Habari za wakati wanaJF watukufu.
Mimi ni kijana umri 24 kamili. Sijaoa wala sina lengo la kuoa kwa sasa kutokana na sababu binafsi, kiufupi ni kwamba; sina majukumu ya kijamji. Naomba ushauri kwenu wahenga,
Yapata miezi miwili sasa tangu nimefungua biashara yangu kijiji flani apa, ninamshukuru...