Kutokana na juhudi za serikali kuboresha huduma za afya nchini, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila imeanza kupokea wagonjwa kutoka nje ya nchi wanaofuata huduma za kibingwa, ikiwemo huduma tiba ya kuweka puto kwenye tumbo la chakula (Intragastric balloon), ili kusaidia watu wenye uzito...