Endeleeni kupumzika kwa amani Watanganyika wenzetu mliopoteza maisha yenu 29 Oct, mkiwa na lengo la kulipigania taifa hili.
Mauaji ya Kimbari kule Rwanda mpaka leo yanakumbukwa.
Mauaji ya halaiki kwa njaa kule Ukraine (Holodomor) kutoka kwa Urusi mpaka leo bado yanakumbukwa, na bado baadhi ya...