library

  1. Maktaba (library) ngapi zilijengwa baada ya Uhuru?

    Maktaba ni sehemu ya watu kuongeza maarifa, mwana saikolojia Maslow katika mahitaji ya binadamu ameweka knowledge kama hitaji la tatu kuu muhimu kwa mwanadamu ili aweze kuendesha maisha yake ya kila siku na kujipatia maendeleo kutoka hapo alipo. Ni nadra sana kusikia kijana anasema atakua...
  2. Library video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipokutana na kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu na wengine

    Kwani kuna ubaya gani kukutana kama hivi na kuongea pamoja?
  3. Inertiajs - Lightweight javascript library unayopaswa kuijaribu

    Niaje wana Tech.. Kama miezi minne iliyopita nilikutana na hii Javascript Library Inertiajs Kidogo ni mpya, ila nikajaribu kuitumia kwa sababu kuu zifatazo Nilikua na upgrade Projects zangu kutoka Laravel 7 kwenda Laravel 8 Laravel 8 ime ship na package moja nzuri sana inayoitwa Laravel...
  4. Library iko Munich Allegmagne

  5. Anatafuta kazi ya library (Maktaba) kwa shule za Secondary na primary school mpaka chuo?

    Habari Wakuu Mambo vipi? Anatafuta kazi ya library. Amesomea base ya library kwa shule za secondary na primary school mpaka chuo kwa upande wa maktaba, jinsia ni wa kike yupo dar es salaam, namba ya simu ni 0754831451
  6. Music and Video library

    Nina lengo la kufungua video library yaani kurushia wateja movies pamoja na mziki. Kwa wanao fahamu, series/seasons nitapataje?
  7. Programme Assistant (Library), FS4 at United Nations

    Posting Title: Programme Assistant (Library), FS4 Job Code Title: Library Assistant Department/Office: International Residual Mechanism for Criminal Tribunals Duty Station: ARUSHA Posting Period: 16 April 2020 – 15 May 2020 Job Opening Number: 20-Documentation and Information...
  8. S

    Tujadili njia za kumsaidia mtoto kuongeza IQ yake katika ukuaji

    Habari za asubuhi wanajamvi, Nimeleta uzi hapa naamini nitapata msaada wa kimawazo. Kwa kawaida katika makuzi ya watoto malezi yanatofautiana na hivyo kuleta tabia tofautitofauti baina ya familia moja na nyingine au jamii moja na nyingine. Hoja yangu ni kuhusu kuongeza IQ, Creativity and...
  9. R

    Tanzania Online Virtual Library ( TOVL ) - Waaachia toleo la kwanza la application ya android

    Habari JF. Ni habari njema kwa watumiaji wa service ya TOVL kwa ajili ya kusoma vitabu online, na sasa wameamua kuachia toleo lao kwa watumiaji wa simu platform ya android . Ni jambo jema sasa tutakuwa na uwezo wa kusoma vitabu popote. Hongeren sana team nzima ya TOVL Download : TOVL (...
  10. R

    TOVL - Maktaba ya mtandaoni inayohimiza matumizi ya kompyuta kwa watoto

    Habari wana JF .. Nimekutana na hii habari mwananchi nikaona ni vizuri kushare Rainer Mwashu, mtaalamu wa utengenezaji wa mifumo ya kompyuta, ambaye kwa sasa ni muajiriwa wa Mamlaka ya Bandari, iliyo chini ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi , ametengeneza maktaba ya mtandaoni kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…