Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.
Masaa 72 ya Ulaya na masaa 72 ya Tanzania ni tofauti kabisa. Think globally Act locally.
Masaa 72 ya kucheza baina ya mechi yamezingatia vitu mbalimbali ambavyo Tanzania havipo. Baadhi ya vitu hivyo ni pamoja na:
1. Ubora wa viwanja vyao: Wachezaji hawaumii sana mara kwa mara kwasababu za...
Hapo vip!
Ukitazama kwa jicho latatu unaona kabisa hizi faini wanazopigwa Simba sio haki,ila nikwasababu wanajua club ya Simba inapesa hivyo wanatengeza faini za kijanja ili hiyo bodi inayongozwa na viongozi maskini wapate mkate wa chai.
Ni wazi bodi inaibeba Yanga katika vitu vingi ila Simba...
Nimefuatilia mechi kadhaa hasa msimu huu2025/26 na msimu uliopita wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara, kumekuwa na ongezeko la mechi zinazochezwa usiku ili kuruhusu urushaji wa moja kwa moja kupitia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na wadhamini na watangazaji.
Lengo...
HAPO VIP!
YANGA TOKEA DUNIA IUMBWE HAIJAWAHI KUINGIA TOP 10 ZA CAF KAMA TIMU BORA NA KUBWA BARANI AFRIKA.
TIMU BORA NA KUBWA NDANI YA NCHI YA YAKE NA NJE YA NCHI YAKE NI TIMU AMBAYO INAFANYA VIZURI KIMATAIFA:
SIMBA IMESHAFIKA NUSU FINAL YA CLUB BINGWA MWAKA 1974,FINAL YA SHIRIKISHO MWAKA...
Juzi hapo Coastal Union kamnyanyasa Prisons na kumfunga magoli manne hakukuwa na kelele kwasababu Prisons wapo katika hali mbaya.
Simba kaifunga KMC yenye hali mbaya zaidi goli 2 nimeshangaa sana kuona Simba wamevimba kurudi kwenye ubora wao, Kwa hii Simba wakija kucheza na timu zilizomo 5 bora...
Hii tabia ya kuruhusu viwanja mwanzoni mwa msimu halafu baadaye kuvifungia wakati ligi inaendelea siyo jambo zuri. Wakishakagua uwanja na kuupitisha basi wangoje hadi msimu uishe ndipo wautolee uamuzi mwingine.
Wikiendi hii, mashabiki wa soka wanatarajiwa kushuhudia burudani ya kiwango cha juu kutoka viwanja mbalimbali duniani, huku mechi kubwa zikipamba ratiba, ikiongozwa na Manchester Derby huko England pamoja na fainali ya AFCON 2025 inayosubiriwa kwa hamu kubwa barani Afrika.
EPL & CAFCL...
Jezi ya Taifa ya CCM ni mbaya haina mvuto na haijulikani imetengenezwa na Kampuni gani, Hii jezi yao ni imeigwa kutoka kwenye Timu moja ya ligi guy Ukraine inaitwa SHAKHTAR DONESKS Ya Msimu uliopita. Yani CCM kila jambo hawawezi kulifanya kwa uwekedi yani ukiangalia jezi za Mataifa mengine ni...
Gor Mahia FC kwenye Derby waliocheza hii week na AFC Leopards wanasema wamekusanya jumla ya Tsh Bil 14.
Mechi ilichezwa Nyayo Stadium, upo Nairobi una capacity ya watu 18,000 tu.
Sasa nikiwaza kwa Mkapa na ile capacity ya 60,000 waliokaa bado waliosimama kwenye Derby si inamaana inaingia...
Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
AHADI imetolewa kwamba wagombea ubunge na udiwani wa CCM wakichaguliwa kwenye uchaguzi mkuu watahakikisha Mkoa wa Songwe unapata timu inayoweza kushindana kwenye ligi kuu.
Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Vwawa kupitia CCM, Japheti Hasunga ametoa ahadi hiyo jana alipoomba kura kwenye mkutano...
Namba huwa hazidanganyi. Jonathan Sowah ni mshambuliaji wa kati bora. Akiwa katika Ligi ya Ghana mwaka 2023, alicheza mechi 28 na kufunga mabao 16 na kutoa assisti moja (1).
Nchini Ghana alikua akicheza katika klabu ya Medeama. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika alicheza mechi nane na kufunga mabao...
Huu msimu wa mpira unaenda kupooza kama uji wa mgonjwa.
Yanga walishalijua hili ndiyo maana mambo mengi wanafanya ya hovyo bila kujali, kuanzia usajili usio na tija, jezi na hata ile milioni 100. Unaweza kudhani naongea kishabiki ila nina maana yangu kuitaja Yanga katika hili.
Ni wazi Simba...
Liverpool wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Alexander Isak kutoka Newcastle United, wakiweka rekodi mpya ya usajili England kwa mara ya pili msimu huu wa joto.
Alexander Isak ametangazwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Liverpool kwa usajili wa rekodi wa £125m kutoka Newcastle kwa Mkataba hadi...
Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya Ligi Kuu ya Tanzania na ndiyo maana unaona nasema tena kwa Masikitiko makubwa kuwa nakuonea Huruma na...
Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe misimu kadhaa ijayo haitakuwa jambo la kushangaza.
kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa...
Majira ya Saa Saba mchana wa leo, itafanyika droo ya ligi ya mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2025/2026 kwa hatua ya awali.
Droo hiyo itafanyika nchini Tanzania katika studio za AzamTv.
Wawakilishi wa Tanzania kwa Ligi ya Mabingwa ni Simba na Yanga huku upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.