Habari
Katika harakati za kujitafuta nimeamua niingie kwenye ujasiriamali ambapo natengeneza uji mzuri wa uji wa lishe ambao una faida kiafya kulingana na viambata vyake ambavyo nimetumia
UNGA huu unatumiwa na watu wa rika zote kuanzia watoto wadogo Hadi watu wazima
Lakini pia una faida Kwa wale...