Pope Leo XIV (born Robert Francis Prevost; September 14, 1955) is the current head of the Catholic Church and sovereign of the Vatican City State. He was elected during the 2025 papal conclave on May 8, 2025, following the death and funeral of Pope Francis.
Born in Chicago, Illinois, Prevost dedicated his early clerical career to the Order of Saint Augustine. His service included extensive work in Peru from 1985 to 1986 and 1988 to 1998, where he served as a parish pastor, diocesan official, seminary teacher, and administrator. Elected Prior General of the Order of Saint Augustine from 2001 to 2013, he later returned to Peru as Bishop of Chiclayo (2015–2023). In 2023, Pope Francis appointed him prefect of the Dicastery for Bishops and the president of the Pontifical Commission for Latin America, and created him a cardinal the same year. These roles elevated his prominence as a papal candidate.
Leo XIV is the first North American and first Peruvian pope; he is the second pope from the Americas. He is the first pope from the Order of Saint Augustine and the seventh from orders following the Rule of Saint Augustine.
Nilikemea kwa nguvu sana tabia za viongozi wa dini kutumika kisiasa. Niliwataja kwa majina yao. Nimefurahi sana kuona Papa amesoma kwa umakini wa hali ya juu na kuzielewa vizuri posts zangu za hapa JF.
Najua mpaka anakuja kutoa ujumbe huo wa kuwakemea kwa nguvu wale wanaotumika kisiasa atakuwa...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amelaani tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kutumia mamlaka na ushawishi wao kwa waumini kuhalalisha migogoro na migawanyiko ndani ya mataifa yao.
Leo, ambaye ni Papa wa kwanza kutoka nchini Marekani, ameyasema hayo kupitia ujumbe wa kurasa nne...
"Ninawasihi Wakuu wa Nchi na viongozi wa mataifa kusikiliza kilio cha maskini zaidi. Hakuna amani bila haki. Maskini hutukumbusha hili kwa njia nyingi, kupitia uhamiaji na kupitia kilio chao, ambacho mara nyingi hufichwa na dhana ya ustawi na maendeleo, ambayo hayamshirikishi kila mtu." - Papa...
Wakuu natamani vyombo vyetu vya habari ujumbe huu uwafikia pia.
Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Leo XIV kupitia ukurasa wake wa X amevitaka vyombo vya habari haviwezi na havipaswi kujitenga na ukweli.
===
"The media cannot and must not separate itself from the destiny of truth...
Baba Mtakatifu,
Ninaandika kwa dharura kutoka Tanzania, nchi ambayo historia yake imesimama kama mfano wa kuvutia wa mshikamano wa kidini. Zaidi ya miongo sita, Wakristo na Waislamu wameishi kama ndugu, wakiwa si tu watu wa imani bali Watanzania. Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
Your Holiness,
I write with urgency from Tanzania, a land whose history has long stood as a shining example of interfaith harmony. For more than six decades, Christians and Muslims have lived as brothers and sisters, bound not by creed alone but by a shared identity as Tanzanians. It was the...
Baba Mtakatifu Leo XIV amemteuwa mtanzania Monsinyori Romanus Mbena kuwa ni Mkuu wa Ofisi ya Baraza la Kipapa la Huduma ya Upendo, ambaye hadi kuteuliwa kwake amekuwa akihudumu kama Afisa Mshauri wa Balozi za Vatican ngazi ya kwanza na Mhudumu katika masuala ya jumla kwenye Sekretarieti kuu ya...
Baba Mtakatifu Leo XIV ameandika Kupitia Mitandao yake ya Kijamii ya Instagram na X, kuwashukuru Waafrika.
"Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa
ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu
katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu
kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu...
Hili ni kuhusu kuchaguliwa kwa Papa Leo wa Kumi na Nne, kutoka kwa Jaji mmoja nchini Kenya ambaye si Mkatoliki
Hon. Jaji Aggrey
Kuna aina ya hekima isiyopiga kelele. Haijitafutii umaarufu. Haipigi kelele ili ionekane. Inakuwepo tu – kimya, kwa kina na milele. Hii ndiyo hekima ya Kanisa...
Katika kijiji kidogo chenye utulivu wa kimungu kilichopo Mahanje,Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, kuna chumba cha kawaida – lakini historia yake si ya kawaida hata kidogo.
Ndani ya chumba hiki, miaka 22 iliyopita, alilala mtu ambaye hivi sasa ni Kiongozi Mkuu wa Kanisa...
https://www.youtube.com/live/jE6G8dBC6Hc?si=9somVYCO5gxYAzyS
Waliopo:-
Viongozi wa ngazi za juu wa Kanisa Katoliki: Makardinali, Maaskofu, na viongozi wengine wa kidini kutoka sehemu mbalimbali duniani.
* Wawakilishi wa serikali mbalimbali: Marais kama VP JD Vance (USA), Zelenskyy (Ukraine)...
Inaelezwa kuwa, moja ya sifa kubwa na Papa mpya, Leo wa Kumi na Nne ni namna ambavyo anasimamia ukweli kupinga udhalimu na uonevu wa binadamu bila kujali mazingira yapoje.
Katika historia yake, inasemwa kuwa miaka ya 1990 akiwa Padre nchini Peru, utawala wa kidikteta chini ya Kiongozi Fujimori...
Anaweza kuwa Papa wa kwanza kutembelea zaidi ukanda wa Afrika kabla hajawa Papa. Papa ameishi Nigeria, pia ametembea Congo DRC na Kenya.
Kwa mujibu wa Catholic News Agency, Papa ameshafika Tanzania zaidi ya mara tano na kufanya kazi maeneo mbalimbali katika nyakati hizo ikiwemo Morogoro na...
Katika hotuba yake ya kwanza kwa vyombo vya habari vya kimataifa Jumatatu, Papa Leo XIV aliwashukuru waandishi wa habari kwa huduma yao kwa ukweli na kwa kuwasiliana amani katika nyakati ngumu.
"Tunaishi katika nyakati ambazo zote ni ngumu kuzunguka na kuelezea. Wanatoa changamoto kwa sisi...
Papa mpya aoneshq matumaini mapya dhidi ya watu wenye itikadi za ushoga, baada ya kumkwepa mtu mwenye bendera ya ushoga aliyetaka kurazimisha salamu wakati Papa huyo akisalimiana na watu
Tizama video hii
https://www.youtube.com/live/J6MqpK91bEA?si=_JJA8qKMlvBCbpgc
Uchaguzi wa Papa mpya umeanza rasmi leo, Jumatano, Mei 7, 2025, katika Kanisa la Sistine, Vatican, kufuatia kifo cha Papa Francis kilichotokea Aprili 21 akiwa na umri wa miaka 88. Huu ni uchaguzi wa 267 katika historia ya Kanisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.