line

Líně is a municipality and village in Plzeň-North District in the Plzeň Region of the Czech Republic. It has about 2,800 inhabitants. Líně lies approximately 11 kilometres (7 mi) south-west of Plzeň and 95 km (59 mi) south-west of Prague.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wapewa saa 24 kukamilisha usajili wa line kabla ya kuzimiwa mawasiliano

    Watumiaji wa Simu nchini humo wamebakiwa na chini ya saa 24 kukamilisha usajili wa laini zao za simu kabla Mamlaka ya Mawasiliano (CAK) haijazima huduma za mawasiliano yao. Kwa mujibu wa CAK watumiaji simu na kampuni za mawasiliano waliongezewa muda wa miezi 6 kuanzia April 15, 2022 ambao...
  2. JamiiForums Tanzania Inashangaza sana, viongozi kuacha Tril. 360 za makinikia na kukomaa na tozo za line za simu kwa wananchi

    Hivi tunakwenda wapi jamani? Kwa nini msikomae na hawa wawekezaji wakubwa ili tupate matrlioni kuliko kukomaa na vijisenti vyetu?
  3. JamiiForums Tanzania Witness from the front line: Hili zoezi la sensa mlioko juu msiporekebisha haya kwa haraka tegemeeni taarifa mbovu kuwahi kutokea

    Wakat wa wa vita ya pili ya dunia moja ya Siri kubwa Kwa USA na washirika wake kupata ushindi ni kuwasikiliza waliokuwa front line yaani kwenye uwanja wa mapambano , na maoni Yao yalisikilizwa moja Kwa moja na high command na kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo bila mtu wa Kati kuleta siasa...
  4. JamiiForums Tanzania Leo nimeiweka line ya TTCL pembeni, Nyumbani kuchungu

    Kweli nyumbani kulianza kunoga, basi kadhaa tukarudi kwa machale, kukawa na ile huduma ua BUFEE (MPYA) ya kujipangie, yani kama nataka MB tu najichagulia na kama ni dakika tu, nachagua, na kama ni vyote najipangia kua MB ngapi, Dakika ngapi na sms ngapi, najiunga ninavyotaka. Ila naona siku...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuondoa lock katika line ya airtel

    Hello, naomba msaada namna ya kuondoa lock, nilizima simu nlikuwa naicharge ,then mtoto kaiwasha akaanza kubashiri wrong password ili acheze game. Now inanitaka ni input 8digits .Sina ata kumbukumbu wapi niliweks puk naomba za line. Naomba mwenye uelewa anisaifie please
  6. JamiiForums Tanzania namba ya NIDA kutumika kusajili line nyingi bila muhusika kujua kinachoendelea.

    HABARINI ZA WEEKEND WA NDUGU! TCRA mnipe ufafanuzi inakuwaje namba ya NIDA nimeihangaikia kwa kupanga lifoleeeeni kubwa na kutumia ma finger print yangu hadi picha mkanipiga ili nipate kitambulisho kwaajili ya matumizi yangu binafsi. kwa jinsi mlivyotuelimisha zile finger print ni kama...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DRC State-owned shipping line to set base in Mombasa

    Kwa mwendo huu tu... ====== A shipping line from the Democratic Republic of Congo plans to start its operations from Mombasa beginning June this year. The state-owned shipping line, the Lignes Maritimes Congolaises (LMC) seeks to channel more DRC imports and exports cargo through the Port of...
  8. JamiiForums Tanzania TANESCO Mbeya: Je kuna Electric Surge au Line ya Meta Referral Hospital imezidiwa?

    Tanesco mtusaidie majibu
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini matapeli wengi wanatumia line za TTCL?

    Wale matapeli wengi siku za hivi karibuni wanatumia sana line za TTCL kuhadaa wananchi kama kujiunga na Freemason au ile fedha tuma kwenye namba hii. Kama ujumbe hapa chini unavyo jieleza. 666)POLE NA KAZI JIUNGE NA MTANDAO MKUBWA WA FREE~MASON UMILIKI UTAJILI WA PESA NYUMBA MAGALI...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Railways gets Sh300m to complete Kisumu-Butere line

    Parliament has allocated Kenya Railways Corporation (KRC) Sh300 million to complete rehabilitation works on the Kisumu-Butere line. The Finance and National Planning Committee reallocated the Treasury’s vote as contained in the Supplementary Budget to secure the money for the completion of...
  11. JamiiForums Tanzania Airtel Asante, mlipotufikisha natupa line yenu

    Kuanzia muda Huu sitoitumia Tena line yenu naona mnataka kutufilisi. Leo nimeunga Bando kama kawaida Yangu. Ofa yako kisha Bando Zaidi Sikufungua video Wala Sikutumia YouTube, TikTok wala Ista Zaidi ni kusoma message za WhatsApp tu Eti inaingia SMS Ya Kingesengese umemtumia 75% Ya Bando la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…