lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutupia picha mbalimbali na video za Rais wa Tanzania ajaye, Tundu Antipas Lissu ili kumtia moyo kwenye kupambania katiba, utu na haki

  2. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ikitoa nafasi za Ujaji kutagazwa na kupigiwa kura Lissu anaeweza kua Jaji mkuu akitaka

    Lissu kwa ushawishi alionao kwenye uwanja wa sheria katiba ikiruhusu nafasi za ujaji kutangazwa na kuomba na kupigiwa kura na wanasheria hiwe TLS ndo wawe wasimamizi Lissu anakua Jaji mkuu mapema akitaka sasa ni vema tukaishi kwa kuweka hakiba ya maneno kwa ajili ya kesho.
  3. JamiiForums Tanzania Siioni Tanzania bila Heche na Lissu

    Ndugu zangu Wana Jamiiforums nikiri kuwa mimi ni mshabiki wa siasa za upinzani siyo kosa mimi kukiri nafasi yangu kisiasa, lakini katika yote hayo mashujaa wangu ni Lissu na Heche, watu Hawa wananifanya nihisi kuwa tanganyika iliyochoka ina nafasi kubwa siku zijazo, Mungu awabariki, lengo langu...
  4. JamiiForums Tanzania Tufike kipindi wa Tanzania tuweke pembeni tofauti zetu watu wawajibishwe tujenge nchi ni aibu mtu kama Lissu kuwa jela

    Hii nchi sio kwamba ni maskini Ila ni vile tu tumeamua watu wachache wajimilikishe nchi kitu ambacho sio sawa bora hata wangejimilikisha nchi wakajua namna ya kula na kipofu. Serikali zote dunia wizi hauwezi kukosekana duniani ndo maana china na sheria kali bado kuna upigaji...
  5. JamiiForums Tanzania Taarifa maalumu ya kumpokea M/Kiti wa chama Taifa Mh Tundu A. M. Lissu kwa wana CHADEMA wote, wafuasi na wapenzi toka gereza la Ukonga - DSM

    Kutoka kwangu mwenyewe The Palm Beach 1. CHADEMA inawataarifu wana CHADEMA wote, wafuasi, wapenzi na wote wanaounga mkono mapambano dhidi ya uhuru, haki, demokrasia na utawala wa sheria ktk taifa na nchi yetu popote pale mlipo hapa nchini na duniani kote kwamba, tutakuwa na mapokezi makubwa...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA wapuuzeni Chaumma msijibu hoja zao. Ninyi komaeni na operation tonetone na Maandamano ya kumtoa Lissu jela

    Ukimjibu mtu ambae hana hoja katika jamii. Unampa mtu nafasi kujiona anafaa. Dili la Chauma kutumiwa na CCM lilishabuma. Andaeni maandamano ya nchi nzima Lissu aachaiwe maana akitoka nje CCM watakiona cha moto.
  7. JamiiForums Tanzania Remedy DPP anayoweza kuifanya ni kuiondoa Kesi dhidi ya Lissu Kisha kumkamata tena na ku fix ushahidi wake ambao umetupwa na mahakama zote mbili

    DPP sasa ana option ya Kuichomoa kesi kwa kutumia kifungu cha 91 cha Sheria ya mwenendo wa Makosa ya Jinai lakini kifungu hiki hakitoi kinga kwa mshitakiwa kukamatwa tena na kufunguliwa kesi ile ile au mashtaka mengine hapa naona ndiyo jambo ambalo linaweza kufanyika. Kwanini Kesi inatakiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hili la Heche kulalama kuwa kuna watu wanamfuatilia lichukuliwe kwa umakini. Lissu nae alianza kulalama anafuatiliwa baadae

    Mzaha mzaha uota usaha. Heche amelalama zaidi ya miezi mitatu kuna watu wanamfuatlia. Yasije yakajitokeza yale ya Lissu.
  9. JamiiForums Tanzania Mwl Nyerere anabaki kua Baba wa Taifa, huenda LISSU akawa Mandela wa Taifa hili !!

    Sioni Harakari na Maisha ya kisiasa ya Mwl Nyerere penzi za Ukoloni, Yakifikia Maisha ya TUNDU LISSU katika zaman hizi za Wakoloni Weusi. Nyerere anabaki kua Baba wa Taifa, ila Historia, itamuandika LISSU kwa yake kama ilivyokua kwa Mzee Mandela !!.
  10. JamiiForums Tanzania LISSU alimruhusu HECHE kuendelea kupeleka Moto, nyinyi mnaojiita Viongozi CHADEMA

    Kwamba nyinyi mnaofanya Porojo dhidi ya HECHE, mnajijua CHADEMA kuliko LISSU??. Unakuta kajitu ni kakatibu ka BAVICHA huko matopeni, hawajawahi hata Kuona HECHE Uso kwa Uso, hakachangii hata Chama Wala tonetone, kanatoka mbele kanasema "HECHE Achunguzwee, anakula Pesa ". Tutawashughulikia...
  11. JamiiForums Tanzania " The trial that go no where except to keep Tundu Lissu in prison" Anonymous

    Watanzania wanamuunga mkono Lissu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yatupilia Mbali Maombi ya DPP ya Kuongeza Ushahidi Katika Kesi ya Tundu Lissu

    Leo, tarehe 30 Julai 2026, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetoa uamuzi muhimu katika shauri lililomhusisha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya Tundu Antiphas Lissu. DPP alikuwa amewasilisha maombi ya kupitia upya uamuzi wa Mahakama Kuu uliokataa jaribio la upande wa mashtaka la kuwasilisha...
  13. JamiiForums Tanzania From Ukonga Prison: Tundu Lissu atoa taarifa kuwa yupo katika tishio la kuuawa!!

    ================ URGENT: TUNDU LISSU’S LIFE IS IN DANGER Credible information indicates that Tundu Lissu’s life is at serious risk. For more than 470 days, Tundu Lissu has been held in detention in Tanzania as an unconvicted prisoner, without a fair and timely resolution of his case. His...
  14. JamiiForums Tanzania Kauli ya NCHIMBI, "Rais yuko tayari KATIBA Mpya" alimaanisha, Matukio ya Utekaji,Mauaji Oktoba 29 , LISSU, ni Maji ya Shingo kwa Samia !!

    Wakuu nawaambia Jambo Moja kabisa la UHAKIKA bila mbambamba. SAMIA na Genge lake, wajifarague vipi, waruke, wake, wasimame ,wakimbie, wapae, yaan Hizo zote ni mbwembweeena HAZIWASAIDIII KITU CHOCHOTE. Ukweli ni kua, Mbinyo wa KIMATAIFA Uliopo kwa Samia ,ambao nayeye anaujua na Washirika...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dr Nchimbi anaweza kufuata Strategy ya Lissu dhidi ya Mbowe

    Katika nafasi yake Lissu alifanikiwa kupindua meza na kuufuta utawala wa Mbowe katika mazingira ambayo hayakutarajiwa. Nchimbi nafikiri anahitaji mtu wa nafasi/Role ya Mnyika na Heche. Same playbook
  16. E

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka amshukia Wasira: "Kumshauri Rais kuangalia upya kesi ya Lissu, sio kuiamuru Mahakama"

    Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa zamani na mbunge mstaafu, Prof. Anna Tibaijuka, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, akisisitiza kuwa wanaodai Mheshimiwa Rais hawezi kuingilia au kutafuta ufumbuzi wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kwa sababu...
  17. JamiiForums Tanzania Makonda: Lissu ni mropokaji hata mazungumzo ya CCM na Upinzani tulimtumia sana Mbowe, anatunza siri

    Makonda alisema hayo akiwa Arusha akijibu tuhuma za Kumshambulia Lissu, alisema Lissu hata CCM huwa hawamwamini ndo maana Vikao uwa wanamshirikisha mbowe anatunza Siri na uwa anafika makubaliano vema na CCM si kama Lissu, https://www.youtube.com/watch?v=vskxiEQ9IMc Brunatnica
  18. JamiiForums Tanzania Mwanahalisi: Ya Lissu yavuja; agoma kutumika kama kete ya maridhiano

    Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). "amegoma kutumika kama kete ya maridhiano, MwanaHALISI limedokezwa. Taarifa zinasema, kumekuwapo na juhudi kubwa zinazolenga kutaka kumtumia Lissu na kesi yake, kama mtaji wa kisiasa wa kuelekea maridhiano kati ya Serikali...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Wameanza kuwa wapole, 'tunafanya tathmini', mwachieni Lissu otherwise you face the consequences

    Zile tambo za, We are Sovereign State, na Who are You, zimeanza kupungua. Hakuna cha kufanya tathimini wala nini, mwachieni Lissu na mruhusu demokrasia iongoze nchi. But we warned you no any sovereign state is isolated in this world neither the United States, Russia, Iran nor China must comply...
  20. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu inayoanika uozo na uholela ndani ya serikali!

    Hakika kesi ya Lissu imetusanua Watanganyika. Kwamba serikali ya Tanzania imejaa uozo kila sehemu. Kwamba sheria, kanuni na taratibu haziheshimiwi wala hazifuatwi ama kwa makusudi au kwa kutozijua! Ni fedheha kubwa kwa serikali kuwa na watendaji na watumishi ambao hawajui sheria, kanuni na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…