Huyu kijana anaitwa Joseph Katooki, mkazi wa Kyela Mbeya. Amekamatwa na kupewa kesi ya ugaidi. Amenyimwa dhamana na anashikiliwa katika gereza la Kyela. Nimesikiliza hii clip yake sijaona kosa lolote la jinai. Yani achilia mbali ugaidi, hata kosa la kutumia lugha mbaya sijaliona. Labda Mawakili...