laptop

  1. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa

    Hp probook 640 G4 ssd 256gb core i5 ram 8gb 7th generation Slim
  2. JamiiForums Tanzania Kwahiyo vijijini mtu anaweza kuuliwa kwa kuiba laptop ya laki mbili !?

    Nimeshangaa kusikia wananchi wanamuua MTU kwa kosa la kuiba lap top ya lakimbili . Na najiuliza hawa jamaa ni kweli hawana akili .Ila hata kufikiria hawawezi?.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Laptop Yako Inakaribia Kufa – Huu Ndio Mwongozo wa Kuiokoa Mapema (Step-by-Step Maintenance Guide)

    Laptop Yako Inakaribia Kufa – Huu Ndio Mwongozo wa Kuiokoa Mapema (Step-by-Step Maintenance Guide) Watu wengi wanakumbwa na balaa moja: laptop inazima ghafla au kupungua speed kila siku. Na mara nyingi siyo hardware mbovu – ni matunzo duni. Leo nakupa mpango wa msaada wa dharura – step-by-step...
  4. JamiiForums Tanzania Nanunua laptop mbovu kama spare

    Nanunua laptop mbovu kama spare bei maelewano Nipo Ilala - Dsm 0767953873
  5. JamiiForums Tanzania Laptop nzuri kwa kijana wangu

    Wadau wazoefu,nina kijana wangu yupo kidato cha 6,nataka nimnunulie laptop kwa ajili ya matumizi yake,nikizingatia kuwa mwakani anaweza kujiunga na chuo kikuu,je ni laptop ipi,yenye uwezo upi nimnunulie?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Tofauti Kati ya Laptop Refurbished na Laptop Feki (2025)

    Tofauti Kati ya Laptop Refurbished na Laptop Feki (2025) Imeandikwa na MALEKOGJ Mawasiliano kwa maelezo zaidi au ununuzi salama: +255 675031229 Katika soko la sasa la teknolojia nchini Tanzania, ambapo matumizi ya kompyuta binafsi yameongezeka kwa kasi haswa miongoni mwa wanafunzi...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda

    Je, Laptop Inaweza Kutumiwa Hata Ikiwa Imezimwa? Fahamu Ukweli wa Kushtua Kuhusu Intel AMT na Jinsi ya Kujilinda Jibu rahisi ni ndyo ?? Sounds like sci-fi? It’s not. It’s real, it’s dangerous, and it’s probably inside your laptop right now. 👇 Na It's MALEKOGJ Katika ulimwengu wa kisasa wa...
  8. JamiiForums Tanzania NANUNUA LAPTOP MBOVU KAMA SPARE. 0767953873

    LETE LAPTOP MBOVU NIKUPE PESA BEI MAELEWANO. ILALA - KARUME 0767953873
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kama Unayo Laptop Hii - Dell Latitude 3190 Touchscreen

    Kama unayo Dell Latitude 3190 Touchscreen nipigie tufanye biashara Mashariti: 1. Laptop iwe katika hali nzuri, kama ni mbovu usinipigie tafadhali 2. Uwe Dar es salaam 3. Bei isizidi 280K If you're ready call... Piga: 0658 700 510 na tuma picha kwa WhatsApp kupitia hiyohiyo number . Karibuni!
  10. JamiiForums Tanzania Je, Tesla atamtoa Apple kwenye soko la simu na laptop?

    Elon Musk anakuja kwa kasi sana kwenye technology ya mawasiliano, kumbuka anamiliki satellite zake thus kwa technology za mawasiliano yupo cheap sana hata simu na laptop zake ni quality ya juu kwa bei ya chini kuliko products za apple yaani iphone na computer. Katoa tablet na simu ambayo...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo 7 ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Laptop 🧠💻

    Unataka kununua laptop mpya? Usikurupuke! Haya ndiyo mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Matumizi Yako Ni Yapi? Kwa kazi za kawaida – laptop ya bei nafuu inatosha. Kwa gaming, design au programming – chagua yenye nguvu zaidi. 2. Processor (CPU) Core i5/Ryzen 5 au zaidi ni bora kwa kazi nzito...
  12. JamiiForums Tanzania NANUNUA LAPTOP MBOVU KAMA SPARE

    KAMA UNA LAPTOP MBOVU LETE NIKUPE PESA BEI MAELEWANO NIPO ILALA - DSM 0767953873
  13. JamiiForums Tanzania Computer4Sale HP LAPTOP FOR SALE

    NEW (2024) GO BEYOND HP Envy x360 2-in-1 Laptop 14 • Intel Core TM Ultra 7 150U Processor • 500GB Solid State Drive •Windows 11 Home • Touchscreen, Multi-touch enabled • 3-cell, 59 Wh • 16GB on-board LPDDR5 SDRAM • 14.0⚫ WUXGA IPS LED Display (300 nits) • poly studio •HP 5MP IR Camera •Silver...
  14. JamiiForums Tanzania NAUNUA LAPTOP ZILIZO NA UBOVU. 0767953873

    Kama una Laptop au Desktop mbovu lete nikupe pesa bei maelewano nipo ilala - dsm 0767953873
  15. JamiiForums Tanzania Hp Laptop Desktop- VAM8QO3 inauzwa

    Hp laptop DESKTOP-VAM8QO3 intel pentium CPU 1.10 GHz RAM 4 GB 64-bit touch screen windows 10 pro 119 GB Web Camera used only one week charge 7 HRS bei 300,000 Contact 0655 854563
  16. JamiiForums Tanzania NANUNUA LAPTOP MBOVU KAMA SPARE. 0767953873

    Lete Laptop mbovu nikupe pesa, bei maelewano ilala - Dsm 0767953873
  17. JamiiForums Tanzania 💥OFA KABAMBE YA LAPTOP!

    🔥🔥🔥🔥OFA KUBWA ZA LAPTOP ZENYE UBORA WA HALI YA JUU! 🌍🌍Unatafuta laptop imara, yenye speed ya kasi, battery inayodumu, na muonekano wa kisasa kwa BEI NAFUU? Usihangaike tena! Sisi ndiyo suluhisho la mahitaji yako. Tunauza laptop mpya na zilizotumika (used) lakini zikiwa katika hali nzuri sana...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hard disk ya laptop naitumia kwenye TV shida inapata joto kali, natatua vipi hili tatizo ?

    Hard disk ni ya laptop nimeiweka kwenye kasha limeandika Usb 3.0 ila waya wake ulikuwa mfupi, nikaunganisha huo waya na waya mwengine mrefu wa kuchomekea flash na external, waya nao umeandikwa usb 3.0. Shida inakuja hard disk inapata joto kali sana
  19. T

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza na Tunauza computer na laptop bei kuanzia Tsh 170000/=.

    Habari wadau! Tunauza computer na laptop kwa bei nafuu sana kuanzia Tsh 170000/= mpaka Tsh 800000/=,bei zetu zinategemeana na uwezo, viwango na ubora wa computer,lakini pia sambamba na hilo tunafanya pia maintainance za computer kuanzia( Hardware na Software),na gharama zetu ni nafuu sana,njoo...
  20. JamiiForums Tanzania NABADILISHA HOUSING ZA LAPTOP. 0767953873

    Lete Laptop yako iliyovunjika housing tukubadilishie iwe mpya. 0767953873
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…