ligi kuu

The Tanzania Mainland Premier League ("Ligi Kuu Tanzania Bara" in Swahili) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. This league was created in 1965, when it was known as the "National League". Its name was changed later to the "First Division Soccer League" and changed again in 1997 to the "Premier League".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaolipwa pesa ndefu zaidi Ligi Kuu Tanzania Bara

    1. Stephane Aziz Ki Stephane Aziz Ki ni mchezaji wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Young Africans ya Ligi Kuu ya Tanzania. Alizaliwa nchini Ivory Coast, anawakilisha timu ya taifa ya Burkina Faso. Date of birth: Mar 6, 1996 Place of birth: Adjamé Citizenship: Burkina...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Yanga akishinda leo Anabeba Ubingwa ligi kuu 2022/23!

    Wananchi wanakipiga dhidi ya Dodoma FC leo! Wanahitaji point 3 tu watangaze Ubingwa! Unadhani kazi itakua rahisi kwa Yanga mbele ya wanaDodoma? Wanangu wa mikeka ya Sokabet, Cheki Odds hapa👇
  3. S

    JamiiForums Tanzania Diarra kipa Bora ligi kuu NBC 2022-2023

    🥇 KIPA namba moja wa Yanga, Djigui Diarra amefikisha clean sheet 16 katika Ligi Kuu na zikiwa zimebaki mechi tatu kwa kila timu ili kukamilisha msimu tayari ametangazwa Kipa Bora wa msimu kutoka na na kuwa na clean sheet 16 hadi sasa ambazo haziwezi kufikiwa na kipa yeyote. 🧤
  4. JamiiForums Tanzania Yanga VS Marumo Gallants: Mechi ya kipimo cha Ubora wa Ligi Kuu ya Tanzania

    Yanga inayoongoza ligi kuu ya Tanzania inakwenda kuchuana na timu inayoshika mkia katika ligi kuu ya Afrika ya kusini kuwania kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,tarehe 10 May 2023,Fiston Mayele mfungaji bora wa ligi kuu ya Tanzania,ataongoza safu ya ushambuliaji kwa timu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Asanteni sana Simba, Kwa sasa Yanga Presha ya kutwaa ligi kuu imeshuka, mmeupiga mwingi

    Sio siri Yanga tulikuwa na wasi wasi wa kaweza kulipambania kombe la ligi kuu baada ya kupoteza derby, yani tulikuwa tumepishana point 5 tu na Simba na mbaya zaidi sisi Yanga tulikuwa tuna mechi 3 ugenini ikiwemo ya wajela jela na Mbeya city. Kwa sasa pumzi imeshuka kidogo maana tunahitaji...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga isipojiamini kupitiliza itatoboa Fainali!! Gallants wapo nafasi za mwisho ligi kuu ya Africa Kusini lakini si wa kubezwa

    Yanga itacheza dhidhi ya Marumo Gallants FC ya Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Marumo Gallants ipo nafasi za mwisho ligi kuu ya Africa kusini ila imeweza kupambana mpaka kufikia nusu fainali, Marumo Gallants imeitoa Pyramids FC ya Misri kwa jumla ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tulia Ackson jimbo lako linapoteza timu mbili Ligi Kuu, unazisaidiaje?

    Tulia Ackson Mbunge wa Mbeya Mjini, Mbeya City FC na Prison ziko kwenye hatari kubwa ya kuporomoka daraja. Una mikakati gani ya kuzisaidia hizi timu? Tunajua umekuwa unajinasibu kuwa wewe ni shabiki kindakindaki wa Simba. Hatujawahi kuona unatoa amsha amsha kwa timu za jimboni kwako. Hizi timu...
  8. JamiiForums Tanzania Timu ya jeshi yapanda Ligi Kuu NBC

    JKT TANZANIA WAPANDA LIGI KUU Ni Rasmi Sasa Timu ya Maafande wa JKT Tanzania kutoka Mkoani Pwani imekuwa Timu ya kwanza Kutoka Ligi ya Championship Kupanda Ligi Kuu Msimu ujao 2023/2024 Baada ya Kuichapa Timu ya African Sports Magoli Mawili Kwa Bila kwenye Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga na...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania na Ruvu Shooting hofu yatanda Ligi Kuu

    Polisi Tanzania na Ruvu Shooting wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kuokoa nafasi zao katika Ligi Kuu Bara. Kila timu imebakiza mechi nne kabla ya msimu kumalizika na zinaonekana kutegemea miujiza kutoka kwa wapinzani wao ili kuepuka kushuka daraja. Pengo la pointi baina yao na timu zilizo...
  10. JamiiForums Tanzania Lini Simba itafikia ubora wa Yanga Ligi Kuu? Kocha aondoke/abaki?

    Nikiwa kama shabiki wa Simba huwa ninaumia sana kuona miaka yote sisi tunakuwa wasindikizaji. Mbaya zaidi kila tunapokutana na watani zetu tunaishia kuchapwa tukijitahidi sana ni draw. Nadhani ifike wakati kocha apewe malengo kwamba asipoweza kuchukua ubingwa wa ligi au walau kuifunga Yanga...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani hutumika kumpata kocha bora wa mwezi ligi kuu ya NBC?

    Ni vigezo gani hutumika kuchagua kocha bora wa mwezi kwa ligi yetu pendwa ya NBC? Rekodi zinaonyesha kocha wa Yanga amekuwa na muendelezo bora kuliko makocha wote wa ligi kuu kwenye kila mechi ana 90% za kushinda . Lakini ni miezi kadhaa tuzo zinatilewa ila anashindwa/anakosa i Nabi...
  12. JamiiForums Tanzania IFFHS: Ligi Kuu Tanzania ni ya 5 kwa Ubora Afrika na ya 39 Duniani

    Shirikisho la kimataifa la historia na takwimu za mpira wa miguu (IFFHS) limeitangaza Ligi Kuu ya Tanzania bara kuwa Ligi ya 5 kwa ubora barani Afrika na ya 39 Duniani kwa mwaka 2022. NBC PL imezipiku Ligi za Tunisia,Afrika Kusini,Angola, Nigeria na Zambia. Misri inaongoza kwa Ligi bora...
  13. JamiiForums Tanzania Jemedari Said wa EFM: Gael Bigirimana hakuwahi Kucheza Ligi Kuu ya Uingereza, wana Yanga SC walidanganywa pakubwa

    Na Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe. Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Usiku wa kisasi wa Arsenal na Hatua moja kuchukua kombe ligi kuu

    Ukiachana na timu zote kuwa vizuri hivi karibu, kwenye mechi ya leo itakuwa ngumu kidogo ila wanangu wa Arsenal tutashinda sababu tukifungwa tena ni dharau 😂😂 na hatuwezi kufungwa kwa sababu kombe tunalitaka na hatumtaki Manchester United kwenye top four 🔫 THE GUNNERS
  15. JamiiForums Tanzania Mfungaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu Zambia azawadiwa trei tano za mayai

    Ukiyastaajabu ya bwana Musa utayaona ya Firauni. Kutokana na ligi kukosa wadhamini mchezaji Musonda amejitwalia trei tano za mayai mabichi baada ya kuibuka mfungaji bora wa mwezi. Afrika ina wenyewe na wenyewe ndio sisi
  16. JamiiForums Tanzania Posho za marefa Ligi kuu ni huzuni

    Mwamuzi wa Ligi Kuu anapokuwa kwenye mechi, inaelezwa analipwa kati ya Sh 300,000 hadi 350,000 kwa mechi, pesa ambayo inajumlisha nauli ya kutoka anakoishi kufika kwenye kituo cha kazi na gharama za malazi na chakula. 🗣 Ukipiga hesabu kwa haraka haraka, pesa ya posho kwa mwamuzi wa Ligi Kuu...
  17. JamiiForums Tanzania Canal+ inapigwa vita kwa sababu inaonesha ligi kuu ya Uingereza kwa bei nafuu

    Tayari kuna tangazo la TCRA kuashiria kuanza kwa mileage dhidi ya matumizi ya decoder ya CANAL+ Nchini tanzania na hiyo ni kwa sababu inaleta ushindani kwa dstv. Badala ya kufikiria kuipiga marufuku decoder hiyo iwape utaratibu wa kufanya ili nayo ilete changamoto chanya kwa wapenzi wa soka...
  18. JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara: Mtibwa Sugar 0-1 Yanga : Uwanja wa Manungu : 31/12/2013

    Huu ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Manungu Mkoani Morogoro, Mtibwa wakiwa wageni. Kikosi cha Mtibwa Sugar Kikosi cha Yanga kwa ajili ya mchezo huo Mchezo unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia sasa Mchezo umeanza 3' Umeanza kwa kasi ndogo, Yanga...
  19. JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

    Mchezo huu ni wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ikiwa kileleni katika nafasi ya kwanza wakati Azam FC ikiwa nafasi ya tatu. AZAM vs YANGA: Katika mechi 11 walizokutana kwenye Ligi Kuu tangu msimu wa 2017/18, Yanga wameshinda mara nyingi zaidi huku sare zikiwa ni mbili pekee. Mchezo wa leo...
  20. JamiiForums Tanzania Biriani na pilau wako ligi mbili tofauti, pilau yuko ligi kuu biriani anacheza daraja la nne

    Kwa kipindi Cha miaka minne nimekuwa nikifanya utafiti mdogo na muhimu, ambapo nilifanikiwa kuhoji watu 500. Pamoja na mahojiano hayo pia nilikula sehemu 100 tofauti tofauti. Katika hitimisho, nimefanikiwa kukubali kabisa pasipo shaka kuwa pilau na biriani misifa wako ligi mbili tofauti, pilau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…