kuzalisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ataka Tanzania ianze kuzalisha umeme wa Uranium, asema rasilimali hiyo itumike kuinufaisha nchi kabla ya kuuzwa nje

    Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo mwezi wa saba nchi inaenda kuzalisha mamilionea

    Moja kwa moja kwenye mada. Kama inavyojulikana pension ya mbunge mmoja ni zaidi ya milioni 250 na huwa wanapewa kwa mkupuo hawana kikokotoo wala kikakataa. Hivyo kama kila mbunge akipokea kitita chake mapema mwezi Julai mwaka 2025 baada ya kuvunjwa bunge, ina maana hapo kuna mamilionea 400+...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Yametimia, bwawa la Mwalimu Nyerere lakamilika, sasa kuanza kuzalisha megawatt 2,115

    YAMETIMIA, BWAWA LA MWALIMU NYERERE LAKAMILIKA, SASA KUANZA KUZALISHA MEGAWATT 2,115 Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JHPP), ambao umegharimu Shilingi Trilioni 6.5, leo umefikia hatua muhimu baada ya mitambo yote tisa kuanza kuzalisha umeme wenye uwezo wa megawati 2,115. Mradi huu utaleta...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Tuna vijana waliomaliza kidato cha sita ama digrii ya elimu fulani, lakini hawezi kujipikia chakula chake

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema ni kawaida kuona mtoto amemaliza kidato cha sita ama digrii ya elimu fulani, lakini hawezi kajipikia chakula chake mwenyewe. Amesema Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi sStadi (Veta) ina uwezo na jukumu la kubadilisha Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania inauwezo wa kuzalisha megawatts 100,000 na zaidi za umeme

    Tanzania inauwezo wa kuzalisha umeme wa megawatts zaidi ya 100,000 hii inatokana na vyanzo vya umeme vilivyopo kama vifuatavyo Uwepo wa gesi asilia Uwepo wa makaa ya mate Uwepo wa upepo singida na same Uwepo wa jua (solar power) Hivyo vyanzo vinne vinauwezo wa kuzalisha megawatts zaidi ya laki...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Dr. Samia, Tanzania Inaweza Kuzalisha Petroli, Dizeli, Jet Fuel, Methanol, Amonia na Urea Kutoka Kwenye Gesi – Tutauza Haraka Sana

    Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Na Elia Wilinasi Sikanyika Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima, taadhima, na unyenyekevu mkubwa, ninakutakia afya njema, hekima, na mafanikio katika kuiongoza nchi yetu...
  7. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Kuzalisha Umeme kwa Taka (Waste-to-Energy Plant).

    Kiwanda cha Kuzalisha Umeme kwa Taka (Waste-to-Energy Plant) ni mtambo au mfumo wa viwanda unaotumia taka ngumu (kama vile plastiki, karatasi, mabaki ya chakula, na taka nyingine zisizoweza kutumika tena) kuzalisha umeme, joto, au nishati nyingine kwa njia ya mwako (incineration), gasification...
  8. JamiiForums Tanzania Nadharia yangu namba saba: Mwanadamu aliumbwa duniani kwa ajili ya kuzalisha hewa ya carbondioxide

    Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema " You can know the artist by studying his art" Unaweza kumjua msanii kwa kuisoma sanaa yake... Babu zetu walimuabudu na kumsujudu Mungu baada ya ku study kazi ya mikono yake. Walipotazama, jua, mwezi, nyota etc , walipo jitazama wao wenyewe...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Neema na Baraka kubwa sana kwa Taifa Kuongozwa na Mtu kwenye kibali kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Kwa sababu Taifa na Nchi inakuwa na baraka na kupata Neema kwa Mambo mbalimbali na kulifanya Taifa kuwa lenye amani, utulivu,umoja na mshikamano wakati wote. Mungu akimpa...
  10. JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani

    Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025 kama ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM ilivyoelekeza. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali imeweka mazingira mazuri kuiwezesha sekta ya misitu kuzalisha ajira kwani katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 Serikali imevijengea uwezo

    Serikali imeweka mazingira mazuri kuiwezesha sekta ya misitu kuzalisha ajira kwani katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 Serikali imevijengea uwezo wa uzalishaji na kuongeza thamani viwanda 53 vya kuchakata mazao ya nyuki. Aidha mashamba ya Silayo hekta 69,756 yameanzishwa yaliyopo Mpepo...
  12. JamiiForums Tanzania Watanganyika,Huwa tunafanya kazi za kuzalisha na kulipa Kodi muda upi!

    Nimeuliza TU!
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuzalisha umeme wa upepo na umeme wa jua kwa kutumia Treni ikiwa kwenye mwendo wa kasi

    Jinsi ya Kuzalisha Umeme wa Upepo na Umeme wa Jua kwa Kutumia Treni Ikiwa Kwenye Mwendo wa Kasi Kutumia treni za mwendo wa kasi kuzalisha umeme wa upepo na umeme wa jua ni wazo la kiubunifu linalolenga kukuza matumizi ya nishati safi na endelevu. Treni hizi, kama vile zile za SGR, zinaweza...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel Iajiandaa kushambulia mitambo ya kuzalisha silaha za nyuklia ya Iran, ni fursa muhimu kufuatia kuangushwa utawala wa Asad wa Syria

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa maandalizi yanaendelea kukamilisha malengo makuu Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Usiku mwema inshallah IAF continues preparations for potential strikes in Iran IDF sees chance for strikes on Iran nuke sites after knocking out Syria air defenses...
  15. JamiiForums Tanzania Nissan wafanya kufuru, waunda injini yenye uzito wa kilo 40, ina piston 3, zenye kuzalisha horsepower 400

    Nissan creates a small engine weighing 40kg. It's a 3 cylinder block that produces 400 horsepower.
  16. JamiiForums Tanzania "Kama huna D mbili huwezi kuelewa" ni msemo unaowapa amani vilaza, tuukemee utaendelea kuzalisha wajinga wengi

    Miaka ya 2000- 2010 vijana wazito darasani (slow learners) kazi yao kubwa ilikuwa kuzifukuza D mbili tu ili waingie kwenye majeshi yetu. Yes, it was simple, mchawi D mbili tu. Sasa hivi karibuni Kuna kilaza kaanzisha huu msemo" Kama huna D mbili huwezi kuelewa" Vitoto vya sekondari watadhani D...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kuzalisha umeme wa ziada wakati huu, tuzime mashine za ziada tuhifadhi maji ukame unakuja

    Viongozi wetu wanatuambia sasa mashine 3 kati ya 9 za bwawa la umeme la Nyerere zinazalisha umeme na inavyoonekana mashine 1 hadi 2 zinazalisha umeme wa ziada ambapo ni 235MW kila moja. Taarifa za TMA zinaonesha kutakuwa na ukame kuelekea mwisho wa mwaka hadi mwanzo wa 2025. TANESCO ili...
  18. JamiiForums Tanzania Kitabu; Usimamizi wa fedha binafsi; mwongozo wa kupata, kutunza na kuzalisha fedha ili kuwa huru

    Rafiki yangu mpendwa, Umewahi kujiuliza kwa nini watu wawili, wanaoweza kuwa wanafanya kazi au biashara zinazofanana na kuingiza kipato sawa, mmoja anaweza kuwa vizuri kifedha na mwingine vibaya? Au umewahi kujiuliza kwa nini watu ambao kazi zao za kila siku wanahusika na simamizi wa fedha...
  19. JamiiForums Tanzania Kampuni ya kuzalisha vioo Tanzania yawasha mitambo, itatumia malighafi za Nchini kwa 80%

    Kampuni ya KEDA (T) Ceramics Co. Ltd imefanya uzinduzi wa awali wa kuwasha mitambo ya kiwanda hicho kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, leo Agosti 19, 2024. Uzinduzi huo umefanywa na baadhi ya viongozi wa Kampuni pamoja wa Wafanyakazi wao wakiongozwa na Mkurugenzi wa Ceramics Co. Ltd, Wayne Zhong...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Kampuni ya Tembo Nickel Yafanikiwa Kusafisha na Kuzalisha Madini ya Nikeli, Shaba na Kobati Kwenye Kiwanda Kilichopo Kabanga, Ngara.

    WAZIRI MAVUNDE: TEMBO NICKEL YAFANIKIWA KUSAFISHA NA KUZALISHA MADINI YA NIKELI, SHABA NA KOBATI KWENYE KIWANDA KILICHOPO KABANGA, NGARA, HII NI HABARI NJEMA Kampuni ya Tembo Nickel ambayo Serikali ya Tanzani ni mbia, imepata mafanikio ya kihistoria - kwa mara ya kwanza! Tembo Nickel kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…