Mimi mpaka sasa nimeshafika nchi hizi:
Ethiopia
Thailand
Timor-Leste
Indonesia
Myanmar
Singapore
Ufilipino
Msumbiji
Japan
Sasa ni zamu yako. Taja nchi ulizowahi kutembelea, iwe kwa kazi, masomo, biashara au utalii. Pia ni nchi ipi bado ipo kwenye bucket list yako..mimi nataka sana kutembelea...