kuwepo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    Jaji Mkuu wa Tanzania George Masaju apendekeza kuwepo kwa mahakama za rufaa katika mikoa yote ya Tanzania

    Jaji Mkuu ameyasema hayo leo mara baada ya kula kiapo. Amepend2keza kuwepo kwa Mahakama ya Rufaa kwa kuanzia na Mikoa ya DSM, Mbeya na Arusha ili kurahisisha upatikanaji wa haki kwa wakati kuliko ilivyo sasa hadi majaji kutoka Dodoma watembelee jambo ambalo linachelewesha haki za wananchi...
  2. W

    Trump anaweza kutoa mkeka wa Nchi 36 zitakazopigwa marufuku kuingia Marekani, Tanzania yadaiwa kuwepo

    Trump Kufikiria Kuongeza Nchi 36 Katika Orodha ya Marufuku ya Kusafiri, Ikiwemo Nchi za Afrika na Karibiani – Ripoti Utawala wa Donald Trump unafikiria kuweka vikwazo vya usafiri kwa nchi nyingine 36, kulingana na waraka uliosainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ambao...
  3. Kanuni 31 takatifu (bro codes)

    1. Usimdhuru mwanamke kwa njia yoyote ile – hasa kingono. 2. Mwanaume halazimiki kupika vyakula vitamu kila mara, lakini siyo kosa kujifunza. 3. Ni vyema wanaume wawili kutokuwa uchi pamoja – heshimu mipaka ya mwili. 4. Mwanaume wa kweli huogelea kwa maji ya baridi; anaulinda uzalendo wake...
  4. C

    Kama bodi ya ligi wanaficha jina la kiingozi aliyepiga simu kuzuia Simba wasifunguliwe geti,basi hawafai kuwepo kazini

    Kama kuna ujinga wa kiwango cha juu,ni pale unapolazimika kubeba madhambi ya mtu mmoja ambaye ametumia nafasi yake kufanya uhuni kwenye soka ambalo watu wamewekeza mabilioni ya kutosha. Unaacha kumtaja ili ulinde hadhi yako wakati yeye yupo na anaendelea kuwasapoti wanaosema hatuchezi!Huu ni...
  5. Vodacom imetimiza miaka 25 siku ya leo tarehe 9 mwezi 6 kuwepo kwake.

    Kongore kwa vodacom kutimiza miaka 25 tokea kuwepo kwenu kwa mawasiliano yenu.
  6. Kwa haya yanayoendelea kuna umuhimu wa kuwepo Baraza la Dini mbalimbali Tanzania (Inter-Religious Council of Tanzania)?

    Habari wakuu Hili baraza liliundwa baada ya mashauriano kati ya taasisi za kidini kama BAKWATA, TEC, CCT, CPCT, pamoja na wawakilishi wa dini ya Hindu, Baha’i, na Budha. Malengo ya IRCPT ni pamoja na - Kuwezesha viongozi wa dini kushiriki katika utatuzi wa migogoro na kuzuia migogoro kabla...
  7. Je baada ya kuwepo tume huru CHADEMA watakuwa na pendekezo jengine la kupigania?

    No Reform No Election ni dhamira ya fujo na Machafuko,nauliza tu ikiwa CCM ikakubali kuanzishwa tume huru je,CHADEMA itakuwa la lengine la kunadi sera zake?? Kuna nadharia tunaaminishwa lakini ukweli halisi hauendani na kinachozungumzwa. UZITAYAri
  8. W

    Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha lakini mimi sijui mission yangu, je nipo alone ?

    Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k. Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
  9. Hivi haiwezekani kuuwa au kupoteza kabisa baadhi ya maneno yasiendelee kuwepo tena kwenye matumizi?.

    Kumekuwa na tabia inayoendelea kukomaa kwenye jamii na haswa kwa Vijana ambapo huona ni ujanja kutumia maneno ambayo tulishakubaliana kama jamii kuwa ni matusi.Haswa matumizi ya kutaja maumbile ya jinsia ke kiasi kwamba sasa hata Watoto wamejikuta wakizoeshwa kuyasikia kama maneno ya kawaida...
  10. CCM ilipofikia ipo tayari kufanya lolote ili Tu iendelee kuwepo madarakani

    Nadhani ndugu zangu Wana jamii forum mnajionea kwa Haya yanayoendelea..mwanzoni ccm walijificha kwenye kichaka Cha 'amani" amani' amani" waliiminya haki huku wakiimba wimbo wa amani na yeyote yule ambae alionekana kuidai haki moja kwa moja alionekana ni mvujifu wa amani. Sasa gia hii kipindi...
  11. Kuwepo kwa Derby ya Simba na Yanga

    Miongoni mwa Dery yenye mvuto africa The Watani wa Jadi Derby hakukutokea Bahati mbaya, kama zilivyo Derby nyingine duniani Derby huwa na visababishi. Kwamfano El clasico Hii derby imesababishwa na kukuzwa na , moja Siasa, Madrid na Catalonia , uwepo napia Uwezo wa Christin na Messi. , vile...
  12. Wachina wanajivunia kuwepo duniani miaka 5000 na wanatarajia miaka 5000 tena. Sisi tuna haraka gani?

    Mwanadiplomasia wa Kichina ameeleza hivi karibuni kuwa China haigopi kuangushwa kiuchumi na imeshajifunza kuwa wavumilivu miaka 5000 iliyopita na inataraji kuishi miaka 5000 ijayo....!!YAANI 5000 TENA!! Hilo ni somo kubwa la kidiplomasia ambalo linatakiwa kuingizwa kwenye mitaala yetu...
  13. PreGE2025 Tundu Lissu: Hatutasusia Uchaguzi, tutazuia uchaguzi kwa nguvu ya Umma, sio bila mabadiliko hatutashiriki uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  14. GSM tutaendelea kuwepo na tutadhamini teams nyingi zaidi ili ligi iwe nzuri: Hawa wazee wa wapi hawa?

    Toka tumeanza kudhamini teams nyingi ligi imechangamka sana. Tunaona ubora ulivyo kwetu. Sasa ninyi hamtaki why?
  15. Hakuna umuhimu wa kuwepo kwa A-LEVEL na vyuo vya kati kwa wakati mmoja .

    Serikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati Ambapo moja kwa moja student anaenda kupata ujuzi kuliko kwenda advance kusoma notice na practical za mchongo za kupasua vyura siku 10...
  16. Imegundulika kuwepo na miundo chini ya piramidi ya giza inayo cover zaidi ya kilometa 2. Aisee dunia haishiwi mysteries

    Kwa kutumia Rada Yenye Nguvu Inayopenya Kwenye Ardhi, Wanasayansi Wamechora Muundo Zaidi ya Mara Mbili ya Urefu wa Jengo refu Zaidi Duniani Chini ya Piramidi ya Khafre kwenye eneo la pyramid ya giza. Huu Uchunguzi mpya wa rada unaonyesha mtandao mpana wa miundo mikubwa chini ya Piramidi ya Pili...
  17. Nitashangaa kuona Kasongo yeye na kundi lake pale TPLB wataendelea kuwepo.

    Kwa hili walilolifanya bodi ya ligi wakiongozwa na CEO wao Kasongo, wana kila sababu ya kuachia nafasi zao kwa maslahi mapana ya mpira wetu,, kwa kweli wamedhihirisha kuwa bodi yao yote kwa ujumla ni dhaifu na haina uwezo wa kusimamia mpira wetu. Ni wakati sasa wa kuachia madaraka wawapishe watu...
  18. Dunia ya kibabe; Suala Marekani kukaa na Russia kutafuta utatuzi wa mgogoro wa rus - ukraine, bila Ukraine kuwepo hili limekaaje?

    Toka zelewinsky akatae kuingia mkataba wa hovyo na Marekani wa kuwakabidhi maeneo yenye madini ya earth mineral, Marekani ameigeuzia kibao Ukraine na kudai kuwa Ukraine ndiyo chanzo cha mtafaruku na vita vinavyoendelea, infact dunia iliona jinsi Russia alivyokuwa anandaa majeshi mpaka anaanza...
  19. A

    Wazo kwa TTCL: Kuwepo kampuni ndogo nyingi ndani ya TTCL

    Direct to point Kutokana na changamoto ya mashirika ya umma kusua sua kutoa huduma kwa wananchi na kuwepo kwa ufanisi mdogo wa mashirika haya. Lakini mbali ya hapo haya mashirika yameendelea kula ruzukunza seikali miongo na miongo bila ya kuzaa matunda mfano posta, ttcl, tanesco, tazara, air...
  20. D

    Hivi kwa sera za trump masuala ya green card/visa lottery yataendelea kuwepo?

    Hivi kutokana na haya yanayoendelea Marekani bado program ya Green card lottery itaendelea?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…