kuu

Kullu–Manali Airport (IATA: KUU, ICAO: VIBR) (informally also called Bhuntar Airport) is an airport located in Bhuntar, Kullu in the Indian state of Himachal Pradesh. The airport is located 11 km from Kullu and 52 km from Manali.
Bhuntar is considered a challenging airport for pilots because of its single runway set in a deep valley whose peaks rise several thousand feet higher than the runway. Also, the airport is located on the banks of the river Beas, and in 1995, its flash floods posed a threat to the runway. The new air terminal at Bhuntar was inaugurated in 2008, and the airport apron enlarged to park two aircraft at a time. Kingfisher Airlines ceased operations in September 2012 while Air India Regional resumed its operations to Kullu in May 2013. Himalayan Bulls in collaboration with Deccan Charters has commenced Kullu-Chandigarh-Kullu flights thrice a day from 2 April 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Hata kama Magufuli hakuuawa, bado yapo matatizo ya watu kuipora Benki Kuu

    Watu kwenda Benki Kuu kuchota hela kama Iddi Amin, hii haikubaliki. Ndio maana Kanisa Katoliki limeuliza kama hao viongozi wa Serikali wana haki ya kuingia Kanisani na kuongea. Hakuna uwiano katika ya sifa wanazorundikiwa watu na mambo ya aibu wanayofanya. Sasa watu wengi wanasemwa vibaya...
  2. GE2025 Dodoma: Mahakama Kuu yaipa Serikali Siku Tano Kujibu Kesi ya ACT Wazalendo Dhidi ya INEC

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
  3. Mahakamani kuu itisheni kesi ya Lissu,LASIVYO nanyi usiku huu wa saa KUMI waachemi wake zenu mkalale na walioukumiwa kunyongwa walau kwa lisaa limoja.

    Mahakama kuu itisheni kesi ya Lissu la sivyo nanyi waacheni wake zenu mkalale na walioukumiwa kunyongwa ya walau kwa lisaa limoja Ili. Mwone uchungu
  4. CHADEMA yaitisha Baraza la Kidigitali Agosti 27

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitisha Baraza la Kidigitali linalotarajiwa kuketi saa 4:30 asubuhi Agosti 27, 2025. Taarifa iliyotolewa na CHADEMA leo Agosti 25 imeeleza:
  5. Je mamlaka kuu za dunia zinatuficha kuhusu uwepo wa aliens?

  6. Jaji Mkuu Masaju: Kitu mnachoweza kumaliza kwa siku 2 mnasema mpaka miezi 4. Kauli ya mbiu ya haki sawa kwa wote kwa wakati ifuteni

    Wakuu, Akizungumza jana Agosti 18 kwenye katika ufunguzi wa kikao kazi cha taasisi, zinazounda utatu Jaji Mkuu George Masaju ametaka mahakama kuwa na utaratibu wa kumaliza kesi zilizoko mahakamani mapema iwezekanavyo na kuacha kuahirisha ovyo bila sababu za msingi "Haki sawa kwa wote mapema...
  7. I

    Uzushi Kifo cha Mkuu wa Kivuli ni Njia ya Kumng’oa Bosi wa Daftari Kuu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tabia ya baadhi ya sauti zisizo na sura kutumia mitandao ya kijamii kama jukwaa la kusambaza uzushi kwa lengo la kuleta taharuki, hofu na kupunguza imani ya wananchi kwa nguzo za dola. Miongoni mwao ni wanaojificha kwa majina ya kificho kama Kidnapped King wa X na...
  8. U

    Sababu Kuu Upinzani kushindwa kushika Dola Tanzania ni Ubinafsi na Ukosefu wa Maadili kwa Viongozi wake, dawa ya dhambi hii ni kuikubali na kuuikemea

    Madai ya manyanyaso hayana ukweli bali dawa ni kabadilika
  9. Kocha Florent Ibenge umefanya kosa kubwa sana na la Kiufundi kuja Kufundisha Soka Tanzania ambayo Ligi Kuu yake ina Makandokando mengi yasiyoelezeka

    Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya Ligi Kuu ya Tanzania na ndiyo maana unaona nasema tena kwa Masikitiko makubwa kuwa nakuonea Huruma na...
  10. H

    Watanzania wana huzuni kuu, Wasilazimishwe kufurahi

    Watanzania, na hasa Wataganyika, wanapitia kipindi kigumu sana, kipindi cha huzuni na mateso, kuliko wakati wowote wa uhai wa Taifa lao. 1. Mtanzania mwenzao anayeaminika sana kwa ukweli, utetezi wa haki, na uzalendo usio na shaka kwa Taifa lake, amewekwa gerezani kwa uonevu mkubwa, na kisha...
  11. GE2025 Wakili wa Serikali: Upande wa Jamhuri umeshapeleka taarifa Mahakama Kuu

    "Upande wa Jamhuri umeshapeleka taarifa Mahakama Kuu, kwa maana ya kufaili taarifa, kwa mujibu wa kifungu cha 262(6), na taarifa hiyo imepokelewa na kusajiliwa kwa namba Criminal Session 19605/2025 ambayo ni shauri la Jamhuri dhidi ya Tundu Antipas Lissu.." amesema Wakili wa Serikali.
  12. Muslim Brotherhood sio tu shirika la kigaidi, ni mama wa kiitikadi wa vikundi vyote kuu vya kigaidi: Al-Qaeda, ISIS, Hamas, Boko Haram, Al-Shabab, etc

    Hii ni syndicate inayojificha nyuma za mamlaka kwenye mataifa ya uarabuni, kwa kuwaaidi viongozi wa mataifa haya usalama, ulinzi, wa kuendelea kuwepo madarakani au kutowekwa hatiani ili wao wapewe njia rahisi waendeleze itikadi yao ya machafuko na kufadhili vikundi vya kuleta machafuko mashariki...
  13. M

    Simba tumeshajiandaa kisaikolojia na figisu ligi kuu za kukosa ubingwa misimu kadhaa kwa kutochangia harambee, tumesimama imara !

    Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe misimu kadhaa ijayo haitakuwa jambo la kushangaza. kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa...
  14. Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) watembelea Taasisi ya Mwenza ya Madagascar

    Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) wakiongozwa na Meneja wa Masoko ya Kikanda, Bi. Nabila Hemed wametembelea Bohari Kuu ya Dawa ya Madagascar (SALAMA) na kuzungumza na uongozi wa bohari hiyo, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Claude Eric Ramanantoanina kuhusu njia bora za kuimarisha...
  15. Kwahiyo Jumanne kaseja anaweza akawa ndo aliishusha ile timu ya ligu kuu kanda ya ziwa na sasa anapambana kuipandisha timu yake ya nyumbani?

    Kipi ni kipi jumanne kaseja amekuwa jumanne kaseja je alihusika kuishusha timu ya ligi kuu ya kanda ya ziwa. Je kwakuwa timu ya kanda ya ziwa ilichukua ubingwa Mara moja na kushushwa daraja. Na mbaya wachezaji wake wa kutegemewa wanazidi kupoteana . Je alaumiwe jummanne Kaseja au lilaumiwe...
  16. M

    Mama tusaidie kuifuta kesi Mahakama Kuu Mbeya ili October, 28, 2025 kwa raha zetu Tunatik!kwa

    Kwa niaba ya walalahoi wenzangu jumla ya kaya 600 tunaomba serikali kubadikisha msimamo na kutuachia ardhi. serikali kupiti kilimo uyole inataka kutunyang'anya kipande cha ardhi cha heka 67 kwa ajili shamba la kilimo uyole. Ni ardhi yetu ya asili, tuliiendeleza kwa miaka mingi na kwa maelekezo...
  17. Rais Samia atembelea Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo – Mtumba, leo Agosti 8, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akitembelea Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo iliyopo Mtumba Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo...
  18. Mahakama ya Rufani yaelekeza kesi ya Mwana FA, AY na TIGO kurudi Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu haikua sahihi kutengua uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala uliowapa ushindi wasanii wa muziki Hamisi Mwinyijuma maarufu Mwana FA na mwenzake Ambwene Yesaya au AY dhidi ya kampuni ya simu ya MIC Tanzania Public Limited Company, sasa Honora Tanzania Public Limited Company. Hii ni...
  19. Dhambi 7 kuu

    leo hebu tujadili hizi dhambi saba ambazo ndio kama mizizi saba ya dhambi zote za ulimwengu huu...kwamba kupitia hizi ndio zao la madhambi yote unayojua na kuyafahamu hapa duniani Kwa mshangao wa wengi dhambi nyingi unazowaza si kati ya hizo saba.. Hebu tuzipitie moja baada ya nyingine 1...
  20. Sababu kuu ya watanzania kuwa MAMBUMBUMBU sio werevu kama wakenya ,na nini cha kufanya

    Nawasalimu salaam ! Leo niwasanue sababu kubwa ya mnashangaa kwa nini wakenbya wako walivo halafu sisi tumezubaa . utajiuliza inakuwaje watekaji wawili wanaenda stendi kisa wamekuja na gari la STJ wanamchukua baba eneo la wazi kama stendi katikati ya wanaume si chini ya 100 na wanaondoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…