini Mahamba aliyekuwa ameandaliwa na upande wa jamuhuri kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Lissu amekufa hata kabla ya october 29 Mwinjilisti Kamara Kasupa amebainisha hayo katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii kuwa kamishina Amini Mahamba ni clasmate...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee wa kutupa Katiba Mpya ni Tundu Antipasi Mughwai Lissu, au kwa maana hiyo CHADEMA ya Lissu na Heche

    Sima cha kuongeza. Ongeza wewe msomaji.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tazama majeraha ya risasi kwa Lissu; Mtanzania yeyote mwenye akili timamu anawezaje kuwakumbatia wanaofanya ukatili huu dhidi ya mwanadamu mwenzao?

    Moderators naomba sana msifute huu uzi. Lazima watu waone ukweli wa mambo wanayofanyiwa Watanzania wenzetu wa vyama vya upinzani kwa sababu tu wanatofautiana maoni na wengine. Wanaofanya haya ni sawa na wanyama. Kisa nini hasa, uchu wa madaraka na kulinda ufisadi? Na unakuwaje na moyo - kama...
Back
Top Bottom