kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tuombe msaada kutoka wapi?

    Hapa tulipofikia wenyewe hatuwezi. Tuombe msaada wapi? 1. Bunge si letu 2. Mahakama si yetu 3. Serikali si yetu
  2. JamiiForums Tanzania Kuna majibu yoyote kutoka kwa mtaalamu wa fedha wa Yanga ya kwenda kulihakiki deni lao pale TFF ?

    Barua ya jana ya TFF ilijieleza vizuri kuwa Yanga wapeleke mtaalamu leo saa Nne ,kuna majibu yoyote ? Au ni Agenda ya kututoa kwenye mijadala ya Msingi.
  3. JamiiForums Tanzania Huduma za matengenezo ya simu kutoka davao service center

    🔧 HUDUMA ZETU ZINAHUSISHA: ✅ Matengenezo ya simu aina zote (Android & iPhone) ✅ Kurekebisha simu zilizoharibika au kuzimika ghafla ✅ Kuflash simu ili kurekebisha matatizo ya mfumo (software) ✅ Kuondoa iCloud kwenye iPhone kwa usalama ✅ Kurekebisha na kubadilisha skrini zilizopasuka ✅...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi ni gharama za kutoka na mchepuko

    GHARAMA ZA KUTOKA NA MCHEPUKO 1.Usafiri 10,000 2.Chumba Lodge 30,000 3.Chakula + Vinywaji 30,000 4.Asante Kwa Kuja 50,000 Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
  5. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  6. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  7. JamiiForums Tanzania Uchumi 360: Safari ya Kumwamsha Mtanzania Kutoka katika Usingizi wa Kiuchumi

    Makala ya utangulizi katika safu mpya ya JamiiForums Na: Mwandishi wa Uchumi 360 Je, tunaishi au tunapumulia tu? Hili ni swali gumu, lakini linastahili kuulizwa. Tunaamka kila asubuhi, tunatembea mitaani, tunanunua sukari yenye bei inayopanda kila wiki, tunalalamika kuhusu “maisha kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Amani ya bwana amani nawaachieni. Tunachopenda kukisikia kutoka kwa Maaskofu!

    Bila shaka hiki ndio tunachokipenda kusikia baada ya uchovu mkubwa wa kelele za kidunia.Mungu awabariki sana.
  9. JamiiForums Tanzania Angalizo Maalumu kutoka kwa Kigogo kwenda CCM

    ANGALIZO MAHSUSI: Kinachoendelea huko instagram na Facebook na TikTok kama wahusika watadharau na kuchukulia poa basi hawako sawa kiakili!.. Serikali hii ilikuwa so dear to wananchi na wakiipenda sana toka siku ya kwanza!. Swali ni kuwa imekuwaje imefika hapa? Nini kimetokea tena kwa muda...
  10. JamiiForums Tanzania Kuzuiwa Lema kutoka nje ya nchi ni dalili viongozi wa Chadema wapo kifungoni.

    Mamlaka ya uhamiaji siku ya jana hapo Namanga ilimzuia Lema kwenda Kenya, Lema anakuwa kiongozi wa pili kizuiwa kutoka nchini na kunyang'anywa hati yake ya kusafiria, hii ya hati ni kauli ya Lema mwenyewe. Je, viongozi wa Chadema wapo kizuizini?
  11. JamiiForums Tanzania Utawala wa Trump umewawekea vikwazo majaji wanne kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague

    Utawala wa Trump umewawekea vikwazo majaji wanne kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague. Katika kutangaza hatua hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio alisema: "Kama majaji wa ICC, watu hawa wanne wameshiriki kikamilifu katika hatua zisizo halali na zisizo na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Salaam kutoka Jimbo la Indiana Marekani kuhusu kufungiwa makanisa

    Nadhani huyu ni mtanzania kwa lafdhi yake. Msikilize.
  13. JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa kihangaza kutoka Ngara Kagera wana tabia gani?

    Kama mada inavyojieleza Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
  14. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia

    Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuhusu ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania na Benki hiyo, kikao ambacho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma. Katika kikao...
  15. JamiiForums Tanzania Gitonga, mwana tiktok maarufu kutoka Kenya asema Boniphace Mwangi ni muongo wa kutupwa

    Wakenya wameshtukia uongo wa Boniphace Mwangi, wanamuanika upuuzi wake kila mahali.
  16. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  17. JamiiForums Tanzania Kutoa Uhuru kutoka kwa hatari zote

    Heshima kwa mabudha na bodhisattvas wote. Hivi ndivyo nilivyosikia wakati mmoja. Mwenye Baraka alikuwa akisafiri katika nchi ya Magadha alipofika kwenye shamba la mwembe. Katika shamba hilo la maembe, aliishi katika Pango la Miamba la Indra kwenye Mlima wa Vaidehaka. Śakra bwana wa devas...
  18. JamiiForums Tanzania Somo kutoka kwa Gwajima

    Nina somo rahisi. Wanasiasa walio wengi ni viumbe wasahaulifu hasa wanapokabiliwa na uchaguzi. Somo nililopata ni kwamba Gwajima hakujifunza kitu toka. kwa Job Ndugai. Wanaotaka asamehewe wanapoteza muda.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Msikilize Mo Ibrahim anavyoshangaa Tanzania kuwa na utawala wa kidictator kuwatesa wapinzani, kitu ambacho anasema hakutegemea kutoka Tanzania

    .....among other Places, Tanzania?!! Hakutegemea kuwa Samia anaweza kuwa hivi alivyo! Sikiliza
  20. JamiiForums Tanzania Nauli kutoka Tanzania - Ufaransa 30,000/= Je upo tayari?

    🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake. Mpango huu unalenga kuanzisha safari maalum ambapo abiria watasimama kwa muda wote wa safari, kwa kutumia mikanda ya usalama maalum...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…