ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabasi ya Mikoani Buses zinazokimbiza Mikoani

    Kuna hizi buses ... Kwa mikoani ni buses gani zinakimbiza sana? Maana kuna jamaa ana sema zhing tong ndo balaa. Mi nafahamu haya mabasi tupeane uzoefu kwa mbio ni buses zipi zina nguvu/speed 1. Yu Tong 2. Higer 3. Golden Dragon 4. Scania 5. Zhang Tong 6. Marco polo
  2. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii wachezaji wengi wa mpira watakimbilia TZ, Mkataba mpya (114,272,966.78 USD) wasainiwa kuboresha ligi

    Asante Azam Media, Kampuni ambayo imechochea san aukuaji wa soka Tz, Mechi zote huzionyesha kwenye tv bila kujali ukubwa wa timu wala eneo 114,272,966.78 USD kwa miaka 10 97,284,020.03 USD baada ya government taxes. Kwa msimu wa 2021/22 mpaka 2023/24 mgao kwa kila timu kwa kila mwezi utakuwa...
  3. JamiiForums Tanzania EPL ndiyo ligi bora duniani

    Kesho nitamsimulia mwanangu umahiri wa Andres Iniesta wa kupiga pasi adhimu, Pasi tamu na ilikuwa ni faradhi kufurahi muda wowote ukimwona Iniesta na mpira. Utafurahi zaidi akiwa na Xavi pembeni wakimpelekea mpira yule Njiti wa Rosario Argentina Aufanye mpira Anavyotaka , awanyanyapae Mabeki na...
  4. JamiiForums Tanzania Exclusive: Wachezaji Wawili Waandamizi wa Mtibwa Sugar FC na Dodoma Jiji FC wanithibitishia kuwa 100% Ligi Kuu ya Tanzania inanuka Rushwa

    Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanya GENTAMYCINE niwe najua Kujichanganya na kila aina ya Watu, Kukubalika na kujenga nao Urafiki hivyo kusaidia Kazi yangu ya 'Kufukunyuwa' Mambo kuwa rahisi. Wadau wa Soka ( Mpira ) tukiwa tunasema kuwa kuna Rushwa Kubwa inayopelekea Timu Shiriki...
  5. JamiiForums Tanzania TFF wamezingua hii ligi itaisha lini watani mwezi wa saba kweli?

    Yani simba na yanga kukutana terehe 3 ya mwezi wa saba muda huo ligi si inatakiwa iwe imeisha jamani ina mana wameshindwa kubalance muda hapa katikati kuna hatari ya kutokea mazingaombwe mengne utasikia mechi imeludishwa nyuma Ngoja tuone. Alafu hapo ligi inaenda mpaka tarehe 18 mwezi wa saba...
  6. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, kesho Yanga isipoleta timu uwanjani fuateni sheria

    Kuna Taarifa zisizo rasmi zina zagaa eti ya kuwa katika mchezo wa kesho Namungo fc vs Yanga , eti yanga hawataleta timu kiwanjani kwa maana watagomea mchezo kushinikiza mnyama acheze kwanza viporo vyake . Kama watafanya hivyo basi TFF msipepese macho walaa msiruhusu mazungumzo nyie pigilieni...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Tumeharibu brand ya ligi yetu

    Kufuatia kadhia ya kufuta mechi ya simba vs yanga madhara yake ni makubwa. Tumeua ari ya wanamichezo Kuna mashabiki hawataenda tena viwanjani Kuna mashabiki wameamua kuachana kabisa na habari za mpira wa tanzania Hatuwezi tena kupata wadhamini wa maana kwa ubabaishaji huu wa TFF & Co. Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi yatoa tamko kuhusu sakata la mechi ya Simba na Yanga

    Kile kilichotokea Jumamosi ya tarehe 8 na kauacha sintofahamu mpaka mda huu idara husika zinazidi kuchanganya wapenda kabumbu kwani TFF wanadai ilipokea taarifa kutoka bodi ya ligi leo hii bodi ya ligi inadai TFF, tusubirie kikao cha leo.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Awamu hii Spika angekuwa Zungu kasi ya maendeleo ingeongezeka, Job anapenda ligi na Mbowe ambayo ni yao binafsi

    Kwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa. Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu. Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais...
  10. JamiiForums Tanzania Nimeupenda huu mfumo wa League ya Croatia

    Wakuu CROATIA Bana League yao ina timu 10. Na kila timu head to head ya home&away zinakutana Mara 4 Yaani twice at home and twice away. Jumla inachezwa Gemu 36 Mpaka apatikane mshindi. Bingwa Anashiriki UEFA Mshindi wa 2&3 hucheza Europa ligue. Timu inayoshuka daraja ni moja tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…