laana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Imani ya Mwarabu na Myahudi zinafanana kwa karibu sana, wote walimkataa Yesu ndio maana laana ya damu inawasumbua

    Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo 1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha 2.Wote hawaamini katika utatu...
  2. Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

    Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili hupati michongo maana kila mtu anaona unaenda kumuovertake kwenye ugali wake ukienda kujiajiri ndio...
  3. G

    Kwanini migodi ya mkoa wa Mara watu wanauliwa sana kuzidi migodi ya mikoa mingine ?

    Imekuwa kawaida sana kusikia vijana wanauliwa na polisi kwenye migodi ya mkoa wa Mara wilaya ya Tarime. Kwanini hatusikii haya migodi ya Geita, Chunya, Kahama, n.k.
  4. A

    Kamachumu, Muleba: Msafara wa M/Kiti wa UVCCM Kagera waua watoto wawili

    MSAFARA WA FARIS WAUWA WATOTO WAWILI KAMACHUMU MULEBA. Msafara wa Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Biruan umewagonga na kuwauwa watoto wawili huku wengine wakijeruhiwa. Ajali hiyo imetokea Kata Kamachumu wakati kiongozi huyo akitoka kwenye ziara yake katika wilaya ya Muleba. Watoto...
  5. Kisa cha Afisa mikopo na laana alopewa na mteja

    Anachotaka Christine ni kupanda cheo hapa benki toka kuwa afisa mikopo mpaka kuwa meneja wa tawi. Anaamini akikaa hapo, wazazi matajiri wa 'boyfriend' wake watamheshimu na kumwona anafaa kuolewa na mtoto wao. Lakini sasa shida ni moja, mfanyakazi mwenzake anayeitwa Stu. Bwana huyu naye...
  6. FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

    Ihefu sc vs Simba sc saa 10:00 jioni CCM Liti stadium NBC premier league Leo wanasingida watakuwa wanashudia mtanange mkali baina ya mwenyeji ihefu vs simba sc, wakiendelea kusaka pointi muhimu za kuamua nani bingwa msimu huu. Tukutane hapa kwa update. KIKOSI CHA SIMBA KIKOSI CHA IHEFU
  7. Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

    Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu. Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu? Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini...
  8. R

    Mvua na Jua vya laana

    Kumekuwa na ukame mkubwa ambapo mvua zilikosa kabisa kunyesha. Sasa imeanza kunyesha. Watu wamepanda mahindi na mazao mengine. Kinachoonekana ni kuwa zinanyesha bila kukatika na hivyo kila mmea kuoza. Tunaomba mvua za kiasi si za laana Likija jua kila kitu kinakauka. Jua la laana! Nchi gani...
  9. Laana ni jambo la ukweli au danganya Toto?

    Kumekuwa na tabia ya watu kutoa laana kwa watoto wao na hata kwa watu baki, je ni kweli laana inaweza kumkamata mtu aliekosea au ni imani tu?
  10. Mradi wa Bandari ya Bagamoyo uliingia laana baada ya wakazi wake kudhulumiwa na EPZ

    Bagamoyo ni Bagamoyo tu na siyo Sehemu nyingine yoyote. Wazee wa Bagamoyo waliwahi kumzuia Magufuli kupitisha barabara kuu inayoelekea Tanga kutokea Dar isipite mjini kwa sababu barabara hiyo ilitakiwa kwanza, kubomolewa kwa nguzo moja hivi ya kimakumbusho ambayo pia hutumika kwa mambo ya...
  11. U

    Kuteua na kutengua kuwe na muongozo, yasiwe ni matakwa ya kiongozi tu

    Habari wadau. Nimekuwa nikitafakari utendaji wa rais wa tz .kila siku ni kufanya uteuzi kwa masirahi ya nani??Unakuta mtu amekaa kituo cha kazi miezi 4 Alafu anahamishwa kwenda kituo kingine je atakuwa amefanya kazi gani ndani ya miezi 4? Watanzania tubadilike hii nchii tunaiharibu wenyewe kwa...
  12. P

    Maisha tunayoishi Watanzania na Waafrika ni aibu tupu

    Maisha ambayo raia wa Africa na Tanzania kwa ujumla tunaishi ni aibu, huzuni na mateso matupu. Maji shida, umeme shida, ajira hakuna, huduma za afya mbovu Yani Kila kitu tatizo. Waafrika na Tanzania kwa ujumla tunaishi katika umaskini wa kunuka ndani ya utajiri wa kutupwa. Hakika hii ni laaana...
  13. PreGE2025 Wapinzani wa nchi hii hawajui wanachotaka. Kila rais anaeingia madarakani hawamtaki

    Wana laana isiyoisha au tuseme hawajui wanachotaka Mkapa walimwita dikteta na kumtukana Kila aina ya matusi, amemaliza salama amelala! Kikwete alipoingia alikula matusi Kila mahali yaani huyu ndio rais mwenye roho ngumu kwa sababu huyu walimuonea kwa kuwa alikuwa anakaa kimya! Matusi...
  14. Laana ya viapo inavyowatafuna

    Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara. Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana. Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari...
  15. Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana

    Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka...
  16. Ukitaka kujua ngozi nyeusi ni laana, mfuatilie refarii anayechezesha Taifa stars na Moroco

    Kidogo nivunje tv yangu ili nimtandike mangumi refa anayechezesha Anatoa kadi zusizostahili, anaacha makosa ya warabu kwa kuogopa rangi yao Anaruhusu goli la kuotea kwa kuogopa rangi Ngozi nyeusi ni laana kuu duniani Tungekuwa tunachezeshwa na refa ngozi nyeupe, isingekuwa hivi kama...
  17. M

    Chelsea wasitafute mchawi: Wanachokutana nacho ni laana ya kumdhurumu Abramovich timu yake!

    Timu Iko hoi taaban! Suluhisho pekee ni kumrudishia timu yake. Vinginevyo endeleeni kula jeuri yenu!
  18. S

    Mliokuwa mnasema bacteria zilizowapata jeshi la israel ni laana ya Allah. Je, haya hapa ni laana ya nani?

    Concern grows about infectious diseases threat in Gaza Yolande Knell Middle East correspondent, in Jerusalem ReutersCopyright: Reuters Displaced children sheltering in a tent in Rafah, close to the border with EgyptImage caption: Displaced children sheltering in a tent in Rafah, close to the...
  19. B

    Laana Gaza: Weah tayari, njiani Natenyahu, Biden na wengine waja

    1. Binadamu mwenye kauli anaweza vipi kuyanyamazia ya Gaza? 2. Kwamba watoto na wanawake wale, kwa hatia ipi Yarabi? 3. Natenyahu yuko njia moja: 4. Joe Biden ni Suala la muda tu. 5. Kwa hakika ikawakumbe wote, hata walioamua kuufyata makwetu Kenya na Uganda huku.
  20. Tunapoanza mapumziko ya Christmas na Mwaka Mpya tujihadhari na laana

    Kwanza nataka kuongea kidogo kuhusu Putin. Putin alikuwa na Press Conference jana. Sikuisikiza yote,lakini pale mwanzo alisema Wamarekani hawapendi compromise. Katika kilar kitu wanaleta ubabe tu. Kwa sababu wapiga kura wao wanataka kuiona serikali yao inaleta ubabe. MPAKA JAMBO BAYA LIWAFIKE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…