kutokana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Dictator

    Russia kimya kimya anajipakulia minyama $150M kwa siku kutokana na mafuta

    Russia kimya kimya anatengeneza mtonyo wa maana kwenye kipindi hiki mgogoro kati ya Us/Iran umechachamaa. Kremlin inaingiza angalau kiasi cha dola za kimarekani 150 kila siku kutokana na mauzo ya mafuta na gesi na kugeuza mgogoro huu wa mashariki ya kati kama sehemu ya kupatia faida maradufu.
  2. Tlaatlaah

    Marekani na Israel hawataweza kubadali mfumo wa utawala wa Irani kutoka Sharia hadi Demokrasi bila kuweka vikosi vya ardhini ndani ya Irani.

    Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika na kuimpose utawala wa kidemokrasia. Ili kufanikisha hilo, ni sharti kwanza pawepo na vikosi vya...
  3. A

    KERO Soko la Mawenzi mjini Mororgoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela

    Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo. Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
  4. Cute Wife

    ATCL yasitisha safari za Dubai mpaka watakapotangaza tena kutokana na kinachoendelea Mashariki ya Kati

    Wakuu, Baada ya hali ya hewa kuchafuka mashariki ya kati ATCL imetangaza kusimamisha safari zake za kwenda na kurudi kutoka Dubai kwa muda mpaka pale watakapotangaza tena huku ikiendelea kufuatilia hali hiyo kwa ukaribu.
  5. H

    Ni vema Mahakama na Chama cha Mawakili wamfungie Katuga na genge lake kutoa huduma za Uwakili kutokana na uhuni walioifanyia Mahakama

    Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu taratibu zote za mahakama. Leo mawakili wa Serikali kwenye kesi bandia dhidi ya Lisu, wakili wa...
  6. Genius Man

    Inadaiwa umoja wa mataifa umeitaka mamlaka ya Tanzania imuachie Lissu mara moja kutokana na habari zinazosambazwa na BBC, DW

    Inadaiwa umoja wa mataifa umeitaka mamlaka ya Tanzania imuachie Lissu mara moja kutokana na habari zinazosambazwa na BBC, DW Vyombo hivi vimekuwa viki ripoti habari zote ya kinacho endelea mahakamani na inaonesha kwamba kesi ni ya uongo hali ambayo imechochea shinikizo la kimatifa kutaka Lissu...
  7. R

    Polisi nanyi hamuaminiki milele, taarifa hii hakuna mwenye akili anaweza kuiamini kutokana na matendo ya kuteka watu na kusema hamuhusiki

    Polisi hamuaminiki. Mmeteka watu maelfu mnasema hamihusiki, at the end of the day inafahamika pasi shaka kuwa you are the CULPRITS. Soka yuko wapi wakati aliripoti Chang'ombe na mkasema hamuhusiki.
  8. secretarybird

    Nimetishika sana kutokana na kilichonikuta baada ya kujaribu kufanya tahajudi (meditation)

    Wakuu, nimegundua kuwa tahajudi si kitu Cha mchezo. Usiku wa kuamkia Leo nijaribu ku-meditate na kilichotokea usiku kucha ni vituko. Nilikuwa naota ndoto za ajabu ajabu, nilikuwa naongea mwenyewe hadi wife akawa ananishtua usingizini, n.k. Kwa hiki kilichonitokea nimesitisha kufanya tahajudi...
  9. Traxtion

    Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29

    Mtoto wa miaka 13, Angel Wariael Noel, ambaye alipata madhara kutokana na tukio la Oktoba 29, kwa kupigwa risasi ya bega iliyomuathiri uti wa mgongo na kumsababishia ulemavu wa miguu. Familia yake inawaomba wadau na watu watakaoguswa kuchangia ili kumsaidia kumudu gharama za matibabu na...
  10. O

    DP World imemfukuza kazi Sultan Ahmed bin Sulayem kutokana na madai ya mfanyabiashara huyo kuwa na uhusiano na Epstein

    DP World, kampuni ya kimataifa ya usafirishaji na usimamizi wa mizigo inayomilikiwa na Falme za Kiarabu (UAE), imemwondoa Sultan Ahmed bin Sulayem katika nafasi ya mwenyekiti na mtendaji mkuu kufuatia uchunguzi mkali kuhusu urafiki wake na marehemu Jeffrey Epstein. Kampuni hiyo Ijumaa ilimteua...
  11. Allen Kilewella

    Muhusiano ya ufuasi wa dini na maendeleo ya nchi

    Ni nchi gani duniani ambayo maendeleo yake yanahusishwa moja kwa Moja na ufuasi wa dini fulani? Nchi ambayo tunaweza kusema pasina shaka kuwa, kutokana na wao kufuata dini fulani ndiyo maana walipata maendeleo waliyonayo!
  12. T

    KERO Wakazi wa Nyegezi (Mtaa wa Mpambije Street na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji

    Wakazi wa Nyegezi (Mpambije Street, Ellys na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji Ukosefu wa maji umeendelea kuwa kero kubwa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza, hususan katika mitaa ya Mpambije Street, Ellys na Kumalija, Nyegezi. Kwa kipindi kirefu...
  13. ELI COHEN

    Kiufupi ni kuwa watu kama IPM na kapola wame master sanaa ya kufanya zogo na watu wanaopitia msongo kutokana msoto wa maisha na inawalipa sana aisee.

    Waliona namna watu walivyokuwa confused toka utotoni na mambo ya kufikirika na pia wakaangalia ni namna gani mtu mwenye msongo na confusion anapenda maneno ya faraja Waka combine hivo vyote lakini ili kuongeza kuaminiwa zaidi inabidi wajipatie title, sasa ndo maana kila mmoja wao either ajiite...
  14. E

    KERO Changamoto ya vyeti vya basic driving VETA-Mpanda

    Kuna Hali ambayo hatuelewi. Tumesoma veta-mpanda basic short course intake ya 14/8/2025 hadi 14/09/2025 lakin kutokana na changamoto tulimaliza karibu mwezi wa 10. Lakin Hadi Leo hatujapata vyeti kila tukiwatafuta wanasema tusubirie kidogo lakini hakuna dalili yoyote Ile. Pia tulilipia...
  15. Kipenzi Changu

    Nililinyamazia WhatsApp group la Sekondari kutokana na kuchoshwa na vizinga

    Kwa nia njema ya kujumuika tena na wanangu wa sekondari. Safari hii ilikuwa kupitia WhatsApp group. Halikuwa tofauti sana na magroup mengine, mambo yalikuwa ni yaleyale tu, kusaidiana kwenye shida na raha. Tuliweka mkakati mzuri wa kusaidiana kwenye misiba na ugonjwa. Kosa nililofanya ni...
  16. Fbn

    Hivi kakakuona kawa nani.Wakati ni kiumbe ambacho kipo hatarini kutoweka kutokana na imani za kishirikina

    Vyombo vya habari vimekuwa vikikipa uzito huyu mdudu kama kuonesha imani potofu bado zina pewa nguvu. Huyu mdudu ni kama wadudu wengine sawa na kipindi cha nyuma fisi kuwa kwenye maeneo ambayo nyie mlivamia kuwa mji. Baada ya kuanzisha kampeni wasitoweke nyie mnaleta imani za ajabu.
  17. Its Tesha

    PostGE2025 Niffer, Mika Chavala na wenzake wafikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) na Mika Chavala @mikachavala ambao wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini tayari wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza shauri linalowakabili. Ikumbukwe tarehe 25, Novemba 2025 washtakiwa 20 kati ya 22...
  18. R

    Kutokana na hotuba ya leo, ni kukaza ICC intervention. Amedhamiria kuwasafisha watanganyika

    This is my observation. No more No Less
  19. Genius Man

    onyo: Huwenda maandamano ya #D9 yasiwe ya kibubu kutokana na visasi, huku shughuli kufungwa mapema kuliko inavyozaniwa kabla ya #D9

    Niwe muwazi na niongelee uhalisia kuna watu wengi wali uwawa October 29 wengine wakiwa ndani kwahiyo hatuwezi kutegemea maandamano haya ya #D9 yawe ya kibubu bubu na mabango tu. Pia shughuli za nchi zinaweza kusimama kabla ya hiyo tarehe #D9 kufika.
Back
Top Bottom