ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Unatabiri Kengold na timu gani zinashuka ligi kuu ? Mtibwa anarudi ligi kuu na nani?

    Kengold haina mjadala atashuka tu, Je atashuka na nani moja kwa moja bila playoffs Mtibwa kakiwasha sana championship ana uhakika wa kurudi ligi kuu, je atarudi na nani
  2. JamiiForums Tanzania Ligi za ujenzi mtaani jirani yangu amebomoa nyumba anajenga ghorofa

    Wakuu sisi wakazi wa goba kuna ligi ya nani ana nyumba kali huku vijana ni kupambana nani awe juu sasa kuna dada amejenga ghorofa wanaita losheni sasa akalewa akatamba kuwa wanaume mtaa zima hakuna wa kumuweza hakuna wanaume wote hawana nyumba sasa mtaa umechangamka kil mtu anajipanga ajenge ka...
  3. JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi tafuta matokeo ya Simba huko Egypt

    TFF na bodi ya ligi baada ya kukaa wameazimia Kufuta matokeo yaliyotokea huko Egypt Simba kupigwa goli 2 Bodi ya ligi imejiridhisha kuwa Simba walionewa baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi Pia bodi ya ligi imegundua kuwa Al Masry wakifunga magoli ya counter attack, Simba alionewa kwanini afungwe...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Jicho langu: Ya bodi ya ligi (TPLB) Yanaweza tokea CHADEMA!

    TPLB ilihairisha mchezo wa Simba na Yanga Kwa kusema wataupangia tarehe nyingine, cha ajabu kuchelewa kwao kutangaza tarehe yameibuka ya kuibuka! Nafananisha haya na yanayoendelea CHADEMA na kundi linalojiita G55. Nionavyo Mimi hawa ni VIVURUGE tu! Nasema ni VIVURUGE Kwa sababu Kwanza ata Hilo...
  5. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Ratiba ya Ligi Kuu ya Zanzibar (PBZ) iheshimiwe

    RATIBA YA PBZ PREMEIR LEAGUE IHESHIMIWE Shirikikisho la Soka la Zanzibar ZFF lilikuwa limepanga Ligi Kuu ya PBZ iendelee kuchanja mbuga kuanzia Aprili 5, 2025 na kutafuta vidume vya Zanzibar ili kuweza kuwakilisha katika michuano ya vilabu barani Afrika ambapo bado ZFF ina uwanachama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, igeni mfano wa Jeshi la Polisi katika kushughulika na wahuni kwenye mpira wetu

    Mimi nilitaka kushangaa mtu anasimama mbele ya halaiki, tena mtoto mdogo tu anatamba eti atachacha, where do you get that arrogance? Kwamba Yanga ni kubwa kuliko authority? Unaongea as if unayemuongelea ni mtu mdogo sana halafu umetegwa omba radhi unajibu tena kwa kejeli. Hongereni Jeshi la...
  7. JamiiForums Tanzania CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu

    Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imepokea rasmi rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Young Africans SC dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Klabu ya Simba. Rufaa hiyo inahusiana na uamuzi uliotolewa na TPLB tarehe 8 Machi 2025. Soma: Bodi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Derby ya Kariakoo, huu ndio ushauri wangu kwa TFF na Bodi ya Ligi

    Kumekuwapo na mvutano mkubwa sana kati ya TFF, Bodi ya Ligi kwa upande mwingine na Yanga na Simba kuhusu Dabi ambayo ingechezwa tarehe 8 Machi, 2025. Ninaishauri TFF na Bodi ya Ligi kuwa kuanzia sasa kifungu kinachotamka kuwa timu ngeni iruhusiwe kufanya mazoezi kwenye uwanja wa timu mwenyeji...
  9. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA hauna hadhi ya kutumika ligi kuu

    Ukweli useme Bodi ya ligi wameshindwa usimamizi wa ubora wa viwanja Kwanini bodi ya ligi iliufungilia huu uwanja mbovu hivi? Ligi namba 6 Africa haiwezi kuchezwa kwenye majaruba, kuruhusu uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA kutumika ni kushusha hadhi ya ligi yetu. Uwanja pitch mbovu kama...
  10. JamiiForums Tanzania Shida siyo maamuzi ya Kikao, wasiwasi ni kile FIFA na CAF wanawezaifanyia Ligi tu

    Soka la bongo limepambaniwa miaka na miaka na hapa ligi yetu ilipofika kweli ni pakubwa kwakua ligi yetu ni ya tano kwa ubora Afrika na huu ni kweli kuwa kazi na uwekezaji mkubwa umefanyika. Hili lilotokea kwenye derby ya Simba na Yanga ni kosa kubwa na linaweza kutugharimu pakubwa. Kuingiza...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Bodi ya ligi imeshaliwa Kichwa

    Za ndaaani ni kwamba Bodi ya ligi inayosimamiwa na Simba Sports Club imeliwa kichwa katika hatua za mwanzo za kutafuta suluhu. Tuendelee kusubiri taarifa rasmi
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanataka Bodi ya ligi wajiuzulu ili dabi iruduwe?

    Bodi ya ligi lazima ijiuzulu kwasababu zifuatazo. 1. Ndani yao alikosekana mtu wa kunusa hatari za kijamii, kimpira, kiuchumi, na za kiusalama zitakazoambatana na kuahirisha mchezo ule. Kiongozi hana busara, akili ya kusimamia mpira na amani ya nchi. Kwake yeye ilikuwa liwalo na liwe haichezwi...
  13. JamiiForums Tanzania TFF itachagua: Bodi ya Ligi ivunjwe ili tucheze Dabi, ama watupe point 3 lah! Tukazifate FIFA.

    Habari ndiyo hiyo.
  14. JamiiForums Tanzania GSM tutaendelea kuwepo na tutadhamini teams nyingi zaidi ili ligi iwe nzuri: Hawa wazee wa wapi hawa?

    Toka tumeanza kudhamini teams nyingi ligi imechangamka sana. Tunaona ubora ulivyo kwetu. Sasa ninyi hamtaki why?
  15. JamiiForums Tanzania Serikali subirini Bodi ya ligi ijiuzulu kwanza dabi itachezwa

    Mpira unaendeshwa kwa kanuni, kama anaesimamia kanuni hizo ameshindwa kusimamia anapaswa kujiuzulu kwanza kabla kitu kikubwa kama wizara kufanya kitu kilekile walichoshindwa bodi ya ligi kukifanya. Serikali isaidie kutupatia mazingira sahihi ya kucheza mpira lakini sio namna ya kuucheza mpira...
  16. JamiiForums Tanzania Haya ombi lenu la Mguto na Kassongo kuondolewa Bodi ya Ligi (TPLB) limekubaliwa je, sasa mtaleta Timu ili Mfungwe Simba SC iwe Bingwa au?

    Muda wowote kuanzia sasa Watanzania mtatangaziwa hii Taarifa ambayo GENTAMYCINE nimeitoa Jikoni kabisa. Wameamua kuliko) kuwapa Yanga SC Alama (Points) Tatu (3) kama Wanazoziota wameona kuweka Mambo sawa wawatoe Kafara akina Mguto na Kassongo wakiamini kuwa wana Yanga SC wataridhika na kuleta...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi ikiri wazi kuwa walikuwa na makosa kuhairisha mchezo kati ya Yanga na Simba

    Bodi ya Ligi walikosea sana kuhairisha Dabi kati ya Timu za Yanga na Simba. Tujiulize maswali yafuatayo:- (1) Simba walipofika uwanjani hawakumkuta Meneja wa Uwanja, Kamisaa wa mchezo huo na geti la uwanja lilifungwa. Je haya ni makosa ya Yanga?. (2) Simba wanasema walizuiwa na mabaunsa wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Simba wamewahi kukaa misimu zaidi ya sita bila kombe la ligi kuu ?

    Is this True maana imeniwia vigumu kuamini kwa ukubwa wa Simba
  20. JamiiForums Tanzania Sakata la Simba na Yanga SC halihitaji hekima za Serikali, Bodi ya Ligi na Tff Zifuate Kanuni na Siyo kuitumbukiza kwenye Tope serikali yetu.

    Swali la kujiuliza Je kama hili sakata lingetokea kwa timu nyingine mfano Namungo vs Simba SC au Yanga vs Mashujaa SC je Bodi ya Ligi na TFF mngeisumbua serikali?!!! Hii ligi imekua kama Ya Simba SC na Yanga SC na Bodi ya Ligi wametumbukia kwenye shimo la hewa, imefikia hatua wanafanya maamuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…