kuzima internet

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    Iran imeua waandamanaji 12,000 baada ya kuzima Internet nchini humo

    Utawala wa Iran chini ya utawala wa jiislamu umewaua waandamaji zaidi ya 12,000 baada tu ya kuzima mitandao nchi nzima Hii inaonyesha ni jinsi gani utawala huo usivyo na huruma jwa watu wake wenyewe!! Na umeonyesha ni jinsi gani utawala huo ni wa kikatili.
  2. McLaren

    Uganda yatangaza kuzima Intaneti kuanzia leo Januari 13 ili kupisha Uchaguzi Mkuu

    Serikali ya Uganda, kupitia Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC), imetangaza kusimamisha kwa muda huduma za intaneti kwa umma na usajili wa laini mpya za simu nchini humo, ili kuzuia usambazawaji wa taarifa potofu, vitendo vinayoweza kuchochea vurugu au kuhatarisha usalama wa taifa. Kwa mujibu...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    Serikali ya Iran Kuzima Internet:

    Huyu aliyezima internet Tanzania ndiyo amemshauri Ayatollah kuzima internet? Mwisho wa utawala wa kidhalimu na kipumbavu umekaribia.
  4. R

    PostGE2025 Waziri Simbachawene: Hadi sasa hakuna tishio TCRA kuzima internet

    Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema uamuzi wa kuzima mtandao wa internet ni chaguo la mwisho kabisa pale ambapo hali ya kiusalama inakwa mbaya ambapo amesema hadi kufikia sasa hali ya Tanzania bado ipo shwari na hakuna tishio la kuwafanya TCRA wazime internet kesho December...
  5. Common Folk

    Kosa la 1 lilikuwa kuzima Internet, kosa la 2 ni kufungia watu wasitoke. Hayo ma-2 yanaleta "UNREST" kwa nature ya binadamu na inafanya damu zichemke

    Mimi mwenyewe jana sikujua kama nitatoka, ila nilitoka. Hiyo ni baada ya kuzima internet ambayo ilikuwa inanisaidia kufuatilia mambo live online. Watu wakikosa taarifa ya nini kinachoendelea watafanya kila namna wafike eneo la tukio wakajionee live. Hiyo ndo inafanya watu waunge tela la...
  6. 100 others

    Mitandao ya simu itakayofuata maelekezo kutoka Serikalini kufunga au kudhoofisha internet ifunguliwe mashtaka

    Baada ya nchi kukombolewa, mitandao ya simu itakayofunga internet kuelekea uchaguzi inapaswa kufunguliwa mashtaka. Kwanini unawazimia watu milioni 70 mawasiliano, kisa watu wachache? kisa siasa? kisa interests za wachache? Intaneti ni uti wa mgongo wa biashara za kimataifa, watu wanategemea...
  7. Castle_Lite

    GE2025 Umejiandaaje Tarehe 29 Oktoba?

    Umejiandaaje na siku ya Uchaguzi Tar 29 Oct. Maana Hakuna mtandao wa simu utafanya kazi. Utasema unatumia VPN. Ila vpn bila data ni bure. Kwahiyo watazima internet. Watafinya calls na sms. Kwahiyo call drops zitakuwa za kutosha. Kwahiyo No internet. Call drops za kutosha . Tigopesa, Mpesa na...
  8. snipa

    Baada ya Iran kuzima internet, Israel wanazidi kugeuzwa kuwa Gaza, ssbabu hii hapa…

    Kwanza tuelewe kitu kimoja kuhusu PrSM (Precision strike Missile) Israel aliua viongozi wa juu wa kijeshi wa iran na hii sio kitu cha ajabu mana ni mpango wa US, kwanini nasema ni mpango wa US? US huwa anaitisha makubaliano baina ya pande mbili, kama mna mzozo na pia upande ulio pamoja na US...
  9. Meneja Wa Makampuni

    Kukosekana kwa intaneti: Kebo moja ya intaneti ilikatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban, je ni hujuma?

    Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo. Wamesema wanajitahidi kurekebisha tatizo hilo. Huduma hiyo ilikumbwa na hitilafu katika nyaya za chini ya bahari...
Back
Top Bottom