kutembelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wanaotaka kutembelea Ulaya kusubiri hadi Septemba, VISA zimeisha

    VISA za kuingia nchi za 26 za Ulaya zimeisha hivyo wakenya waliokuwa wanataka kuingia nchi hizo watasubiri hadi Septemba 2022. VISA za Schengen ina nguvu za kumfanya mtu atembelee nchi yoyote ya Umoja wa Ulaya kwa muda wa miezi mitatu. COVID-19 yatajwa kuwa sababu ya VISA za Schengen kuadimika...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Baada ya Samia Kutembelea Uarabuni, Wamasai wameanza kufukuzwa kwenye Malalio yao

    Salaam Wakuu, Kuna Uhusiano gani wa rais Samia kutembelea Uarabuni na Operation ya kuweka Mipaka Loliondo? Miezi mitatu baada ya Samia kwenda Uarabuni, mipaka imeanza kuwekwa Loliondo. Pia Wamasai wametakiwa kuhamia Tanga kwa hiari Hivi Karibi Rais anaenda tena Uarabuni. Nini tutegemee...
  3. 5

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Nina hakika Putin hawezi kutembelea wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine'

    Kwa mara ya pili baada ya wiki mbili, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alitembelea ngome za jeshi kwenye mstari wa mbele - kwanza katika mkoa wa Kharkiv, na sasa katika sehemu hatari zaidi za mkoa wa Donbass na Zaporizhia. Wataalamu wa Ukraine na nje ya nchi wana hakika kwamba, licha ya...
  4. vivaforever

    JamiiForums Tanzania Maeneo hatari kutembelea duniani, hasa kwa watalii

    Duniani kuna baadhi ya maeneo ukiyafikiria tuu huwa yanakutamanisha sana kiasi ukatamani siku uende kuyatembelea.. lakini kiuhalisia ni maeneo hatarishi zaidi hapa Duniani. Kiuhalisia Dunia ina maeneo mengi ambayo ni hatari kuyatembelea lakini kwenye uzi huu nitayaongelea machache tuu ambayo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hasa mliowahi kutembelea Israel tujuzeni: Je wakristo walioko Israel huabudu siku ipi? Jumapili au Jumamosi?

    Ningependa kufahamu mambo yafuatayo: Najua Israel kuna dini ya kiyahudi wanaoabudu Jumamosi. Lakini pia kuna wakristo wa kiyahudi walioamua kumwamini Yesu. Je hawa wakristo wa kiyahudi huabudu siku ipi kati ya jumapili na jumamosi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, wanasiasa kutembelea sana Wanasiasa Wastaafu ni Utaratibu tu au nchi imewashinda na Majukumu ni mazito kuliko walivyotarajia?

    Nahisi Dodoma, Dar es Salaam na Zanzibar sasa Viti ni vya Moto na imebidi Wanasiasa wa Zanzibar na Kigoma tubuni Mbinu, tugawane Majukumu na kuamzisha Utaratibu wa ghafla wa Kuwatembelea Wastaafu waliotutangulia tulipo sasa maeneo ya Masaki. Tumeingia Machi na sasa ni Novemba tayari tunaenda...
  7. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania Nini kilimkuta Rais wa awamu ya 3 huko Msumbiji mpaka kuanza kutembelea mkongojo akiwa Ikulu?

    Wamakonde wa Msumbiji wana visa kidogo! Aliyekuwa Rais wa awamu ya 3 huko Msumbiji aliwahi kupatwa na madhila akiwa Ikulu. Akiwa katika siku zake za mwisho za Urais aliwashangaza wananchi wake ghafla alipoanza kutembea na mkongojo huku akichechemea. Ukipata hapa Mitaa ya Maputo wananchi kuna...
  8. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Fahamu: Maeneo 10 usiyoruhusiwa kutembelea duniani

    1. Mapango ya Lascaux, Ufaransa Mapango ya Lascaux nchini Ufaransa yanajulikana kama duniani kwa kuwa na moja ya michoro ya kale zaidi, yakiwa na michoro ya zaidi ya miaka 17,300 iliyopita. Michoro hiyo inaonesha mwanadamu akifuga wanyama kama ng’ombe. Lakini mapango hayo yamefungwa tangu mwaka...
  9. Peter Madukwa

    JamiiForums Tanzania NACHINGWEA: Mwenge wa uhuru wazindua, kutembelea na kuzindua miradi sita (6) wilayani Nachingwea

    Tarehe 25.8.2021 Mwenge wa Uhuru umetembelea, kuzindua na kuweka jiwe la msingi jumla ya miradi sita katika wilaya ya Nachingwea mkoa wa Lindi. Miradi iliyozinduliwa ni pamoja na mradi wa maji katika kijiji cha Namikango, mradi wa wodi ya wazazi ya kisasa katika hospitali ya wilaya na mradi wa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kuifahamu Tanzania na watu wake kwa kutembelea mikoani

    Mungu jalia katika kipindi cha uhai wangu nimepanga kutumia fursa ya kutembelea mikoa yote ya nchi ya Tanzania ili kuweza kuifahamu Tanzania vizurizaidi pamoja na watu wake wakazi wa mikoa hiyo. Dhamira yangu ni kwamba kila mwaka wakati wa likizo ya mwaka kazini, basi nitumie siku chache za...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kutembelea Makaburi ya Kigali ukiwa na miezi minne madarakani kukusaidie kutambua dhamana uliyopewa

    Kabla ya mauaji Rwanda viongozi wa kisiasa na vyombo vya dola waliminya watu Kama tunavyoshuhudia hapa nchini Sasa. Leo Mhe. Rais ametembelea Makaburi yaliyosababishwa na watu wachache walioona wao ndio waliozaliwa kutawala. Mwenyenzi Mungu anakusudi kumpa safari siku chache baada ya dola...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutembelea Kenya kwa ziara ya siku mbili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSamia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku mbili nchini Kenya Anatarajia kufanya ziara hiyo kuanzia Mei 4, 2021 ambapo atapokelewa na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Ziara hii ya Rais Samia Suluhu Hassan itaambatana na ufunguzi wa kongamano la...
  13. Glas

    JamiiForums Tanzania Niko Morogoro, nina bajeti ya mil 2,500,000/= nahitaji gari ndogo ya kutembelea

    Niko Morogoro...nina bajeti ya mil2.5, shida yangu ni gari ndogo ya kutembelea. Ikiwa pamoja na hizi. Premio Vitz Nissan march Carina Corrola Auris Au yyte nyingine. Naomba msaada wenu kwa mwenye nayo anichek. Natanguliza shukurani. MREJESHOO
Back
Top Bottom