kuu

Kullu–Manali Airport (IATA: KUU, ICAO: VIBR) (informally also called Bhuntar Airport) is an airport located in Bhuntar, Kullu in the Indian state of Himachal Pradesh. The airport is located 11 km from Kullu and 52 km from Manali.
Bhuntar is considered a challenging airport for pilots because of its single runway set in a deep valley whose peaks rise several thousand feet higher than the runway. Also, the airport is located on the banks of the river Beas, and in 1995, its flash floods posed a threat to the runway. The new air terminal at Bhuntar was inaugurated in 2008, and the airport apron enlarged to park two aircraft at a time. Kingfisher Airlines ceased operations in September 2012 while Air India Regional resumed its operations to Kullu in May 2013. Himalayan Bulls in collaboration with Deccan Charters has commenced Kullu-Chandigarh-Kullu flights thrice a day from 2 April 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Jaji Mkuu ana taarifa kwamba majaji wa Mahakama Kuu siku hizi "Wanaandikiwa" hukumu na watu tunaopishana nao magengeni na kwenye baa?

    Nadhani kuna haja ya Mahakama kufanya tathimini katika hili jambo. Majaji wengi hawaandiki hukumu kwa mkono wao na fikra zao binafsi, wanaandikiwa hukumu! Ukifanikiwa kumjua anayemuandikia hukumu Jaji, hata kama una kesi ya namna gani, utapata upenyo tu! Wakati Rais anateua Majaji, kwa kweli ni...
  2. JamiiForums Tanzania Benki Kuu kusimamia Kanzidata ya Taarifa za Wakopaji

    Serikali imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imetoa leseni kwa kampuni mbili za kuchakata taarifa za mikopo, kampuni hizo ni Creditinfo Tanzania Limited na Dun & Bradstreet Credit Bureau Tanzania Limited. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan...
  3. JamiiForums Tanzania Leo rasmi ligi kuu ya NBCPL inamalizika, mechi ipi utaitazama zaidi?

    Ligi kuu ya NBCPL leo rasmi inatamatika kwa kucheza michezo nane na hadi sasa Bingwa ni Yanga lakini tutashuhudia vita vikali vya kumaliza nafasi ya pili ambapo hapa ni Simba sc na Azam fc ambao ndiyo wanao wanao wania nafasi hiyo lakini vita nyingine ni ya mfungaji bora kati ya Aziz Ki wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kanuni ipo hivi kwa mfungaji bora wa ligi kuu NBCPL msimu huu 2023/24

    Tupo mwishoni mwa ligi kuu ya NBCPL msimu huu 2023/2024 ambapo mei 28 2024 ndiyo tamati yake hadi sasa vita vikubwa ni Aziz Ki na Feisal katika kuibuka mfugaji bora, vita nyingine ni ya AZam fc na Simba sc kumaliza nafasi ya pili. Sasa tukitazama katika upande wa mfungaji bora ambao wanalingana...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Muda uwe ni dira kuu katika ujenzi wa uchumi wa taifa

    MUDA ni sehemu muhimu sana katika mpangilio wa mambo mengi duniani, na hii ni tangu kwa kuumbwa kwake, kutokana na maandiko ya vitabu vya dini, vimeandikwa kwamba hata Mungu aliutumia muda katika kuumba ulimwengu, na kuongeza kuwa Dunia iliumbwa kwa siku sita na ya saba ikawa ni mapumziko yake...
  6. JamiiForums Tanzania Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu Bara Young Africans sc watinga bungeni

    Mabingwa wa kihistoria wa Ligi kuu bara club ya Young Africans, wamepata mwaliko maalum kutoka kwa Waziri wa Utamaduni sanaa na michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Bungeni Jijini Dodoma tarehe 23, 2024 ambapo aliwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2024/25...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka zinazokusanya ushuru stendi kuu ya mabasi ya Tabora, hazirudishi chenchi kwa wateja wake. Mteja akienda na Tzs 500 anapewa risiti ya 200

    Harudishiwi kiwango cha fedha iliobaki. Naomba manispaa ya Tabora ilitizame hili maana Kuna Dalila za kuihujumu serikali.
  9. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu yetu yahitaji mabadiliko makubwa ili kuharakisha maendeleo ya nchi

    Elimu ndio silaha na nguzo kuu ya taifa lolote hapa duniani. Tanzania kama nchi inapaswa kulitazama suala la ubora na aina ya elimu wapewayo wananchi kama inakidhi mahitaji ya sasa ya nchi hasa ukizingatia dunia kuwa karibu zaidi katika nyanja mbalimbali mfano ajira, biashara na mawasiliano. Kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ili kuchochea uboreshaji wa viwanja LIGI KUU wadau mbali mbali wa soka waandae maandamano ya "viti" na "magunia" kwenye kila mechi.

    Habari wakuu, Mpira wetu umepiga hatua mbili mbele, ila viwanja vyetu vimepiga hatua mbili nyuma. Leo hii Feitoto anachuana na Aziz ki kuchukua kiatu cha mfungaji bora, kipa Rey Matampi anapambana na Diara kuwania tuzo ya golikipa bora, wakati huo Simba akipambana na Azam kupigania nafasi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mitandao 5 mirefu zaidi ya barabara kuu duniani

    Ili kukusaidia kufahamu tena jinsi ulimwengu wetu ulivyo mkubwa sana, hapa angalia mitandao mitano mirefu zaidi ya barabara kuu duniani. 1. Barabara kuu ya Pan American Ikinyoosha kutoka Prudhoe Bay Alaska hadi ncha ya Argentina, Barabara Kuu ya inapitia zaidi ya nchi kumi na mbili. Ni...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola kaigeuza ligi kuu ya uingereza kuwa farmer's league?

    MARA NNE MFULULIZO, MARA SITA KWA MIAKA SABA 2018: Manchester City 🏆 2019: Manchester City 🏆 2020: Liverpool 🏆 2021: Manchester City 🏆 2022: Manchester City 🏆 2023: Manchester City 🏆 2024: Manchester City 🏆 Akiwa Barcelona alishinda La Liga mara 3 mfululizo kukawa na kelele za waingereza...
  13. JamiiForums Tanzania Nimetambua lengo kuu la kuwepo duniani ni kutafuta uhuru/haki

    Abadni sitapingana na vitabu vitakatifu ambavyo vinaamini uwepo wetu katika dunia ni wenye lengo la kumuabudu mungu,quran inasema sikuwaumba majini na binadamu isipokuwa waniabudu. Binafsi nimetambua dhamira ya uwepo wetu katika hii dunia ni kutafuta namna ya kupambana na mazingira ili kupata...
  14. JamiiForums Tanzania Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!

    Kwa jinsi nilivyotonywa na paparazzi maalumu ambaye yu ndani ya chadema na ni mwanachama wao kinda kinda ki, wapo wanaopewa kipaumbele cha kifedha ili kujenga mahekalu yao na familia zao, kibaya zaidi wapo waliowekwa pembeni na hawaruhusiwi kuhoji lolote, suala hili linaleta shida na tabu kubwa...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu kuu mama au dada zako wanamchukia mke wako japo kwa jicho la kiume ni ngumu kujua

    Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi. Sababu ni hizi 𝗪𝗶𝘃𝘂 Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza vyema mkeo, dada yako mama yako pengine aidha hana ndoa kabisa ama aliolewa akaachika ama yupo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Unafiki wa Lissu wamuweka pabaya, kamati kuu yamkalia kooni

    Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa haku kukubaliana na uamuzi wa kumwalika Rais Samia Suluhu Hassan kama mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika tarehe 8 Machi mwaka 2023...
  17. JamiiForums Tanzania Vilabu vya Ligi Kuu Uingereza kupiga Kura ya kufuta matumizi ya VAR

    Klabu zinazoshiriki Ligi Kuu zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya kufuta Matumizi ya 'VAR' kuanzia Msimu ujao Pendekezo hilo ambalo linadaiwa kupingwa na Bodi ya Ligi Kuu linatarajiwa kusikilizwa Juni 6, 2024...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Nchi imesimama kisa Kamati Kuu ya CHADEMA. Hongereni

    Nimepita mitaani leo watu wako "attention" kusikiliza nini kitatokea kwenye kamati kuu ya CHADEMA, na wengine wanasema mbona kamati inachelewesha kutoa maaximio yake. Kwa kweli Chadema hongereni kwa hatua hii muhimu mliyofikia kisiasa mkienda vizuri mna kesho nzuri shikilieni hapohapo huku...
  19. JamiiForums Tanzania Siri kuu yaghubika Vikao vya Kamati kuu ya Chadema, Wananchi wapagawa, wataka Majina yatangazwe

    Sasa ni Dhahiri kwamba Chadema ndio Nchi, Hii ni kwa sababu Habari za Chama hicho ndio pekee ambazo wananchi wanataka kuzisikia. Bunge la Bajeti linaendelea lakini cha Ajabu Wananchi wote hawafuatilii kabisa! Sitaki kusema wamelipuuza, maana nitakuwa nafanya Uchochezi, Bali hali hii inatisha...
  20. JamiiForums Tanzania Breakfast yako kuu kwa sasa ni ipi?

    Wengine kila asubuhi chai Mkate wengine hupendelea Viazi mviringo kila asubuhi na wengine kiporo cha wali. Mimi Kwa mazingira ninayokuwepo asubuh siwezi kukwepa Mihogo Kama mnavojua cassava Kwa sasa ndo ipo on chart bila kuchoka Maharage na Juice ya passion. Kwanini kwanza navikubali vitu hivo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…