laki moja

Laki Pingvini (Serbian Cyrillic: Лаки Пингвини; trans. 'The Easy Penguins') were a Serbian rock band from Belgrade, Serbia. While initially being a new wave act, throughout their later career, the band turned towards synthpop and pop rock.

View More On Wikipedia.org
  1. Nina commission ya laki Moja kwa mtu atakae nipa KAZI ya laki tatu na nusu mpaka nne.

    Mkono mtupu haulambwi wakuu Sasa Nina zawadi ya laki Moja kwa mtu ambae ataniunganisha na KAZI yoyote ya laki tatu mpaka laki nne. Location Dar es salaam Kazi yoyote. Elimu: shahada. Ahsante
  2. A

    DOKEZO Baadhi ya Maafisa wa Manispaa Morogoro wanatukamata Bajaj kisha wanataka faini laki 1 au uwatoe 50,000

    Maafisa wa Manispaa Morogoro wanatukamata Bajaj kisha wanataka faini laki moja au utoe Rushwa 50,000 Sisi madereva na wamiliki wa Bajaj Morogoro tumechoshwa na usumbufu wa makundi ya watu wa manispaa. Wanakamata Bajaj bila mipangilio wakidai kuna makosa mbalimbali na faini inaanzia shilingi...
  3. Unalipwaje dollar laki moja kwa kufanya kazi 4?

    Nilikuwa napita huko upwork nimeshangaa sana japo sijui hiyo kazi ina ukubwa gani lakini malipo ni yakushangaza ,, mtu kafanya kazi 5 au 10 lakini ukiangalia malipo yake ni balaa,, em tupeni mbinu
  4. Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

    Haya sasa, kuna watu walidhani taarifa za Cuba hazipatikani. Uongo mkubwa umedhihiri. Tanzania ya sasa ni ya wasaka taarifa
  5. Kati ya wapuuzi laki moja, kuwa mweledi mmoja

    Usibebeke kwa trend wala mihemuko, bebeka kwa facts na guts zako.
  6. Nina laki moja nawezaje kuizalisha?

    Nina laki moja mkononi, itaki kuitumia ikapotea nawezaje kuizalisha ndugu zangu najikuta tu sina idea ya fasta kwa sasa?
  7. Msanii adai: Ukisema 'Mama Samia Hoyee' unapewa Laki Moja kwenye uzinduzi wa Dira ya 2050

    Wakuu! Kama wasanii wanaamini kwamba kusifu viongozi, hususan kwa maneno mepesi kama "Mama Samia Hoyee," kunatosha kupata malipo au "ulaji," basi tunajiweka kwenye hatari ya kupotosha dhamira ya sanaa Huu mtindo wa kutoa malipo kwa misingi ya sifa tu, badala ya mchango wa kweli au kazi...
  8. Kijana katuambia anataka kufanya harusi (kuoa) yeye kaandaa laki moja tu, anaomba aongezewe pesa iliyobaki

    Kijana kaomba aongezewe pesa iliyobaki ili aweze kufanya sherehe kabambe. Wakuu mtu kama huyu anasaidiwa vipi huko kwenu?
  9. Unaisaliti Chadema kwa kupewa kishika uchumba cha shilingi za kitanzania laki moja?

    Leo nimeamini pasi na shaka kuwa Mwamba anahusika na huu mradi wa hama hama ndani ya Chadema na kwakweli bado sijajua sababu hasa ni nini. Labda anataka kuona kuwa yeye ndiye Chadema? Lakini yote haya ni matokeo ya kiongozi kukaa madarakani muda mrefu maana mwisho wa siku anatengeneza mtandao...
  10. Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu maji yamezidi Unga

    Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu sana naona maji yamezidi Unga Naja kwenu JF Experts mnisaidie kutafuta ajira hapa na Pale katika field za Logistics and Transport Napatikana Jijini Mwanza, itapendeza zaidi nikifanikisha hapa maana siwezi kusafiri kwenda Mbali kwa sababu ya mzazi wangu.
  11. W

    PreGE2025 RC Makonda amsapoti muuza nyanya kwa kumpa shilingi laki moja

    Paul Makonda ni kama anaendelea kujitengenezea jina huko Arusha kwa ajili ya ubunge. === Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda, akimshika mkono kijana mjasiriamali anayeuza nyanya mitaani, ishara ya kutambua na kuthamini juhudi za vijana katika kujitafutia riziki. Serikali inaendelea kushirikiana na...
  12. B

    Baada ya kufanya nae mapenzi aliniachia laki moja na ujumbe unaosomeka "nimepata ninachotaka"

    Hali vipi wana JF! Niingie moja kwa moja kwenye kisa changu : 👉Nilipata mwanadada kama miezi mitatu hivi iliyopita 29 of age nikawa nakula nae gud time namtoa out kwenye viwanja vyetu vya bei ya kawaida, 👉Basi siku ya siku juzi jumamosi weekend tukaenda lodge moja hivi tukafanya yetu Ila...
  13. Natafuta Kitanda cha Laki moja Kigoma

    Wana kigoma mjini msije kusema siwapi madili
  14. Japan wako mbingu ya saba, miaka laki moja mbele ya CCM

    # Tokyo Flood Tunnels, an underground engineering marvel that protects the city from flash floods. # # These tunnels, located beneath Tokyo’s bustling streets, are a stunning example of modern Japanese engineering. # # They not only channel rainwater away from urban areas, but also provide...
  15. Nimeona sehemu tangazo la ualimu sekondari, mshahara laki moja nimetokwa na machozi

    Hivi laki moja hata uwe kijijini unatoboaje kwa mwezi?
  16. D

    Natafuta washing machine 4.5kg ya laki moja

    Natumaini ni wazima wote nipo mbele yenu natafuta washing machine 4.5kg ya laki moja ambaye anayo ani pm tufanye biashara nipo Dar es salaam
  17. Serikali ya Zimbabwe yataka Whatsap Admins kupata leseni na kulipa ada ya laki moja ili kuendesha magroup ya Whatsap

    Wakuu, Serikali ya Zimbabwe imetangaza kwamba Admins wa makundi ya WhatsApp yanayofanya kazi ndani ya mipaka ya nchi hiyo sasa wanatakiwa kusajili na kupata leseni kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano ya Zimbabwe (POTRAZ). kwenye mkutano wa POTRAZ wa hivi karibuni...
  18. T

    Natafuta chumba na sebule maeneo ya upanga. Ofa laki mbili kwa mwezi

    Habari wadau. Nimehatika kupata kazi hospital ya muhimbili hivyo nahitaji chumba na sebule maeneo ya upanga ofa yangu ni laki mbili kwa mwezi
  19. Kumbe fundi simu anaweza kuingiza laki moja kwa siku?

    Simu yangu ilileta shida kidogo nikaenda kwa fundi simu kunibadilishia system charge yangu ya Google pixel akanipiga 25,000/= nikasema nianze kumuuliza maswali mengi jamaa hakua na hiyana, kwanza alinambia kanunua nyumba ya million 18, kwa mwezi hakosi million moja kama faida, alinambia na...
  20. Hatimaye nimefika views laki moja kwenye post zangu jamii forums

    Asanteni sana kwa wale walionuwa wanapita pita kwenye post zangu na kuchukua uongo na ukweli,post zangu zimefika views laki moja ni jambo la kushukuru.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…