laptop

  1. I

    JamiiForums Tanzania Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda

    Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda Jibu rahisi ni ndyo ?? Sounds like sci-fi? It’s not. It’s real, it’s dangerous, and it’s probably inside your laptop right now. 👇 Na It's MALEKOGJ Katika ulimwengu wa kisasa wa...
  2. jT0078

    JamiiForums Tanzania NANUNUA LAPTOP MBOVU KAMA SPARE. 0767953873

    LETE LAPTOP MBOVU NIKUPE PESA BEI MAELEWANO. ILALA - KARUME 0767953873
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kama Unayo Laptop Hii - Dell Latitude 3190 Touchscreen

    Kama unayo Dell Latitude 3190 Touchscreen nipigie tufanye biashara Mashariti: 1. Laptop iwe katika hali nzuri, kama ni mbovu usinipigie tafadhali 2. Uwe Dar es salaam 3. Bei isizidi 280K If you're ready call... Piga: 0658 700 510 na tuma picha kwa WhatsApp kupitia hiyohiyo number . Karibuni!
  4. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Je, Tesla atamtoa Apple kwenye soko la simu na laptop?

    Elon Musk anakuja kwa kasi sana kwenye technology ya mawasiliano, kumbuka anamiliki satellite zake thus kwa technology za mawasiliano yupo cheap sana hata simu na laptop zake ni quality ya juu kwa bei ya chini kuliko products za apple yaani iphone na computer. Katoa tablet na simu ambayo...
  5. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Laptop 🧠💻

    Unataka kununua laptop mpya? Usikurupuke! Haya ndiyo mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Matumizi Yako Ni Yapi? Kwa kazi za kawaida – laptop ya bei nafuu inatosha. Kwa gaming, design au programming – chagua yenye nguvu zaidi. 2. Processor (CPU) Core i5/Ryzen 5 au zaidi ni bora kwa kazi nzito...
  6. jT0078

    JamiiForums Tanzania NANUNUA LAPTOP MBOVU KAMA SPARE

    KAMA UNA LAPTOP MBOVU LETE NIKUPE PESA BEI MAELEWANO NIPO ILALA - DSM 0767953873
  7. germanium

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale HP LAPTOP FOR SALE

    NEW (2024) GO BEYOND HP Envy x360 2-in-1 Laptop 14 • Intel Core TM Ultra 7 150U Processor • 500GB Solid State Drive •Windows 11 Home • Touchscreen, Multi-touch enabled • 3-cell, 59 Wh • 16GB on-board LPDDR5 SDRAM • 14.0⚫ WUXGA IPS LED Display (300 nits) • poly studio •HP 5MP IR Camera •Silver...
  8. jT0078

    JamiiForums Tanzania NAUNUA LAPTOP ZILIZO NA UBOVU. 0767953873

    Kama una Laptop au Desktop mbovu lete nikupe pesa bei maelewano nipo ilala - dsm 0767953873
  9. Boloyoung

    JamiiForums Tanzania Hp Laptop Desktop- VAM8QO3 inauzwa

    Hp laptop DESKTOP-VAM8QO3 intel pentium CPU 1.10 GHz RAM 4 GB 64-bit touch screen windows 10 pro 119 GB Web Camera used only one week charge 7 HRS bei 300,000 Contact 0655 854563
  10. jT0078

    JamiiForums Tanzania NANUNUA LAPTOP MBOVU KAMA SPARE. 0767953873

    Lete Laptop mbovu nikupe pesa, bei maelewano ilala - Dsm 0767953873
  11. tajiri wa fikra

    JamiiForums Tanzania 💥OFA KABAMBE YA LAPTOP!

    🔥🔥🔥🔥OFA KUBWA ZA LAPTOP ZENYE UBORA WA HALI YA JUU! 🌍🌍Unatafuta laptop imara, yenye speed ya kasi, battery inayodumu, na muonekano wa kisasa kwa BEI NAFUU? Usihangaike tena! Sisi ndiyo suluhisho la mahitaji yako. Tunauza laptop mpya na zilizotumika (used) lakini zikiwa katika hali nzuri sana...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hard disk ya laptop naitumia kwenye TV shida inapata joto kali, natatua vipi hili tatizo ?

    Hard disk ni ya laptop nimeiweka kwenye kasha limeandika Usb 3.0 ila waya wake ulikuwa mfupi, nikaunganisha huo waya na waya mwengine mrefu wa kuchomekea flash na external, waya nao umeandikwa usb 3.0. Shida inakuja hard disk inapata joto kali sana
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza na Tunauza computer na laptop bei kuanzia Tsh 170000/=.

    Habari wadau! Tunauza computer na laptop kwa bei nafuu sana kuanzia Tsh 170000/= mpaka Tsh 800000/=,bei zetu zinategemeana na uwezo, viwango na ubora wa computer,lakini pia sambamba na hilo tunafanya pia maintainance za computer kuanzia( Hardware na Software),na gharama zetu ni nafuu sana,njoo...
  14. jT0078

    JamiiForums Tanzania NABADILISHA HOUSING ZA LAPTOP. 0767953873

    Lete Laptop yako iliyovunjika housing tukubadilishie iwe mpya. 0767953873
  15. jT0078

    JamiiForums Tanzania Tunabadilisha na kuuza Housing za Laptop. 0767953873

    Kama una Laptop imevunjika au housing limechoka unahitaji kubadilisha njoo tukubadilishie. Ilala - Dsm 0767953873
  16. I

    JamiiForums Tanzania Unapochagua Laptop, Hii Ndiyo Kitu Ambacho Kila Mtu Anapaswa Kujua

    “Tech Doesn’t Have to Be Complicated. Here’s Proof.” Uzi huu unalenga watu wanaogopa kununua vifaa vya kielektroniki kwa sababu ya kutokuelewa vizuri, na unaleta uaminifu na ufahamu. Tech Doesn’t Have to Be Complicated. Here’s Proof. Wengi wetu tunahitaji laptop au desktop — kwa kazi, shule...
  17. jT0078

    JamiiForums Tanzania NANUNUA LAPTOP MBOVU KAMA SPARE. 0767953873

    Lete Laptop MBOVU nikupe pesa Bei maelewano 0767953873
  18. I

    JamiiForums Tanzania Mwongozo Bora wa Kununua Laptop ya Utendaji wa Juu (2024/25)

    Mwongozo Bora wa Kununua Laptop ya Utendaji wa Juu (2024/25) Na MALEKO GJ| #ElimuYaKompyuta Kununua laptop mpya ni jambo linaloweza kuwa la kusisimua, lakini pia linachanganya kutokana na wingi wa chaguo sokoni. Ikiwa unahitaji laptop ya utendaji wa juu kwa ajili ya gaming, kuhariri video...
  19. Ndebile

    JamiiForums Tanzania Laptop Inahitajika Haraka

    Nahitaji laptop, kwa matumizi ya kijana wangu kwa ajili ya masomo. Nipe sifa za pc yako na bei. Asante!
  20. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Kwanini ulaji wa Mbs kwenye Laptop au desktop huwa ni mkubwa tofauti na ukitumia simu?

    Hii nimejaribu Mara nyingi napotumia sim Mb huwa zinaenda kawaida tu Ila nikitumia PC( iwe laptop au desktop) Mb zinakimbia ni balaa. Sababu ya kitaalam ni ipi? Site nazotembelea ni zile zile tu Ila ulaji wa Mb kwenye PC naona ni mkubwa zaidi. Nawasilisha wakuu, karibuni kwa majibu
Back
Top Bottom