kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini kwenda kuhiji Maka au kwingineko nje ya Afrika kana kwamba hatuna makaburi na milima?

    Nchi ya Saudia inaingiza mabilioni ya dola tokana na hija ambayo, kimsingi, ni kwenda kuzuru makaburi ya waarabu na kutupatupa mawe na kukimbia hovyo kama vichaa kwenye vilima vyao. Je Afrika hatuna haya mambo hadi tupoteze fedha na muda mwingi mbali na kuwatajirisha watu tena wanaotubagua...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali inaruhusu watoto waendelee kwenda shule wakati wa likizo kumbe ina ajenda yake

    Ndio maana Serikali inayoongozwa na CCM hawasemi chochote kuhusu malalamiko ya wazazi na wanafunzi kuhusu utaratibu huu mbovu wa kuendelea kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo, ili wafanikishe ajenda zao. Huko Simiyu watoto wa shule za sekondari ambao hawakufunga wamekusanywa wote na sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Umasikini ni Mbaya sana, na unatumiwa na CCM, fikiria watu wanasombwa na Malori kwenda kuwaona watu wanao panda V8

    Ukiachana na mambo ya ujinga, ila pia Umasikini wa Wabongo ni nguzo muhimu sana ya CCM hasa huko kanda ya ziwa.Saaa changabya ujinga na Umasikini ni balaaa au Changanganya kukosa elimu Dunia na Umasikini, huo muunganiko ni balaa. Katika moja ya maeneo ambayo elimu hata ya Uraia ni zero basi ni...
  4. JamiiForums Tanzania Tusijifanye hatujui kuwa hata Tanzania sasa imejumuishwa katika nchi zaidi ya 30 ambazo Wananchi wake hawatakiwi kwenda Marekani

    Nendeni huko katika Mtandao wa TOUR AND TRAVEL WORLD mkajisomee wenyewe. Halafu inasemekana kutokana na yanayoendelea baina aliyeko ndani na mshika mpini ni kwamba Rais Trump anaweza kumzuia hata mshika mpini nae asisafiri kwenda Marekani.
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kadri siku zinavyozidi kwenda, Samia anazidi kupoteza mvuto kwa watu

    Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu. Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nina swali kwa Wanaomaliza form four na kuchaguliwa au kwenda vyuo vya kati

    Je, hawa wanafunzi wanaomaliza form four na kwenda vyuo vya kati, huwa wako entitled kupata mikopo kama vyuo vya elimu ya juu (HESLB)? Au ni mzazi anaendelea kupambana kama sekondari.
  7. JamiiForums Tanzania Kuhama chuo binafsi kwenda cha serikali

    Habari wakuu, naomba msaada Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya diploma in Clinical Dentistry nikiendelea na masomo yangu katika Kigamboni City College of Health and Allied Sciences. Ni mnufaika wa mkopo kutoka HESLB. Kutokana na gharama kuwa nyingi chuo hiki Cha private Nina...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Shule zimefungwa lakini watoto wa darasa la pili wameambiwa waendelee kwenda shule kununua visheti na sambusa kwa walimu

    Wizara ya elimu ni kwamba hamjui faida za likizo? Waziri wa elimu mbona hatukuoni umekaa wapi ebu simama tukuone! Viongozi inamaana hamuoni watoto wanavyofanywa huko mashuleni? Ratiba ya masomo mlipanga wenyewe, kwamba mtoto atasoma wiki kadha na likizo kadhaa! Inamaana likizo iko ndani ya...
  9. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TO wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Rukwa anatoza mafuta lita 120 kwa ambulance kwenda Mbeya Zonal Hospital

    TO na uongozi wa hospitali hiyo wanatoza lita 120 na chakula na posho kwa kila mgonjwa kwa mgonjwa kutumia ambulance kwenda mbeya na badae kuwasilisha receipt za mafuta na kuchukua fedha hizo serikalini.
  10. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kupigana vita Iran niwasaidie kijeshi.

    Mimi sio mwanajeshi ila nataka kuwasaidia Iran dhidi ya Israel...! Nataka kufa nikiwasaidia watoto wazee na wanawake wajawazito.. nitumie njia gani kisheria kutambulika kutoa msaada huu wa kijeshi..??
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi 2 watu 7500, kuna haja ya kujisumbua kwenda kufanya interview au niendelee kumbonji tu?

    Leo kuna usaili wa nafasi ya admission officer ii utumishi,nafasi ni 2 watu tulioitwa ni 7500. Hapa nipo nawaza,kama tra iliyohitaji watu wengi nilikosa,hii ya kuhitaji watu wawili ntatoboa kweli? Kuna haja ya kujisumbua kwenda huko kwenye written kweli au niendelee zangu kupiga mbonji tu?
  12. JamiiForums Tanzania Kuna majibu yoyote kutoka kwa mtaalamu wa fedha wa Yanga ya kwenda kulihakiki deni lao pale TFF ?

    Barua ya jana ya TFF ilijieleza vizuri kuwa Yanga wapeleke mtaalamu leo saa Nne ,kuna majibu yoyote ? Au ni Agenda ya kututoa kwenye mijadala ya Msingi.
  13. JamiiForums Tanzania Kama mtu akifa anaenda mbinguni kwanini watu wanaogopa kifo, kwanini wanalia, je kwenda mbinguni ni jambo baya sana ?

    Naomba niwape elimu, nini maana ya kifo? Kifo maana yake ni kutokuwepo kwa maisha kwa mtu na tukisema kuzaliwa maana yake ni kuwepo kwa maisha kwa mtu, hivyo kwasababu hakuwepo akazaliwa yani akapata maisha akifa inamaana ameyapoteza maisha hayo sasa ni vipi mtu huyo aende mbinguni? Kumekuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili?

    Wakuu, kwa kada ya Maendeleo ya jamii (grade II) waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili? Maana Hadi Sasa hawajaweka na vituo vya oral tuliambiwa ni tofauti na vya written
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumbukizi: Kabla ya Kwenda Kupiga Kura, Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea Hatima ya Matokeo ya Kura yako,..Tafakari, Chukua Hatua!

    Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea jinsi wanavyoweza kubadili matoke ya Kura yako uliyopiga bila kujali matokeo halisi ya kura. Nape Nnaye amewahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM. Wakati akitoa kauli hii alikuwa Waziri wa Mawasiliano.
  16. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia hajawahi kukanusha Maneno yake ya Oktoba 17 2020 Pale Chunya,Ni Mwendawazimu Pekee ndiye atakayepoteza muda wake kwenda kupiga kura

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Akiwa Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan alinikuliwa akitamka maneno ya Kejeli,dhihaka na dharau Kwa wapiga kura wa Chunya Mkoa wa Mbeya ! "Msipigie kura chama kingine,kwasababu hata mkipiga kura kwingine CCM inaenda kuunda serikali,CCM watashinda...
  17. JamiiForums Tanzania Msomi huyu ameduwaa kusikia kwamba huoni haja ya kwenda Kanisani kesho Jumapili

    I’m really perplexed—how can any rational soul, endowed with both reason and revelation, deliberately choose domestic repose over the divine encounter that tomorrow’s sacred Sunday demands? What curious apathy, what spiritual amnesia, compels one to ignore the sacred rhythm of worship appointed...
  18. JamiiForums Tanzania Angalizo Maalumu kutoka kwa Kigogo kwenda CCM

    ANGALIZO MAHSUSI: Kinachoendelea huko instagram na Facebook na TikTok kama wahusika watadharau na kuchukulia poa basi hawako sawa kiakili!.. Serikali hii ilikuwa so dear to wananchi na wakiipenda sana toka siku ya kwanza!. Swali ni kuwa imekuwaje imefika hapa? Nini kimetokea tena kwa muda...
  19. JamiiForums Tanzania Kama dhalimu muuaji ataomba toba na kwenda peponi, alieuliwa kwa dhulma atalipwa nini?

    Kwa mfano, Mtu mmoja tu mwenye mamlaka akiamua amuue mtu fulani kwakua anamkera, kisha muuaji huyo akakoswa kuingia katika mikono ya sheria ya hapa duniani, na akaamua kuomba toba (kwa mujibu wa dini yake) kisha akafia kwenye toba. Je, huyu aliedhulumiwa nae atalipwa vipi? Au ndo basi...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtanzania amewahi kwenda kutafuta maisha nchini India akatoboa?

    Tulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha. Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya hapa kwetu. Hivi kuna mtanzania aliwahi kwenda kujitafuta India akatoboa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…