Watu wengi wakikuona wanakuchukulia kama uko mzembemzembe wakiona ngozi yako laini na haina kash kash au mikwaruzo n.k, kumbe hawajui mtu unaweza ukawa na ngozi laini lakni ukawa mtu mgumu kweli kweli. mi kazi ngumu nafanya sana na wala sifanyi skin care mara nyingi, ni vile tu ngozi yangu...
Habari za muda huu kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Je! Naweza kuunganisha namba mpya ninayoitumia kwenye NMB kwa sababu namba ya simu niliyounganisha mwanzoni wakati nafungua Account haipo yaani ilishapotea na aliyenisajilia yupo mbali na nilipo
Karibu uraiani Lucy Shayo. Nimeambiwa kuwa moja ya tuhuma ulizopewa ni kutumia laini ya simu ya mtu mwingine! Tanzania ni nchi yenye maajabu mengi. Huenda ni nchi pekee ambayo watawala hutunga sheria kwa ajili ya wananchi lakini wao sheria hizo haziwahusu kwa sababu:
1. Mawaziri wengi wakitaka...
Jeshi la polisi Mkoa wa Iringa limewakamata Innocent Moshi (30), mfanyabiashara na mkazi wa Tenguru Mkoa wa Arusha na wenzake wawili wakiwa na laini 94 za mitandao mbalimbali ya simu wakizitumia kujipatia fedha kwa njia ya Udanganyifu.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya Habari Kamanda wa Polisi Mkoa...
Nauza vitabu(softcopy/nakala laini) vya kiingereza vilivyotafsiriwa kiswahili na kiingereza Bei 10,000 Tsh kimoja.
1. Kitabu Cha Henoko (Biblia hakipo)
2. Rich Dad, poor dad (Swahili)
3. Art of strategy (Sanaa ya mkakati) (Swahili)
Nicheki kwa vitabu vingine tuma jina la kitabu WhatsApp...
Wakuu nisaaidieni Hilo jambo aisee natumia Airtel na Vodacom nikipigiwa simu anaenipigia anaambiwa natumika wakati simu ninayo mkononi na siongei na mtu na kibaya zaidi hata haiiti tatizo litakua nini wakuu mwenye kujua hii ishu wakuu maana watu wanasema nimewablacklist wakati sivyo
Nauza vifungashio au mifuko laini Ile ya kuingia kilo moja Hadi kilo mbili ni mizuri mipana na haivuji wala kuachia chini pindi unapobeba bidhaa...njoo nikuuzie kwa mia9 kila pisi wewe uuze 1300 adi 1500 kwa kila pisi... napatikana mbagala chamazi karibu boss
Mashine za uwakala wa Benk zinauzwa
Benki zilizopo
NBC
EQUITY
CRDB
NMB
SELCOM
EXIM
LAINI ZA UWAKALA
TIGO
VODA
AIRTEL
HALOTEL
Bei ya VYOTE 6M haipungui.
MAWASILIANO : 0653851536
Location : Dar Es Salaam,Kijitonyama
NOTE :
Ukinunua Mashine itabidi uwe na AMBA YA NIDA, LESENI na TIN...
IFAHAMU eSIM | LAINI YA KIDIGITALI!
Wengi huenda Mmesikia Mahali au wengine mmeona Neno “eSIM” na hamjaelewa nini Maana yake, Karibuni tuifahamu vyema Huduma ya eSIM na maana yake.
🔎 eSIM NI NINI?
☑️ eSIM ni Laini ya Kidigitali ambayo hupachikwa katika Simu kutoka Kiwandani. Ni laini ambayo...
Serikali imebaini na kuzifungia laini za simu 47,728 pamoja na nambari za Kitambulisho cha Taifa (NIDA) 39,028 baada ya kugundulika kuwa zimehusika katika matukio ya uhalifu wa kimtandao na udanganyifu kwa njia ya mawasiliano.
Hayo yameelezwa leo Ijumaa Mei 16, 2025 na Waziri wa Mawasiliano na...
Laini za uwakala wa miala ya kifedha zinauzwa, Mbeya mjini. Hallopesa,Mpesa,Yas,Airtel money. Bei Tshs 400,000/= Bei inazungumzika. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa ina mwaka siitumii kwakuwa huku nilipo natumia Laini ya Mtandao wa huku.
Kwahiyo nauliza ni Mbinu...
Watu wa namna hii wanaudhi sana kama sio kusikitisha. Unakutana na mtu ana namba ya kila mtandao. Day one kakupa let say namba yake ya Voda, wakati anarudisha message unashangaa namba nyingine (Yas), unavumilia, unasave
Kesho yake unashangaa kuona namba ngeni inaingia kwa simu (Airtel), kwa...
Wakuu habari za usiku?
Aisee jana hali yangu kiuchumi haikua nzuri,nikaona ngoja ninunue mkate nile nilale,mkate nimeula saa 3 usiku,ila hivi sasa ni saa 9 usiku usingizi umekata kabisa nimeamka kukoroga hata uji ninywe maana sio kwa njaa hii ninayoisikia aisee.
Hivi nyie wenzetu hasa wa hapo...
Samahani wadao, naomba kuuliza
Nilinunua mifi ya Airtel, sasa kuna kazi nataka kuitumia haiitaji data sana, ile lain iliopo ndani nikaitoa nikaunga bundle la kawaidia GB 1 ila ikakataa kuzitumia, ikabidi ninunue Data kwa lain nyingine ya Airtel nikaiweka mwenye Mifi, ikasoma nikaanza kutumia...
Hivi Hawa jamaa inakuaje mpaka wanaweza kuiba pesa na namba ya Siri hawana maana Leo ni kilio jamaa yetu hapa mtaani aliibiwa simu jana na alishapigia Yas wakaifunga laini ila Leo amerenew laini Leo anakuta Salio zero inawezekana vipi Hawa wezi kutoa pesa huku wakiwa hawana namba ya Siri Wala...
JESHI la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu 11 kwa tuhuma za kukutwa na laini 9,389 za mitandao ya simu walizokuwa wakitumia kufanyia matukio mbalimbali ya uharifu kwa njia ya mtandao na unyang’anyi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi wa Polisi (SACP) Safia Jongo ametoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.